Unaishi kwa mpalange unajifananisha na homeless wa usa ana uhakika wa kula mboga sabaBibi yupo shabby. Atakuwa anaishi homeless shelter huyu kafuata free t-shirt. Alivyo mfupi. tshirt hadi kwenye magoti.
Atarudi baada ya Mei mosi,ni aibu Sana kukaa ugenini mwezi unadharaulika,haijawahi tokea hii duniani.Yuko marekani wizi unamuathiri vipi? Ulofa wake usitusumbue
Nyumbani ndio hakuna choka mbaya?
Amandla...
Sio jazba bali kuna upotoshaji wa makusudi ili watawala wazidi kufisadi nchi! Katiba mpya ni muhimu kufanikisha mambo hayo mengine yote kwa weledi yakiwemo TUME HURU YA UCHAGUZI, UHURU WA VYOMBO VYA HABARI, etc.
Huko mtoni mambo ya kupiga pasi nguo sio ishu mradi nguo imefuliwa kwenye washing machine na kukaushwa!! Watu wako busy na kazi kusaka $$$$ hawana muda wa kuremba remba!! Nyie hamna kazi ndio maana mna muda wa kupoteza kupiga nguo pasi.
Utajiri wa mtu haujioneshi kwa nguo alizovaa!! Umewahi kuona jeans na Tee shirts anazovaa Elon Mask tajiri nambari moja duniani? Halafu ukiambiwa tajiri nambari moja duniani lakini hana nyumba anadandia nyumba za rafiki zake utaamini?
Priorities za maisha zinabadilika kutokana na sehemu unapoishi!! Hata wewe ukija huku utabadilika baada ya kula burgers badala ya ZEGE!!!
Huyu mama atakuwa teja au stripper mstaafuHapana Msidanganyike. Wanawake kote wana muda na muonekano wao. Hata wasafisha vyoo wanakwenda na magari yao na nguo za kazi pembeni. Wanabadilsha then wakimaliza wanaulamba.
Sijui mazingira ya huyo mama. Ila nachoweza Ona ni kuwa kama mtu Ana hela na shughuli zake nyingi, asilimia 90 hangeweza kutokea Hapo na kuandamana. Ona idadi. but always there is an exception to what can be seen as normal.
Hiyo T-shirt haiwakilishi maisha ya mvaaji,ikiwa hivyo ilivyo imebeba ujumbe mzito sana.Hakuna mahala imeandikwa Katiba mpya.Kwa kweli ukiangalia picha za hao Diaspora, unaweza kuyasoma maisha yao. Hakika wamepigika kimaisha, lakini wanaishi katika nchi yenye katiba bora kabisa, na uchumi mkubwa, nadhani tunahitaji mjadala mpana, maana Sasa hivi hata mtu tumbo likijaa gesi, unamsikia anasema solution ni katiba mpya.View attachment 2201444
Muangalie huyu mama, hata kunyoosha nguo hawezi, t-shirt chafu imejikunja kama imeliwa na ndama. Pia hata ukimsoma ni mtu mwenye matatizo ya kiuchumi. Pia inaonekana kazeekea huko U.S.A lakini hakuna alichofanikiwa kimaisha
inaonekana kazeekea.Kwa kweli ukiangalia picha za hao Diaspora, unaweza kuyasoma maisha yao. Hakika wamepigika kimaisha, lakini wanaishi katika nchi yenye katiba bora kabisa, na uchumi mkubwa, nadhani tunahitaji mjadala mpana, maana Sasa hivi hata mtu tumbo likijaa gesi, unamsikia anasema solution ni katiba mpya.View attachment 2201444
Muangalie huyu mama, hata kunyoosha nguo hawezi, t-shirt chafu imejikunja kama imeliwa na ndama. Pia hata ukimsoma ni mtu mwenye matatizo ya kiuchumi. Pia inaonekana kazeekea huko U.S.A lakini hakuna alichofanikiwa kimaisha
Duh 12.5 USD per year? Mbona ata elfu hamsini haifkiView attachment 2201630
..huyu naye unaweza kumuita homeless.
..lakini mshahara wake ni usd 12.5 per year.
..kwenye nchi za wenzetu usim-judge mtu bila kuwa na taarifa za uhakika ana mali kiasi gani.
Unajua lakini maana ya context? Marekani hamna wenyeji ambao ni choka mbaya? Kwa nini muone kuwa ni kitu cha kubeza kwa baadhi ya diaspora kuwa choka mbaya?Context man. Jifunze kusoma na kuelewa.
..makosa ya kiuandishi.Duh 12.5 USD per year? Mbona ata elfu hamsini haifki
Hivi madplomat hawawezi kukuluka na li box limoja limoja japo siku za weekend ama hawaruhusiwiMadiplomat wa Tanzania bwana kwa kujitoa ufahamu, hawajambo. Sasa mnataka avaaje huyu Mama, aje kwenye mkutano kavaa suti na tie wakati ni mkutano tu wa kawaida? Sidhani kama kuna diplomat yeyote kule Marekani anamshinda Mtanzania afanyaye kazi kuuza duka, madiplomat hawana issue kwanza serikali yenyewe haina hela, huo mshahara mkubwa wapate wapi hao madiplomat? Mtazidi kulia sana kwa ushamba wenu wakati wenzenu wabeba mabox wanawaacha mbali kimaendeleo.
Watu hawapigi pasi marekani ni wewe huko na matenge yakoMtu anakaa USA hamiliki hata pasi ya kunyooshea nguo, hata ya mkaa? Achilia mbali ya umeme?
Lakini anaongea slang ya kufa mtu ,we unaweza?Kwa kweli ukiangalia picha za hao Diaspora, unaweza kuyasoma maisha yao. Hakika wamepigika kimaisha, lakini wanaishi katika nchi yenye katiba bora kabisa, na uchumi mkubwa, nadhani tunahitaji mjadala mpana, maana Sasa hivi hata mtu tumbo likijaa gesi, unamsikia anasema solution ni katiba mpya.View attachment 2201444
Muangalie huyu mama, hata kunyoosha nguo hawezi, t-shirt chafu imejikunja kama imeliwa na ndama. Pia hata ukimsoma ni mtu mwenye matatizo ya kiuchumi. Pia inaonekana kazeekea huko U.S.A lakini hakuna alichofanikiwa kimaisha
Naona unajipa moyo.....hiyo style ya kutojali mavazi ni ya wazungu tu ambao wanaangalia kama yupo comfortable au la! ila waafrika tamaduni zetu ni za kujali unachovaa,fashion,styles etc"hata ukimsoma ni mtu mwenye matatizo ya kiuchumi" umejuaje .
Mark Zuckerberg wa facebook ana t-shirt za aina mmoja tu za $5 kwa t-shirt. Kuvaa ni utamaduni sio pesa wala nini ni ushamba tu. Kuna Masikini wengi Congo wanavaa vizuri kuliko ma billionea wa USA
View attachment 2201529
View attachment 2201531
View attachment 2201534
Bora aneishi kwa kupigika Marekani lakini anatafuta kwa mkono wake, kuliko wewe unaeshi kwa mapambio na ili upate kula yako kwa mgongo wa ukandamizajiKwa kweli ukiangalia picha za hao Diaspora, unaweza kuyasoma maisha yao. Hakika wamepigika kimaisha, lakini wanaishi katika nchi yenye katiba bora kabisa, na uchumi mkubwa, nadhani tunahitaji mjadala mpana, maana Sasa hivi hata mtu tumbo likijaa gesi, unamsikia anasema solution ni katiba mpya.View attachment 2201444
Muangalie huyu mama, hata kunyoosha nguo hawezi, t-shirt chafu imejikunja kama imeliwa na ndama. Pia hata ukimsoma ni mtu mwenye matatizo ya kiuchumi. Pia inaonekana kazeekea huko U.S.A lakini hakuna alichofanikiwa kimaisha
Jamaa sijapenda alivyo mkashifu huyu mam wa watu wakt yeye binafs hajawai hata kufika Kenya tu mpumbafu sna hyu kjn anajiona kapata kisa kanunua k istUnaijua lifestyle ya watu wanaokaa huko na mavazi yao yalivyo........hao watu kuvaa smart sijui mkanda nje na suti siyo priority yao. Wewe kisa hujawahi kutoka hapa tandale unafikiri lifestyle za watu zinafanana kote duniani......
Kwa kweli ukiangalia picha za hao Diaspora, unaweza kuyasoma maisha yao. Hakika wamepigika kimaisha, lakini wanaishi katika nchi yenye katiba bora kabisa, na uchumi mkubwa, nadhani tunahitaji mjadala mpana, maana Sasa hivi hata mtu tumbo likijaa gesi, unamsikia anasema solution ni katiba mpya.View attachment 2201444
Muangalie huyu mama, hata kunyoosha nguo hawezi, t-shirt chafu imejikunja kama imeliwa na ndama. Pia hata ukimsoma ni mtu mwenye matatizo ya kiuchumi. Pia inaonekana kazeekea huko U.S.A lakini hakuna alichofanikiwa kimaisha