Diaspora wafungua kesi ya Kikatiba kupinga sheria inayozuia Uraia Pacha

We hiyo ardhi imekusaidia nini?, mapori kibao nchi hii.....
 
We ni lichoko?
 
Kenge ww!
 
Focus na tonge nyama, haya hayakuhusu
 
Lazima Ni machadema hayo

Lakini pia hao Chadema
Na ndo kosa lao la kwanza.

CHADEMA's in-house lawyer bringing the case effectively means CHADEMA is in court. You are starting behind the eight ball already. Peter Kibatala is the face of political opposition in Tanzanian courts; his presence heaps enormous negative pressure on the judge and pushes against handling a political victory to CHADEMA.

Their second mistep, arguably, is the choice of subjects. Foreign nationals bringing constitutional challenges in a Tanzania court will potentially raise territorial if not subject matter jurisdiction issues. For one, Tanzanian constitution does not promise to confer any rights and protections to aliens from other states.

The substantive case presented by the six aliens also seems frail. They assert that national security concern is not a compelling argument against allowing dual citizenship, citing the son of Liberian president who is a dual citizen of the country. The state will likely counter argue plausibly that a person is not expected to pose national security threats to a country ruled by his own father, a circumstance vastly different from the case of the six aliens involved in this litigation.

The foreign plaintiffs, if allowed in court, will need to present a more compeling case in order to prevail against deep-seated concerns that lax citizeship laws will put national security in jeorpady.
 
We hiyo ardhi imekusaidia nini?, mapori kibao nchi hii.....
Huko ulipochukuwa uraia hakuna ardhi?

Mmeuza uraia wenu Kwa tamaa zenu,,
Sasa mnahangaika Nini?

Endeleeni kulea vizee huko majuu.

Msituletee mambo ya kusapoti mashoga..
Mkiguswa mnakimbilia embassy za inchi zenu.
 
SA nilipata uraia nilipoona hakuna dalili za kuwa na Uraia pacha nilienda mahakamani kufuta kisheria ila ningekua nahitaji kuishi SA ningewapotezea Wabongo sema ni vile wengi hawajui faida ya Uraia pacha ndio maana wanakataa kwanza ukiwa raia wa Nchi nyingine hizi zilizoendelea unapata first kama Raia wa hiyo Nchi iwe kusoma kuanzisha miradi mikubwa ndani au nje ya hiyo Nchi unapata msaada mkubwa kutoka hiyo Nchi...na hii ishu ya E Passport ndio kabisa huwezi kutumia passport mbili ndio maana wasafiri wameamka...
 
Daah hapa ndio umeuza mbuzi usomeshe mtoto kama huyu bora uchinje hizo mbuzi zenyewe ule tuu...aisee mnakwama wapi wasomi wetu au kutokua na Exposure ndio inawarudisha nyuma Viingereza vingi kilichoandikwa madudu tuuu...
 
Kama shida ni usalama wa taifa basi serikali inayotegemea misaada na mikopo toka nchi hizo hizo inayoogopa uraia wake ndiyo tishio kubwa kwa usalama si wa taifa. Mbona akina Abdulrahaman Kinana, January Makamba, lile toto jinga la Malecela, magabacholi na Wazanzibari wana uraia pacha haiwi nongwa kwa usalama wa taifa? Nadhani hapa sababu ni roho mbaya, woga wa baadhi ya wakubwa kupigwa chini tokana na exposure ya wanadiaspora. Ajabu ya maajabu, hawa hawa ndiyo wanawapa shime wawekeze kwenye nchi inayowachukia. Ama kweli baniani mbaya kiatu chake dawa!
 
Ya usalama wa Taifa kasema Kibatala, wakili wa raia 6 wa Marekani waliofungua kesi.

The long and short of the issue is hatutaki na hatutoi uraia ovyo ovyo kwa wageni ili waje kupoka ardhi.

Kwa nini mkazi wa Usambara akose ardhi kwa saab eti imeshikiliwa na mkazi wa Sheffield, Uingereza ??? How on earth ????

Over our cold dead bodies!!!

We will die on the hill defending the fatherland against such land grab by people who don"t live here.
 
Pure hoo-ha. What do you do with the land you are now pretending to value? Like simians, most just sit on it as Indians and their CCM stooges grab and use it as you watch and sing hallelujah in stinking penury. I don't think that Tanzanians in diaspora are interested in land grab. Look at the magabacholi from Zenj like Bakhresa and others. Maybe, you will smell coffee.
 
I don't think that Tanzanians in diaspora are interested in land grab.
Sasa mnataka nini kama hamtaki ardhi ? Raia 6 wa Marekani waliofungua shauri hili wamesema wanataka ardhi. Nani awape ardhi watu ambao hawapo nchini ?

Bakhressa huyo uliyemwita gabacholi wa Zanzibar na yeye his safety is hanging in the balance, Muungano ukifa atarudi Pemba. Kuna siku critical mass itafika tutafagia wote hao, ngoja tufike 100 milion kesho kutwa na ardhi imebana.

Diaspora, your best bet is to stay where you are. You opted out of here, enjoy life of milk and honey abroad!
 
Huo uTanzania wanautoa wapi wakati tiari ni raia wa hayo mataifa mengine? semeni "wamarekani wenye asili ya Tanzania..."
 
Kumbe wewe ni chawa na pia ni mpumbavu....
 
Wewe jikite kusomesha watoto wetu, kutwa kuchwa upo humu kwenye siasa ndio maana mtihani inafutwa kila kukicha...
Hii ya uraia pacha, na sijui CIA, MOSSAD sio mitaala ya NACTE....
 
Vitu hivi ndio rais wetu hataki viwekwe hadharani! Uongozi usipokuwa na uwezo nao ni shida!
 
Ifike mahali waTz sote tuungane kimsimamo linapokuja suala nyeti la kiTaifa!

Zinapoibuliwa hoja za maana za namna hii zenye mustakabali wa maisha ya watu, tusianze kugawanyika makundi, tuievaluate hoja.

Jambo hili kwa mfano kimantiki, haliegemei Cdm wala Ccm ni suala la kisheria nanii la kiTaifa zaidi.

Hivi "homa" ya kikatiba ilivyopanda namna hii hapa nchini kwa sasa, kuna cha uCcm na uCdm katika jambo hilokweli?

Kukatishana ama kuzomea zomea kwa ajili ya kuegemea upande ni vita vya "panzi" furaha kwa "kunguru" kupata mawido yake na kuendelea kushiba.
 
Hoja yako haina mashiko zaidi ya ku entertain umaskini... ujio wa diaspora utakuja na mengi yenye faida kuliko hilo la ardhi pekee yake.

Sent from my SM-A013G using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…