Diaspora wa U.S.A wanaonekana maisha yamewapiga japo wanaishi U.S.A kwenye katiba bora duniani, nadhani si Kila jambo ni katiba

Kwa kweli ukiangalia picha za hao Diaspora, unaweza kuyasoma maisha yao. Hakika wamepigika kimaisha, lakini wanaishi katika nchi yenye katiba bora kabisa, na uchumi mkubwa, nadhani tunahitaji mjadala mpana, maana Sasa hivi hata mtu tumbo likijaa gesi, unamsikia anasema solution ni katiba mpya.View attachment 2201444

Muangalie huyu mama, hata kunyoosha nguo hawezi, t-shirt chafu imejikunja kama imeliwa na ndama. Pia hata ukimsoma ni mtu mwenye matatizo ya kiuchumi. Pia inaonekana kazeekea huko U.S.A lakini hakuna alichofanikiwa kimaisha
Akili za Lumumba mnazijua wenyewe.

Kwa akili yako mtu akiwa US anazeeka tofauti na yule wa Bongo. Weka picha ya Mama yako tufanye comparison...!!
 
Unaijua lifestyle ya watu wanaokaa huko na mavazi yao yalivyo........hao watu kuvaa smart sijui mkanda nje na suti siyo priority yao. Wewe kisa hujawahi kutoka hapa tandale unafikiri lifestyle za watu zinafanana kote duniani......
Mm huyo pesa ya kununua pass hana na hata akiwa nayo anabania umeme

Nguo zenyewe amevaa mitumba choka mbaya ambayo hata iliyopo Tanzania ni mizuri kuliko hiyo
 
Mm huyo pesa ya kununua pass hana na hata akiwa nayo anabania umeme

Nguo zenyewe amevaa mitumba choka mbaya ambayo hata iliyop.o Tanzania ni mizuri kuliko hiyo
Nyie SI Wana chukua chako mapema aka warefusha kamba,Kwa hiyo mnajua Cha kuchukuwa lipo,hivyo mifumo imetuna wakati wote🏃
 
Huyo mama kazeeka kuliko umri wake .Hata nywele hazina afya zimekosa lishe .Arudi tu Tanzania

Nduguze kama nauli hana mchangieni arudi
 
Kwa kweli ukiangalia picha za hao Diaspora, unaweza kuyasoma maisha yao. Hakika wamepigika kimaisha, lakini wanaishi katika nchi yenye katiba bora kabisa, na uchumi mkubwa, nadhani tunahitaji mjadala mpana, maana Sasa hivi hata mtu tumbo likijaa gesi, unamsikia anasema solution ni katiba mpya.View attachment 2201444

Muangalie huyu mama, hata kunyoosha nguo hawezi, t-shirt chafu imejikunja kama imeliwa na ndama. Pia hata ukimsoma ni mtu mwenye matatizo ya kiuchumi. Pia inaonekana kazeekea huko U.S.A lakini hakuna alichofanikiwa kimaisha
BONGO MNALETEWA MITUMBA YA NGUO ZA HUYO HUYO MAMA NA NDIO MNAZOVAA
 
Huyo mama kazeeka kuliko umri wake .Hata nywele hazina afya zimekosa lishe .Arudi tu Tanzania

Nduguze kama nauli hana mchangieni arudi
Kabisa, na akirudi anarudi na kiingereza tu na hayo matisheti
 
Kwa kweli ukiangalia picha za hao Diaspora, unaweza kuyasoma maisha yao. Hakika wamepigika kimaisha, lakini wanaishi katika nchi yenye katiba bora kabisa, na uchumi mkubwa, nadhani tunahitaji mjadala mpana, maana Sasa hivi hata mtu tumbo likijaa gesi, unamsikia anasema solution ni katiba mpya.View attachment 2201444

Muangalie huyu mama, hata kunyoosha nguo hawezi, t-shirt chafu imejikunja kama imeliwa na ndama. Pia hata ukimsoma ni mtu mwenye matatizo ya kiuchumi. Pia inaonekana kazeekea huko U.S.A lakini hakuna alichofanikiwa kimaisha
Hiyo T Shirt alikuwa ameivaa na ameichomekea. Tuambie jina lake, umri wake na kazi anayoifanya/ asiyoifanya kwa sababu inaelekea unamjua.

Amandla....
 
Unaijua lifestyle ya watu wanaokaa huko na mavazi yao yalivyo........hao watu kuvaa smart sijui mkanda nje na suti siyo priority yao. Wewe kisa hujawahi kutoka hapa tandale unafikiri lifestyle za watu zinafanana kote duniani......
Kama wanaishi kwenye nchi yenye katiba bora kabisa na fursa zote, bado maisha yamewakaanga, issue sio katiba, arudi kiraracha ambako baba yake kamuachia mahekari alime, katiba mpya ni kufanya kazi, vinginevyo, hata uletewe katiba toka mbinguni, bila kazi hutoboi
 
Diaspora wote Duniani wa nchi zote, hawalingani, wako Diaspora ambao wako njema, na kuna diaspora choka mbaya. Nikiwa US, Boston, Massachusetts, kuna Diaspora mmoja, mama wa Kitanzania, mwenye watoto wawili, alifiwa na mzazi wake huku Tanzania, watu tukamchangia, ili aje kuwahi mazishi. Kulikuwa na Mkutano mkubwa wa kimataifa wa APARC pale BU, Watanzania tuliokuja mkutanoni tukajichanga, zilipatikana pesa ndefu, huyo mama akapewa fasta ili kumwezesha yeye na wanawe kuja home kuhudhuria mazishi.

Baada ya kukabidhiwa fungu, Mama wa watu, na kuishi kote Marekani, kumbe hajawahi kushika pesa ndefu hivyo mkononi at a go!, mama akajishauri, aje na baada ya mazishi, what next?.

Akaaamua kubaki US na kulitumia lile fungu kubadili maisha. Diaspora wa New York wako OK, hata diaspora wa DMV, ila Diaspora choka mbaya pia wapo ila don't judge a book by it's cover, usikute huyo mama it's just a look but she is loaded!.
P
Nyumbani ndio hakuna choka mbaya?

Amandla...
 
Kama wanaishi kwenye nchi yenye katiba bora kabisa na fursa zote, bado maisha yamewakaanga, issue sio katiba, arudi kiraracha ambako baba yake kamuachia mahekari alime, katiba mpya ni kufanya kazi, vinginevyo, hata uletewe katiba toka mbinguni, bila kazi hutoboi
Wewe,unayo au kuzurura corridor za mtaa wa kijani/Lumumba
 
Hao unaowaona ni choka mbaya na wachafu ndio walioweka historia kwa Rais wa Tanzania kwa mara ya kwanza kutolewa kwa kupitia mlango wa nyuma pamoja na ukuu wake, lakini ujumbe kaupata kuwa wakati wa katiba mpya ni sasa.
 
Kama wanaishi kwenye nchi yenye katiba bora kabisa na fursa zote, bado maisha yamewakaanga, issue sio katiba, arudi kiraracha ambako baba yake kamuachia mahekari alime, katiba mpya ni kufanya kazi, vinginevyo, hata uletewe katiba toka mbinguni, bila kazi hutoboi
Kwani tatizo liko wapi kwenye kuileta hiyo mpya.....iletwe tu mengine yatajulikana.
 
Watu kama huyo mama huwa wanarudi na Tshirt,kaptula na kakofia na kingereza.Ukienda kumpokea hata sanduku hana ana tu begi tule twa watoto wa shule twa mgongoni wanabebea madaftari
Ulitaka arudi na nini Kwa mfano,huoni angalao atarudi akiwa amekutetea kutoka makucha ya Wana chukua chako mapema wanaokunyonya?
 
Mtu anakaa USA hamiliki hata pasi ya kunyooshea nguo, hata ya mkaa? Achilia mbali ya umeme?
Inawezekana hujawahi kuishi Marekani kwa hiyo hujui kuwa wamarekani hawanyooshi nguo za casual. Ni zile formal dressing tu ndizo wanazonyoosha. Huyo jamaa pamoja na mke wake nguo zao hizo hazikupigwa pasi.

1650988054625.png

Huyo jamaa na mke wake nguo walizovaa hazikupigwa pasi,

1650988234887.png
 
Back
Top Bottom