Diaspora wa U.S.A wanaonekana maisha yamewapiga japo wanaishi U.S.A kwenye katiba bora duniani, nadhani si Kila jambo ni katiba

Yuko marekani wizi unamuathiri vipi? Ulofa wake usitusumbue
Atarudi baada ya Mei mosi,ni aibu Sana kukaa ugenini mwezi unadharaulika,haijawahi tokea hii duniani.
 
Sio jazba bali kuna upotoshaji wa makusudi ili watawala wazidi kufisadi nchi! Katiba mpya ni muhimu kufanikisha mambo hayo mengine yote kwa weledi yakiwemo TUME HURU YA UCHAGUZI, UHURU WA VYOMBO VYA HABARI, etc.

Huko mtoni mambo ya kupiga pasi nguo sio ishu mradi nguo imefuliwa kwenye washing machine na kukaushwa!! Watu wako busy na kazi kusaka $$$$ hawana muda wa kuremba remba!! Nyie hamna kazi ndio maana mna muda wa kupoteza kupiga nguo pasi.
Utajiri wa mtu haujioneshi kwa nguo alizovaa!! Umewahi kuona jeans na Tee shirts anazovaa Elon Mask tajiri nambari moja duniani? Halafu ukiambiwa tajiri nambari moja duniani lakini hana nyumba anadandia nyumba za rafiki zake utaamini?

Priorities za maisha zinabadilika kutokana na sehemu unapoishi!! Hata wewe ukija huku utabadilika baada ya kula burgers badala ya ZEGE!!!

Hapana Msidanganyike. Wanawake kote wana muda na muonekano wao. Hata wasafisha vyoo wanakwenda na magari yao na nguo za kazi pembeni. Wanabadilsha then wakimaliza wanaulamba.

Sijui mazingira ya huyo mama. Ila nachoweza Ona ni kuwa kama mtu Ana hela na shughuli zake nyingi, asilimia 90 hangeweza kutokea Hapo na kuandamana. Ona idadi. but always there is an exception to what can be seen as normal.
 
Huyu mama atakuwa teja au stripper mstaafu
 
Kwa kweli ukiangalia picha za hao Diaspora, unaweza kuyasoma maisha yao. Hakika wamepigika kimaisha, lakini wanaishi katika nchi yenye katiba bora kabisa, na uchumi mkubwa, nadhani tunahitaji mjadala mpana, maana Sasa hivi hata mtu tumbo likijaa gesi, unamsikia anasema solution ni katiba mpya.View attachment 2201444

Muangalie huyu mama, hata kunyoosha nguo hawezi, t-shirt chafu imejikunja kama imeliwa na ndama. Pia hata ukimsoma ni mtu mwenye matatizo ya kiuchumi. Pia inaonekana kazeekea huko U.S.A lakini hakuna alichofanikiwa kimaisha
Hiyo T-shirt haiwakilishi maisha ya mvaaji,ikiwa hivyo ilivyo imebeba ujumbe mzito sana.Hakuna mahala imeandikwa Katiba mpya.
Hivi kwa nini CCM mnaoenda kulazimisha tukate tamaa ya kudai Katiba Mpya ya JMT kwa kutuambia udhaifu wa mataifa mengine?Ikiwa kwa mfano Tunisia,Libya,Botswana,Zimbabwe au taiga lingine lina katiba nzuri au mbaya ndiyo sisi tusidai Katiba yetu?Why compare ourselves with failures?
 
Kwa kweli ukiangalia picha za hao Diaspora, unaweza kuyasoma maisha yao. Hakika wamepigika kimaisha, lakini wanaishi katika nchi yenye katiba bora kabisa, na uchumi mkubwa, nadhani tunahitaji mjadala mpana, maana Sasa hivi hata mtu tumbo likijaa gesi, unamsikia anasema solution ni katiba mpya.View attachment 2201444

Muangalie huyu mama, hata kunyoosha nguo hawezi, t-shirt chafu imejikunja kama imeliwa na ndama. Pia hata ukimsoma ni mtu mwenye matatizo ya kiuchumi. Pia inaonekana kazeekea huko U.S.A lakini hakuna alichofanikiwa kimaisha
inaonekana kazeekea.
Kwani kuzeeka Kuna ubaya gani. Matajiri hawazeeki??. Halafu nchi zawenzetu nguo kwao sio kipaombele nandio maana hata ukiona sweta analovaa bill get kwa akili za ngozi nyeusi unaweza ukamdharau kumbe kwao nguo sio sehemu ya ulimbukeni, nandio maana hata wazungu wakija bongo nguo zao za kawaida Sana ila wewe huna pesa huna chakula unajambajamba tu
 
Madiplomat wa Tanzania bwana kwa kujitoa ufahamu, hawajambo. Sasa mnataka avaaje huyu Mama, aje kwenye mkutano kavaa suti na tie wakati ni mkutano tu wa kawaida? Sidhani kama kuna diplomat yeyote kule Marekani anamshinda Mtanzania afanyaye kazi kuuza duka, madiplomat hawana issue kwanza serikali yenyewe haina hela, huo mshahara mkubwa wapate wapi hao madiplomat? Mtazidi kulia sana kwa ushamba wenu wakati wenzenu wabeba mabox wanawaacha mbali kimaendeleo.
Hivi madplomat hawawezi kukuluka na li box limoja limoja japo siku za weekend ama hawaruhusiwi
 
Kwa kweli ukiangalia picha za hao Diaspora, unaweza kuyasoma maisha yao. Hakika wamepigika kimaisha, lakini wanaishi katika nchi yenye katiba bora kabisa, na uchumi mkubwa, nadhani tunahitaji mjadala mpana, maana Sasa hivi hata mtu tumbo likijaa gesi, unamsikia anasema solution ni katiba mpya.View attachment 2201444

Muangalie huyu mama, hata kunyoosha nguo hawezi, t-shirt chafu imejikunja kama imeliwa na ndama. Pia hata ukimsoma ni mtu mwenye matatizo ya kiuchumi. Pia inaonekana kazeekea huko U.S.A lakini hakuna alichofanikiwa kimaisha
Lakini anaongea slang ya kufa mtu ,we unaweza?
 
Muonekano tu wa mtu mkuu,kuna watu wagumu sana kubadilika,hebu mtazame Lilwayne,fanya tu hana huo umaarufu,si atapitwa na wabongo wengi tu wa uswahilini...
 
"hata ukimsoma ni mtu mwenye matatizo ya kiuchumi" umejuaje .

Mark Zuckerberg wa facebook ana t-shirt za aina mmoja tu za $5 kwa t-shirt. Kuvaa ni utamaduni sio pesa wala nini ni ushamba tu. Kuna Masikini wengi Congo wanavaa vizuri kuliko ma billionea wa USA​

View attachment 2201529

View attachment 2201531

View attachment 2201534
Naona unajipa moyo.....hiyo style ya kutojali mavazi ni ya wazungu tu ambao wanaangalia kama yupo comfortable au la! ila waafrika tamaduni zetu ni za kujali unachovaa,fashion,styles etc
 
Kwahiyo Kila umwonaye amevaa ovyo ni masikini? Usalama wote wanavaa vizuri? So ukiona bilionea ameenda kwa mama ntilie akaagiza chai ya rangi na kitumbua utasema kafilisika?
 
Kwa kweli ukiangalia picha za hao Diaspora, unaweza kuyasoma maisha yao. Hakika wamepigika kimaisha, lakini wanaishi katika nchi yenye katiba bora kabisa, na uchumi mkubwa, nadhani tunahitaji mjadala mpana, maana Sasa hivi hata mtu tumbo likijaa gesi, unamsikia anasema solution ni katiba mpya.View attachment 2201444

Muangalie huyu mama, hata kunyoosha nguo hawezi, t-shirt chafu imejikunja kama imeliwa na ndama. Pia hata ukimsoma ni mtu mwenye matatizo ya kiuchumi. Pia inaonekana kazeekea huko U.S.A lakini hakuna alichofanikiwa kimaisha
Bora aneishi kwa kupigika Marekani lakini anatafuta kwa mkono wake, kuliko wewe unaeshi kwa mapambio na ili upate kula yako kwa mgongo wa ukandamizaji

KATIBA MPYA ITAKUKA TU kumefuka tayari lazima utawaka
 
Unaijua lifestyle ya watu wanaokaa huko na mavazi yao yalivyo........hao watu kuvaa smart sijui mkanda nje na suti siyo priority yao. Wewe kisa hujawahi kutoka hapa tandale unafikiri lifestyle za watu zinafanana kote duniani......
Jamaa sijapenda alivyo mkashifu huyu mam wa watu wakt yeye binafs hajawai hata kufika Kenya tu mpumbafu sna hyu kjn anajiona kapata kisa kanunua k ist
 
Kwa kweli ukiangalia picha za hao Diaspora, unaweza kuyasoma maisha yao. Hakika wamepigika kimaisha, lakini wanaishi katika nchi yenye katiba bora kabisa, na uchumi mkubwa, nadhani tunahitaji mjadala mpana, maana Sasa hivi hata mtu tumbo likijaa gesi, unamsikia anasema solution ni katiba mpya.View attachment 2201444

Muangalie huyu mama, hata kunyoosha nguo hawezi, t-shirt chafu imejikunja kama imeliwa na ndama. Pia hata ukimsoma ni mtu mwenye matatizo ya kiuchumi. Pia inaonekana kazeekea huko U.S.A lakini hakuna alichofanikiwa kimaisha

Yaani yote hayo umeamua kwa kuangalia picha tu?
 
Back
Top Bottom