Diaspora wa U.S.A wanaonekana maisha yamewapiga japo wanaishi U.S.A kwenye katiba bora duniani, nadhani si Kila jambo ni katiba

Diaspora wa U.S.A wanaonekana maisha yamewapiga japo wanaishi U.S.A kwenye katiba bora duniani, nadhani si Kila jambo ni katiba

1650991880611.png

..Hiyo jeans bei yake inakaribia 650000 T-shillings.

..mtoa mada akiona mtu ameivaa anaweza kudhani kuwa ni homeless.
 
Mnapoteza muda wenu kubishana na huyu mla vumbi chokambaya na wenzake. Hana hata uhakika wa mlo wake wa kesho, kazi kunukisha kikwapa kwenye daladala.
Kunywa maji mwanangu
 
BONGO MNALETEWA MITUMBA YA NGUO ZA HUYO HUYO MAMA NA NDIO MNAZOVAA
Huyo mama inaonekana hapo ndio kapata nguo za kuvaa mwaka mzima katika shughuli zake za kukusanya taka majumbani
 
Ulitaka arudi na nini Kwa mfano,huoni angalao atarudi akiwa amekutetea kutoka makucha ya Wana chukua chako mapema wanaokunyonya?
Hiyo katiba ya USA mbona haijamsaidia chochote
 
Kwa kweli ukiangalia picha za hao Diaspora, unaweza kuyasoma maisha yao. Hakika wamepigika kimaisha, lakini wanaishi katika nchi yenye katiba bora kabisa, na uchumi mkubwa, nadhani tunahitaji mjadala mpana, maana Sasa hivi hata mtu tumbo likijaa gesi, unamsikia anasema solution ni katiba mpya.View attachment 2201444

Muangalie huyu mama, hata kunyoosha nguo hawezi, t-shirt chafu imejikunja kama imeliwa na ndama. Pia hata ukimsoma ni mtu mwenye matatizo ya kiuchumi. Pia inaonekana kazeekea huko U.S.A lakini hakuna alichofanikiwa kimaisha
We mbona BADO unakaa KWA shemeji Yako
 
Kumbuka ndiko tunakopeleka bakuli kuwezesha matumizi ya siku kwa siku.
 
Kumbuka ndiko tunakopeleka bakuli kuchangia matumizi ya siku kwa siku.
Katiba ya USA imeshindwa kuwatoa kimaisha, wanapigania ya Tanzania ili watoke kimaisha?
 
Kwa kweli ukiangalia picha za hao Diaspora, unaweza kuyasoma maisha yao. Hakika wamepigika kimaisha, lakini wanaishi katika nchi yenye katiba bora kabisa, na uchumi mkubwa, nadhani tunahitaji mjadala mpana, maana Sasa hivi hata mtu tumbo likijaa gesi, unamsikia anasema solution ni katiba mpya.View attachment 2201444

Muangalie huyu mama, hata kunyoosha nguo hawezi, t-shirt chafu imejikunja kama imeliwa na ndama. Pia hata ukimsoma ni mtu mwenye matatizo ya kiuchumi. Pia inaonekana kazeekea huko U.S.A lakini hakuna alichofanikiwa kimaisha
Yaan Chinembe unajihaibisha Sana.Kwanza inaonekana ww ni Chawa tu.Huna nyuma Wala mbele.Chawa unayelipwa kwa kuandika upuuzi humu JF na yule aliyepo State anapiga mzigo Nani amechoka maisha?
 
Tafsiri ya kupigika ni ipi?

Je hayo mavazi yake ndio uthibitisho kuwa amepigika?

Kama kwa muktadha huo ndio umefikia mwisho basi una safari ndefu ya kujua kupigika maana yake ni nini.
 
Punguza jazba mkuu

Sio jazba bali kuna upotoshaji wa makusudi ili watawala wazidi kufisadi nchi! Katiba mpya ni muhimu kufanikisha mambo hayo mengine yote kwa weledi yakiwemo TUME HURU YA UCHAGUZI, UHURU WA VYOMBO VYA HABARI, etc.
Hizo ziko smart na pass zimenyooshwa utalinganisha na midabwada aliyovaa huyo mtanzania choka mbaya

Huko mtoni mambo ya kupiga pasi nguo sio ishu mradi nguo imefuliwa kwenye washing machine na kukaushwa!! Watu wako busy na kazi kusaka $$$$ hawana muda wa kuremba remba!! Nyie hamna kazi ndio maana mna muda wa kupoteza kupiga nguo pasi.
Utajiri wa mtu haujioneshi kwa nguo alizovaa!! Umewahi kuona jeans na Tee shirts anazovaa Elon Mask tajiri nambari moja duniani? Halafu ukiambiwa tajiri nambari moja duniani lakini hana nyumba anadandia nyumba za rafiki zake utaamini?

Priorities za maisha zinabadilika kutokana na sehemu unapoishi!! Hata wewe ukija huku utabadilika baada ya kula burgers badala ya ZEGE!!!
 
Kwa kweli ukiangalia picha za hao Diaspora, unaweza kuyasoma maisha yao. Hakika wamepigika kimaisha, lakini wanaishi katika nchi yenye katiba bora kabisa, na uchumi mkubwa, nadhani tunahitaji mjadala mpana, maana Sasa hivi hata mtu tumbo likijaa gesi, unamsikia anasema solution ni katiba mpya.View attachment 2201444

Muangalie huyu mama, hata kunyoosha nguo hawezi, t-shirt chafu imejikunja kama imeliwa na ndama. Pia hata ukimsoma ni mtu mwenye matatizo ya kiuchumi. Pia inaonekana kazeekea huko U.S.A lakini hakuna alichofanikiwa kimaisha
Tuwekee na ya kwako tulinganishe.

Kutokana na uandishi tu, inaonekana wewe ni duni zaidi ya huyo mama.

Maisha yako ya kutegemea makombo unayotupiwa ili uweze kuja hapa JF ni kielelezo tosha cha uduni wa maisha ulionao.
 
Back
Top Bottom