We mbona BADO unakaa KWA shemeji YakoKwa kweli ukiangalia picha za hao Diaspora, unaweza kuyasoma maisha yao. Hakika wamepigika kimaisha, lakini wanaishi katika nchi yenye katiba bora kabisa, na uchumi mkubwa, nadhani tunahitaji mjadala mpana, maana Sasa hivi hata mtu tumbo likijaa gesi, unamsikia anasema solution ni katiba mpya.View attachment 2201444
Muangalie huyu mama, hata kunyoosha nguo hawezi, t-shirt chafu imejikunja kama imeliwa na ndama. Pia hata ukimsoma ni mtu mwenye matatizo ya kiuchumi. Pia inaonekana kazeekea huko U.S.A lakini hakuna alichofanikiwa kimaisha
Yaan Chinembe unajihaibisha Sana.Kwanza inaonekana ww ni Chawa tu.Huna nyuma Wala mbele.Chawa unayelipwa kwa kuandika upuuzi humu JF na yule aliyepo State anapiga mzigo Nani amechoka maisha?Kwa kweli ukiangalia picha za hao Diaspora, unaweza kuyasoma maisha yao. Hakika wamepigika kimaisha, lakini wanaishi katika nchi yenye katiba bora kabisa, na uchumi mkubwa, nadhani tunahitaji mjadala mpana, maana Sasa hivi hata mtu tumbo likijaa gesi, unamsikia anasema solution ni katiba mpya.View attachment 2201444
Muangalie huyu mama, hata kunyoosha nguo hawezi, t-shirt chafu imejikunja kama imeliwa na ndama. Pia hata ukimsoma ni mtu mwenye matatizo ya kiuchumi. Pia inaonekana kazeekea huko U.S.A lakini hakuna alichofanikiwa kimaisha
Unaujua umri wake au umepiga ramli????. yaani na wewe unamu attack mwanamke mwenzio?!...kweli humu kumejaa mapimbiHuyo mama kazeeka kuliko umri wake .Hata nywele hazina afya zimekosa lishe .Arudi tu Tanzania
Nduguze kama nauli hana mchangieni arudi
Punguza jazba mkuu
Hizo ziko smart na pass zimenyooshwa utalinganisha na midabwada aliyovaa huyo mtanzania choka mbaya
Kwa sababu wanaona kabisa katiba mpya itabadili mwelekeo sahihi wa nchi na si kama ya sasa inawafanya walafi wawe na mshikamano kama fisi wa serengeti.Katiba ya USA imeshindwa kuwatoa kimaisha, wanapigania ya Tanzania ili watoke kimaisha?
Tuwekee na ya kwako tulinganishe.Kwa kweli ukiangalia picha za hao Diaspora, unaweza kuyasoma maisha yao. Hakika wamepigika kimaisha, lakini wanaishi katika nchi yenye katiba bora kabisa, na uchumi mkubwa, nadhani tunahitaji mjadala mpana, maana Sasa hivi hata mtu tumbo likijaa gesi, unamsikia anasema solution ni katiba mpya.View attachment 2201444