Mbona mimi siioni hiyo mbio mkuuSamia aliyenyoosha nguo amekimbia
Katiba iliyopo inampa madaraka makubwa Rais kutumia fedha zetu hovyo bila ya ridhaa ya sisi walipata kodi!! Ndio maana wanakwenda kununua ndege cash wanavyotaka; wanakwenda ulaya na Marekani na makundi yao kwenda kubembea wakati sisi tunakufa na njaa sababu ya mfumuko wa bei!!Kwani Katiba hii iliyopo imekuzuia kuwa busy kusaka noti na kutokuwa na muda wa kutembea remba
Ok hiyo mi Diaspora iliyoko Marekani na Ulaya lkwenye katiba nzuri mbona choka mbaya kuliko iliyowaacha Tanzania?Katiba iliyopo inampa madaraka makubwa Rais kutumia fedha zetu hovyo bila ya ridhaa ya sisi walipata kodi!! Ndio maana wanakwenda kununua ndege cash wanavyotaka; wanakwenda ulaya na Marekani na makundi yao kwenda kubembea wakati sisi tunakufa na njaa sababu ya mfumuko wa bei!!
Sasa katiba mpya itajenga taasisi zenye nguvu tofauti na hizi za sasa ambazo zitazuia upuuzi huu. Matumizi mabaya ya fedha yanakatisha tamaa watu kufanya kazi kwani huilazimisha serikali kuwatoza wanannchi kodi kila leo hivyo kuwaongezea umaskini!
Ok hiyo mi Diaspora iliyoko Marekani na Ulaya lkwenye katiba nzuri mbona choka mbaya kuliko iliyowaacha Tanzania
Kwa kweli ukiangalia picha za hao Diaspora, unaweza kuyasoma maisha yao. Hakika wamepigika kimaisha, lakini wanaishi katika nchi yenye katiba bora kabisa, na uchumi mkubwa, nadhani tunahitaji mjadala mpana, maana Sasa hivi hata mtu tumbo likijaa gesi, unamsikia anasema solution ni katiba mpya.View attachment 2201444
Muangalie huyu mama, hata kunyoosha nguo hawezi, t-shirt chafu imejikunja kama imeliwa na ndama. Pia hata ukimsoma ni mtu mwenye matatizo ya kiuchumi. Pia inaonekana kazeekea huko U.S.A lakini hakuna alichofanikiwa kimaisha
Ila ana akili nzuri kuliko wewe ambaye hufikiri chochote kuhusu future.Kwa kweli ukiangalia picha za hao Diaspora, unaweza kuyasoma maisha yao. Hakika wamepigika kimaisha, lakini wanaishi katika nchi yenye katiba bora kabisa, na uchumi mkubwa, nadhani tunahitaji mjadala mpana, maana Sasa hivi hata mtu tumbo likijaa gesi, unamsikia anasema solution ni katiba mpya.View attachment 2201444
Muangalie huyu mama, hata kunyoosha nguo hawezi, t-shirt chafu imejikunja kama imeliwa na ndama. Pia hata ukimsoma ni mtu mwenye matatizo ya kiuchumi. Pia inaonekana kazeekea huko U.S.A lakini hakuna alichofanikiwa kimaisha
Haina shida basi arudi tu Tanzania sababu mitumba ya USA ni grade one wanavaa hadi mawaziri na wabunge sio hiyo aliyovaa yeye huyo hiyo ilsiyopigwa pasi3. Ni lazima ujue kuvaa ni utamaduni. Marekani hakuna shida ya nguo ! mitumba ya Tanzania 90% inatoka USA kama hujui.
Huyu maza akifia huko lazima hela ya jeneza itoke moshiYule wa marekani amepigika kuliko huyu wa Tanzania.
Yule kule hata mafao ya kukaa mtaani hapati kama hao wa marekani.
Pia inafikia mahali hawezi kujikimu hivyo anaishi kwa matatizo makubwa ughaibuni huku hata uwezo wa kujilipia ticket arudi nyumbani hawezi tena.
Usifikiri kuishi majuu ni raha kama mnavyochukulia.
Kule hata zile odd jobs lazima uwe na Documents halali.
Ndio chimbuko lao kulilia uraia Pacha.
Atakuwa mmachame tu huyu mamaIla ana akili nzuri kuliko wewe ambaye hufikiri chochote kuhusu future.
Haina shida basi arudi tu Tanzania sababu mitumba ya USA ni grade one wanavaa hadi mawaziri na wabunge sio hiyo aliyovaa yeye huyo hiyo ilsiyopigwa pasi
Soko kuu la mitumba ya Ulaya na Marekani liko Karume unaluta imepigwa pasi class bei yake kali hata akija huyo Diaspora hanunui na dola zake za kusafisha matako ya wazungu elderly homes
Mtu anadai katiba mpya yuko Marekani kwenye katiba nzuri mbona haijamkomboa ulofa wake ? Yuko Choka mbaya! kuliko walio Tanzania ambao hawajui hata Marekani iko wapiOndoka huko kwenye kujadili Maisha ya Mtu, Muonekano wake, Mavazi na Mienendo yake jikite Kujadili hoja zake, Jikite katika kuonyesha kwanini Katiba sio Muhimu sasa na Wao waonyeshe Kwanini Katiba Mpya ni Muhimu sasa, Hoja yenye Nguvu na Ushawish itashinda. Hiyo ndio Mijadala yenye Afya.
Yuko marekani wizi unamuathiri vipi? Ulofa wake usitusumbueKatiba mpya inazuia wezi
Ndiyo naona wote wamechoka, ule Makutano sikuamini unafanyika marekaniHawa wengine walinyimwa visa za kuja Marekani itakuwa, si kwa gubu hili.
Yani picha moja ndiyo imekuwa ya diaspora wote?
Katiba ya USA imeshindwa kuwatoa kimaisha, wanapigania ya Tanzania ili watoke kimaisha?
Maisha yangekuwa mapesi hapo USA usingenitapeli muda wangu na pesa zangu nikizunguka Dodoma nzima kukutafutia kiwanja kwa mda wa week mbili halafu ukaishia kuni block bila huruma kabisa bila hata asante.....nakumbuka sana kipindi kile nimepoteza pesa zangu na mda kitendo kilichosababisha nitimuliwe kazi na boss wangu wa bajaji maana nilikuwa nashinda nakutafutia kiwanja na kikapatikana halafu baada ya kupatikana na kukwambia ukaniblock ....Ulaaaniwe sana wewe jamaa mwana haramu.USA maisha sio magumu hivyo unavyofikiria, tafuta pesa upunguze hizo stress.