Diaspora wa U.S.A wanaonekana maisha yamewapiga japo wanaishi U.S.A kwenye katiba bora duniani, nadhani si Kila jambo ni katiba

Mm cjatooa nnje Sana ila siwez mdharau mtu aliyeko marekani wkt ndeg tu yenyewe cjapanda
 
Haya ndio maneno bana katib mpya bila Kaz .sas itanisadia nn mm mtu wa HV hv
 
Mnatafuta justification ya kuendeleza Udikiteta na ukandamizaji lakini mwisho wenu uko karibu. Huyo aliyepigika Marekani na wewe unayeishi Kwa kutegemea kujipendekeza Kwa DC mnalingana?

Sent from my M2003J15SC using JamiiForums mobile app

Inategemea kufanikiwa kimaisha unaangalia kigezo kipi.
Maana mwingine ile kupata balance meal na afya njema ndo kafanikio
 
yuko marekani alafu uso umepondeka namna iyo maisha huko ni magumu.
 
Mkuu, mpaka sasa umejionesha huna point kwa sababu umejumlisha diaspora wote kwa kuangalia picha moja.

Ukiweza kuongea remittances data njoo tutajadiliana.
Mnazipika?
 
Mtu anadai katiba mpya yuko Marekani kwenye katiba nzuri mbona haijamkomboa ulofa wake ? Yuko Choka mbaya! kuliko walio Tanzania ambao hawajui hata Marekani iko wapi
Kuishi kwake Marekani hakuondoi Utaifa wake, Na Madai yake Juu ya Haki zake na Watanzania Wengine, Kuhusu Muonekano hiyo sio hoja ya Msingi na tutakuwa tumeishiwa Hoja, tujadili hoja sio Muonekano.
 
Hivi madplomat hawawezi kukuluka na li box limoja limoja japo siku za weekend ama hawaruhusiwi

..hawaruhusiwi, na hawalazimiki.

..wanalipiwa pango, umeme, simu, na hawatozwi kodi.

..katika hali hiyo kwanini wakabebe box?
 
@DIBAJI
 
Hivi madplomat hawawezi kukuluka na li box limoja limoja japo siku za weekend ama hawaruhusiwi
Hawaruhusiwi kwani serikali haitaki wawe na pesa za ziada. Wana maisha magumu sana madiplomat wetu sema tu wanajikaza kisabuni.
 
..hawaruhusiwi, na hawalazimiki.

..wanalipiwa pango, umeme, simu, na hawatozwi kodi.

..katika hali hiyo kwanini wakabebe box?
Simu wanajilipia wenyewe labda ni balozi tu ndiyo halipi simu ila hawa wengine ni wabeba mabox tu wa serikali
 
Argument ya hovyo kabisa we unawezaje kujua salio la mtu benki kwa kumuangalia usoni, hizo Tshirt kujikunja kunja hazibadili ujumbe zilio beba. Msilete justification za kupuuzi kujibu hoja ya katiba mpya hitaji liko pale pale.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…