Diaspora wa U.S.A wanaonekana maisha yamewapiga japo wanaishi U.S.A kwenye katiba bora duniani, nadhani si Kila jambo ni katiba

Diaspora wa U.S.A wanaonekana maisha yamewapiga japo wanaishi U.S.A kwenye katiba bora duniani, nadhani si Kila jambo ni katiba

Hao Diaspora maisha yao ni mazuri mara mia na walimu walioajiliwa na serikali. Ni bora niakabebe boxes kuliko kuendelea kuwa mwalimu hapa Tanzania.
 
Kwani Katiba hii iliyopo imekuzuia kuwa busy kusaka noti na kutokuwa na muda wa kutembea remba
Katiba iliyopo inampa madaraka makubwa Rais kutumia fedha zetu hovyo bila ya ridhaa ya sisi walipata kodi!! Ndio maana wanakwenda kununua ndege cash wanavyotaka; wanakwenda ulaya na Marekani na makundi yao kwenda kubembea wakati sisi tunakufa na njaa sababu ya mfumuko wa bei!!
Sasa katiba mpya itajenga taasisi zenye nguvu tofauti na hizi za sasa ambazo zitazuia upuuzi huu. Matumizi mabaya ya fedha yanakatisha tamaa watu kufanya kazi kwani huilazimisha serikali kuwatoza wananchi kodi kila leo hivyo kuwaongezea umaskini!
 
Katiba iliyopo inampa madaraka makubwa Rais kutumia fedha zetu hovyo bila ya ridhaa ya sisi walipata kodi!! Ndio maana wanakwenda kununua ndege cash wanavyotaka; wanakwenda ulaya na Marekani na makundi yao kwenda kubembea wakati sisi tunakufa na njaa sababu ya mfumuko wa bei!!
Sasa katiba mpya itajenga taasisi zenye nguvu tofauti na hizi za sasa ambazo zitazuia upuuzi huu. Matumizi mabaya ya fedha yanakatisha tamaa watu kufanya kazi kwani huilazimisha serikali kuwatoza wanannchi kodi kila leo hivyo kuwaongezea umaskini!
Ok hiyo mi Diaspora iliyoko Marekani na Ulaya lkwenye katiba nzuri mbona choka mbaya kuliko iliyowaacha Tanzania?

Hata ikifa huko huwa tunaichaingia maiti zao kusafirishwa kuja kuzikwa Tanzania inatusumbua michango .

Mi Diaspora huko kwenye katiba nzuri kwenye maisha mazuri kwa nini ituchangishe kusafirisha mizoga yao ikifa ili ije kuzikwa Tanzania tulioko Tanzania? Nyoooo

Diaspora mkome kutuchangisha tulioko Tanzania mizoga yenu mkifa iletwe Tanzania zikweni huko huko kwenye katiba nzuri wajinga nyie
 
Ok hiyo mi Diaspora iliyoko Marekani na Ulaya lkwenye katiba nzuri mbona choka mbaya kuliko iliyowaacha Tanzania

Nani aliyekwambia katiba ya Marekani na za Ulaya ni nzuri? Hizo katiba zao ni nzuri kufuatana na mazingira yao na zinaweza zisiwe nzuri huku bongo!! Katiba ya bongo itaangalia maudhui ya bongo na mahitaji ya wabaongo hivyo itakuwa tofauti na hizo unazosema ni nzuri!!
Katiba sio muarobaini wa matatizo ya nchi bali ni nyenzo muhimu kupunguza kwa kiasi kikubwa chanson cha matatizo katika jamii. Usitegemee kuwa katiba mpya itawezesha Serikali kugawa fedha barabarani na watu wasifanye kazi hapana; katiba mpya itaweka mazingira ya watu kufanya kazi na kupata uijra unaostahiri hivyo kukidhi mahitaji yao!
Hivi sasa ni karibu miaka sita hakuna nyongeza ya mishahara na bei za bidhaa muhimu zinapanda kila siku , unafikiri watu wanaishi vipi?
 
Kwa kweli ukiangalia picha za hao Diaspora, unaweza kuyasoma maisha yao. Hakika wamepigika kimaisha, lakini wanaishi katika nchi yenye katiba bora kabisa, na uchumi mkubwa, nadhani tunahitaji mjadala mpana, maana Sasa hivi hata mtu tumbo likijaa gesi, unamsikia anasema solution ni katiba mpya.View attachment 2201444

Muangalie huyu mama, hata kunyoosha nguo hawezi, t-shirt chafu imejikunja kama imeliwa na ndama. Pia hata ukimsoma ni mtu mwenye matatizo ya kiuchumi. Pia inaonekana kazeekea huko U.S.A lakini hakuna alichofanikiwa kimaisha

Kuna watu kati yetu ambao wanapenda kujiaminisha Diaspora wana matatizo na shida nyingi. Hawa watatumia kila njia kuonyesha wenyewe wanafanya vizuri kuliko diaspora.

1. Hakuna Diaspora ambaye anajali wewe unafanya nini sasa kwanini unapoteza muda mwingi kujali maisha yao wakati wanajitegemea na kusaidia familia zao.
2. Utamaduni wa kujilinganisha hausaidii kwasababu mmoja tu. Watu wote ni tofauti hii dhana ya kwamba Watanzania wanao tofauti kati ya watu lakini ukiishi USA au kuwa diaspora maisha yote ni sawa ni kujidanganya na kutokuelewa. Watanzania mfano wa hapa USA hawana tofauti na waliopo Tanzania kwenye maswala ya makabila, umri, elimu, familia uliyotokea.....n.k sasa ni ujinga sana kwa wale wanaofikiri jamii yote ya Tanzania ni mmoja!. Hapa kuna watoto wa watanzania wapo vyuo kama Yale lakini vilevile kuna watoto wa kitanzania ambao hata vyuo hawajaenda. Kuna Watanzania ni CEO's na viongozi wa makampuni lakini kuna wengine hata kazi hawana. Kuna Watanzania wanaomiliki biashara na kuna wafanyakazi. Dada yangu alikuwa na kampuni ya kuajiri Nurse na wafanyakazi wake wengi walikuwa wanzania na wakenya hivyo kuna wamiliki na wafanyakazi.
3. Ni lazima ujue kuvaa ni utamaduni. Marekani hakuna shida ya nguo ! mitumba ya Tanzania 90% inatoka USA kama hujui. Kusema jinsi ya unavyo vaa ndiyo uwezo sio kwa USA ! hapa nikienda hotel jioni kula ni gharama kuliko kununua shati. Mfano leo nilienda kula breakfast nimetumia $17 wakati shati la kazini ni $15 tu! . Utamaduni wa hapa ni kuvaa simple sio kama UK ambao wanapenda kuvaa suti na tai. Huku tuna toa misaada sana ya nguo ndiyo zinakuja kwenye mitumba mfano baada ya kuanza kufanya kazi nyumbani na ku gain weight suti zangu zote nilipeleka kwenye msaada mwaka jana ni mambo ya kawaidia na utamaduni wa hapa.

Kama hupendi diaspora tafuta mbinu nyingine lakini sio kuweka picha za watu ambazo huwafahamu na kuongea vitu kwa fikra za kishamba
 
Kwa kweli ukiangalia picha za hao Diaspora, unaweza kuyasoma maisha yao. Hakika wamepigika kimaisha, lakini wanaishi katika nchi yenye katiba bora kabisa, na uchumi mkubwa, nadhani tunahitaji mjadala mpana, maana Sasa hivi hata mtu tumbo likijaa gesi, unamsikia anasema solution ni katiba mpya.View attachment 2201444

Muangalie huyu mama, hata kunyoosha nguo hawezi, t-shirt chafu imejikunja kama imeliwa na ndama. Pia hata ukimsoma ni mtu mwenye matatizo ya kiuchumi. Pia inaonekana kazeekea huko U.S.A lakini hakuna alichofanikiwa kimaisha
Ila ana akili nzuri kuliko wewe ambaye hufikiri chochote kuhusu future.
 
3. Ni lazima ujue kuvaa ni utamaduni. Marekani hakuna shida ya nguo ! mitumba ya Tanzania 90% inatoka USA kama hujui.
Haina shida basi arudi tu Tanzania sababu mitumba ya USA ni grade one wanavaa hadi mawaziri na wabunge sio hiyo aliyovaa yeye huyo hiyo ilsiyopigwa pasi

Soko kuu la mitumba ya Ulaya na Marekani liko Karume unaluta imepigwa pasi class bei yake kali hata akija huyo Diaspora hanunui na dola zake za kusafisha matako ya wazungu elderly homes
 
Yule wa marekani amepigika kuliko huyu wa Tanzania.
Yule kule hata mafao ya kukaa mtaani hapati kama hao wa marekani.

Pia inafikia mahali hawezi kujikimu hivyo anaishi kwa matatizo makubwa ughaibuni huku hata uwezo wa kujilipia ticket arudi nyumbani hawezi tena.

Usifikiri kuishi majuu ni raha kama mnavyochukulia.

Kule hata zile odd jobs lazima uwe na Documents halali.

Ndio chimbuko lao kulilia uraia Pacha.
Huyu maza akifia huko lazima hela ya jeneza itoke moshi
 
Haina shida basi arudi tu Tanzania sababu mitumba ya USA ni grade one wanavaa hadi mawaziri na wabunge sio hiyo aliyovaa yeye huyo hiyo ilsiyopigwa pasi

Soko kuu la mitumba ya Ulaya na Marekani liko Karume unaluta imepigwa pasi class bei yake kali hata akija huyo Diaspora hanunui na dola zake za kusafisha matako ya wazungu elderly homes

Tatizo watoto wamekuwa wengi siku hizi jamiiforums.
 
Ondoka huko kwenye kujadili Maisha ya Mtu, Muonekano wake, Mavazi na Mienendo yake jikite Kujadili hoja zake, Jikite katika kuonyesha kwanini Katiba sio Muhimu sasa na Wao waonyeshe Kwanini Katiba Mpya ni Muhimu sasa, Hoja yenye Nguvu na Ushawish itashinda. Hiyo ndio Mijadala yenye Afya.
 
Mtu anadai katiba mpya yuko Marekani kwenye katiba nzuri mbona haijamkomboa ulofa wake ? Yuko Choka mbaya! kuliko walio Tanzania ambao hawajui hata Marekani iko wapi
 
Hawa wengine walinyimwa visa za kuja Marekani itakuwa, si kwa gubu hili.

Yani picha moja ndiyo imekuwa ya diaspora wote?
Ndiyo naona wote wamechoka, ule Makutano sikuamini unafanyika marekani
 
USA maisha sio magumu hivyo unavyofikiria, tafuta pesa upunguze hizo stress.
Maisha yangekuwa mapesi hapo USA usingenitapeli muda wangu na pesa zangu nikizunguka Dodoma nzima kukutafutia kiwanja kwa mda wa week mbili halafu ukaishia kuni block bila huruma kabisa bila hata asante.....nakumbuka sana kipindi kile nimepoteza pesa zangu na mda kitendo kilichosababisha nitimuliwe kazi na boss wangu wa bajaji maana nilikuwa nashinda nakutafutia kiwanja na kikapatikana halafu baada ya kupatikana na kukwambia ukaniblock ....Ulaaaniwe sana wewe jamaa mwana haramu.
 
Back
Top Bottom