Diaspora wa U.S.A wanaonekana maisha yamewapiga japo wanaishi U.S.A kwenye katiba bora duniani, nadhani si Kila jambo ni katiba

Akili za Lumumba mnazijua wenyewe.

Kwa akili yako mtu akiwa US anazeeka tofauti na yule wa Bongo. Weka picha ya Mama yako tufanye comparison...!!
 
Unaijua lifestyle ya watu wanaokaa huko na mavazi yao yalivyo........hao watu kuvaa smart sijui mkanda nje na suti siyo priority yao. Wewe kisa hujawahi kutoka hapa tandale unafikiri lifestyle za watu zinafanana kote duniani......
Mm huyo pesa ya kununua pass hana na hata akiwa nayo anabania umeme

Nguo zenyewe amevaa mitumba choka mbaya ambayo hata iliyopo Tanzania ni mizuri kuliko hiyo
 
Mm huyo pesa ya kununua pass hana na hata akiwa nayo anabania umeme

Nguo zenyewe amevaa mitumba choka mbaya ambayo hata iliyop.o Tanzania ni mizuri kuliko hiyo
Nyie SI Wana chukua chako mapema aka warefusha kamba,Kwa hiyo mnajua Cha kuchukuwa lipo,hivyo mifumo imetuna wakati wote🏃
 
Huyo mama kazeeka kuliko umri wake .Hata nywele hazina afya zimekosa lishe .Arudi tu Tanzania

Nduguze kama nauli hana mchangieni arudi
 
BONGO MNALETEWA MITUMBA YA NGUO ZA HUYO HUYO MAMA NA NDIO MNAZOVAA
 
Huyo mama kazeeka kuliko umri wake .Hata nywele hazina afya zimekosa lishe .Arudi tu Tanzania

Nduguze kama nauli hana mchangieni arudi
Kabisa, na akirudi anarudi na kiingereza tu na hayo matisheti
 
Hiyo T Shirt alikuwa ameivaa na ameichomekea. Tuambie jina lake, umri wake na kazi anayoifanya/ asiyoifanya kwa sababu inaelekea unamjua.

Amandla....
 
Unaijua lifestyle ya watu wanaokaa huko na mavazi yao yalivyo........hao watu kuvaa smart sijui mkanda nje na suti siyo priority yao. Wewe kisa hujawahi kutoka hapa tandale unafikiri lifestyle za watu zinafanana kote duniani......
Kama wanaishi kwenye nchi yenye katiba bora kabisa na fursa zote, bado maisha yamewakaanga, issue sio katiba, arudi kiraracha ambako baba yake kamuachia mahekari alime, katiba mpya ni kufanya kazi, vinginevyo, hata uletewe katiba toka mbinguni, bila kazi hutoboi
 
Nyumbani ndio hakuna choka mbaya?

Amandla...
 
Wewe,unayo au kuzurura corridor za mtaa wa kijani/Lumumba
 
Kabisa, na akirudi anarudi na kiingereza tu na hayo matisheti
Watu kama huyo mama huwa wanarudi na Tshirt,kaptula na kakofia na kingereza.Ukienda kumpokea hata sanduku hana ana tu begi tule twa watoto wa shule twa mgongoni wanabebea madaftari
 
Hao unaowaona ni choka mbaya na wachafu ndio walioweka historia kwa Rais wa Tanzania kwa mara ya kwanza kutolewa kwa kupitia mlango wa nyuma pamoja na ukuu wake, lakini ujumbe kaupata kuwa wakati wa katiba mpya ni sasa.
 
Kwani tatizo liko wapi kwenye kuileta hiyo mpya.....iletwe tu mengine yatajulikana.
 
Watu kama huyo mama huwa wanarudi na Tshirt,kaptula na kakofia na kingereza.Ukienda kumpokea hata sanduku hana ana tu begi tule twa watoto wa shule twa mgongoni wanabebea madaftari
Ulitaka arudi na nini Kwa mfano,huoni angalao atarudi akiwa amekutetea kutoka makucha ya Wana chukua chako mapema wanaokunyonya?
 
Mtu anakaa USA hamiliki hata pasi ya kunyooshea nguo, hata ya mkaa? Achilia mbali ya umeme?
Inawezekana hujawahi kuishi Marekani kwa hiyo hujui kuwa wamarekani hawanyooshi nguo za casual. Ni zile formal dressing tu ndizo wanazonyoosha. Huyo jamaa pamoja na mke wake nguo zao hizo hazikupigwa pasi.

Huyo jamaa na mke wake nguo walizovaa hazikupigwa pasi,

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…