Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haya ndio maneno bana katib mpya bila Kaz .sas itanisadia nn mm mtu wa HV hvKama wanaishi kwenye nchi yenye katiba bora kabisa na fursa zote, bado maisha yamewakaanga, issue sio katiba, arudi kiraracha ambako baba yake kamuachia mahekari alime, katiba mpya ni kufanya kazi, vinginevyo, hata uletewe katiba toka mbinguni, bila kazi hutoboi
Mnatafuta justification ya kuendeleza Udikiteta na ukandamizaji lakini mwisho wenu uko karibu. Huyo aliyepigika Marekani na wewe unayeishi Kwa kutegemea kujipendekeza Kwa DC mnalingana?
Sent from my M2003J15SC using JamiiForums mobile app
Mkuu, mpaka sasa umejionesha huna point kwa sababu umejumlisha diaspora wote kwa kuangalia picha moja.Mnajifariji
Kwani diaspora wote walikuja kwenye ule mkutano?Ndiyo naona wote wamechoka, ule Makutano sikuamini unafanyika marekani
Kuishi kwake Marekani hakuondoi Utaifa wake, Na Madai yake Juu ya Haki zake na Watanzania Wengine, Kuhusu Muonekano hiyo sio hoja ya Msingi na tutakuwa tumeishiwa Hoja, tujadili hoja sio Muonekano.Mtu anadai katiba mpya yuko Marekani kwenye katiba nzuri mbona haijamkomboa ulofa wake ? Yuko Choka mbaya! kuliko walio Tanzania ambao hawajui hata Marekani iko wapi
Hivi madplomat hawawezi kukuluka na li box limoja limoja japo siku za weekend ama hawaruhusiwi
@DIBAJIMaisha yangekuwa mapesi hapo USA usingenitapeli muda wangu na pesa zangu nikizunguka Dodoma nzima kukutafutia kiwanja kwa mda wa week mbili halafu ukaishia kuni block bila huruma kabisa bila hata asante.....nakumbuka sana kipindi kile nimepoteza pesa zangu na mda kitendo kilichosababisha nitimuliwe kazi na boss wangu wa bajaji maana nilikuwa nashinda nakutafutia kiwanja na kikapatikana halafu baada ya kupatikana na kukwambia ukaniblock ....Ulaaaniwe sana wewe jamaa mwana haramu.
Hawaruhusiwi kwani serikali haitaki wawe na pesa za ziada. Wana maisha magumu sana madiplomat wetu sema tu wanajikaza kisabuni.Hivi madplomat hawawezi kukuluka na li box limoja limoja japo siku za weekend ama hawaruhusiwi
Simu wanajilipia wenyewe labda ni balozi tu ndiyo halipi simu ila hawa wengine ni wabeba mabox tu wa serikali..hawaruhusiwi, na hawalazimiki.
..wanalipiwa pango, umeme, simu, na hawatozwi kodi.
..katika hali hiyo kwanini wakabebe box?
Argument ya hovyo kabisa we unawezaje kujua salio la mtu benki kwa kumuangalia usoni, hizo Tshirt kujikunja kunja hazibadili ujumbe zilio beba. Msilete justification za kupuuzi kujibu hoja ya katiba mpya hitaji liko pale pale.Kwa kweli ukiangalia picha za hao Diaspora, unaweza kuyasoma maisha yao. Hakika wamepigika kimaisha, lakini wanaishi katika nchi yenye katiba bora kabisa, na uchumi mkubwa, nadhani tunahitaji mjadala mpana, maana Sasa hivi hata mtu tumbo likijaa gesi, unamsikia anasema solution ni katiba mpya.View attachment 2201444
Muangalie huyu mama, hata kunyoosha nguo hawezi, t-shirt chafu imejikunja kama imeliwa na ndama. Pia hata ukimsoma ni mtu mwenye matatizo ya kiuchumi. Pia inaonekana kazeekea huko U.S.A lakini hakuna alichofanikiwa kimaisha