Diaspora wafungua kesi ya Kikatiba kupinga sheria inayozuia Uraia Pacha

lakini walioenda Mahakamani ni Diaspora , siyo Chadema ; usitusingizie , Bali sisi chadema na nyinyi ccm tutapambana jukwaani kuanzia wiki ijayo kwenye mikutano ya hadhara
Usinikosee Heshima kunihusisha na CCM ninayoilaani daily.

Tanzania ni beyond CCM na CDM, suala la uraia pacha halina AFYA Kwa Nchi makini kama hii.
 
Sioni tatizo mtu kuwa na uraia pacha. ni uhafidhina tu unawasumbua wenye mamlaka
Kumfutia uraia mtu aliyezaliwa Tanzania, wazazi wake ni Watanzania, kwa sababu tu huyo mtu anaishi nchi fulani na amepewa uraia wa huko, ni uhayani. Ni sawa uwe umezaliwa Ushirombo, wazazi wako ni wa Ushirimbo. Ukasoma UDSM, ukaajiriwa Dar, ukajenga na nyumba Dar, ukaandikishwa hapo mtaani Dar kama mkazi wa Dar, halafu uende kule Ushirombo uambiwe wewe siyo mtu wa Ushirombo kwa sababu upo kwenye orodha ya wakazi wa Dar.
 
Lazima Ni machadema hayo ndio wanataka na kukazania suala Hilo ili watoto wao wanaoendelea kula kwa mrija huko wapate fursa hiyo, Maana wanachadema wanachadema wanajifanyaga wazalendo na kuhamasisha watanzania kuandamana kumbe wanajuwa watoto wao wapo huko ulaya na marekani ambako hawawezi kuguswa Wala kufikiwa na Moshi wa mahomu.

Lakini pia hao Chadema huwa wanabeza na kuongea maneno ya kumkatisha Tamaa kwa serikali unapokuwa inaboresha huduma za kijamii Kama Elimu na Afya kwa kuwa wanajuwa watoto wao hawapo hapa nchini na hata wao wakiumwa wanajuwa watatibiwa huko huko,Hii ndio sababu kwa Sasa upinzani unapuuzwa Sana hapa nchini
Acha waajadili wenye akili timamu.
 
Kama mpaka Makamba Jr ana watoto raia wa Marekani by birth ni suala la muda tu uraia pacha bongo.
Ambapo sio SAWA haswa kwa nchi zisizo hata na madawati ya kutosha.

Hakuna mkulima wala hoe hae wa kitaa anajua au kudhani suala la uraia pacha kwakuwa halimsaidii na halitabadili chochote kwenye mustakabali wa maendeleo ya nchi na mazingira yaliyomzunguka.

Kwa bahati mbaya, hizi ni sarakasi za wale wale wenye nazo, kuzaa tu wanakimbilia nje, wanawapa watoto uraia wa huko kisha wanakuja kuwapigania wawe na haki ya kuchota huku kihalali na kwenda kutumia kule.

Hawana uraia pacha tu, wanaamisha kila kitu hapa, wanakomba vyote......
 
Chadema inahusu nini tena ?
Pengine kwasababu hoja mezani ni uraia pacha, hoja iliyoibuliwa tena kwa nguvu na kiongozi wa Chadema.

Hivi karibuni, viongozi wawili wa Chadema wamejinadi hadharani kuwa watoto wao ni raia wa nchi nyingine.

Inawezekana ndio sababu ya kutajwa Chadema, kama vile unavyozungumzia UFISADI, UBADHIRIFU, kisha ukaitaja SISIEMU, wengi watakuelewa unataka kuzungumzia nini!
 
Lazima Ni machadema hayo ndio wanataka na kukazania suala Hilo ili watoto wao wanaoendelea kula kwa mrija huko wapate fursa hiyo, Maana wanachadema wanachadema wanajifanyaga wazalendo na kuhamasisha watanzania kuandamana kumbe wanajuwa watoto wao wapo huko ulaya na marekani ambako hawawezi kuguswa Wala kufikiwa na Moshi wa mahomu.

Lakini pia hao Chadema huwa wanabeza na kuongea maneno ya kumkatisha Tamaa kwa serikali unapokuwa inaboresha huduma za kijamii Kama Elimu na Afya kwa kuwa wanajuwa watoto wao hawapo hapa nchini na hata wao wakiumwa wanajuwa watatibiwa huko huko,Hii ndio sababu kwa Sasa upinzani unapuuzwa Sana hapa nchini
Umelamba asali hadi unabeua pumba.
Hakika ccm imelaaniwa eti naye huyu ni mtetezi wa chama.

#MaendeleoHayanaChama
 
Lazima Ni machadema hayo ndio wanataka na kukazania suala Hilo ili watoto wao wanaoendelea kula kwa mrija huko wapate fursa hiyo, Maana wanachadema wanachadema wanajifanyaga wazalendo na kuhamasisha watanzania kuandamana kumbe wanajuwa watoto wao wapo huko ulaya na marekani ambako hawawezi kuguswa Wala kufikiwa na Moshi wa mahomu.

Lakini pia hao Chadema huwa wanabeza na kuongea maneno ya kumkatisha Tamaa kwa serikali unapokuwa inaboresha huduma za kijamii Kama Elimu na Afya kwa kuwa wanajuwa watoto wao hawapo hapa nchini na hata wao wakiumwa wanajuwa watatibiwa huko huko,Hii ndio sababu kwa Sasa upinzani unapuuzwa Sana hapa nchini
Mbuzi hizi ndio zinaturudisha nyuma sana
 
Watafanikiwa, maana Kikwete, anayeongoza nchi kwa sasa ni muumini wa uraia pacha
 
Nyie mambuzi mnakataa ila Waziri wenu mmoja mlimtimua juzi kati ana uraia wa USA. Na wapo wengi tu humo kwenye chama cha mambuzi na kwenye serikalini yenu wana uraia wa nchi za kigeni

Mambuzi ni majinga sana
Ana uraia kwa jina lile lile?
 
Kumfutia uraia mtu aliyezaliwa Tanzania, wazazi wake ni Watanzania, kwa sababu tu huyo mtu anaishi nchi fulani na amepewa uraia wa huko, ni uhayani. Ni sawa uwe umezaliwa Ushirombo, wazazi wako ni wa Ushirimbo. Ukasoma UDSM, ukaajiriwa Dar, ukajenga na nyumba Dar, ukaandikishwa hapo mtaani Dar kama mkazi wa Dar, halafu uende kule Ushirombo uambiwe wewe siyo mtu wa Ushirombo kwa sababu upo kwenye orodha ya wakazi wa Dar.
Mfano wako uliotoa hauendani.
 
Uraia pacha hauhitajiki kwa sasa. Wanaotaka uraia pacha hawana uzalendo na wana nia ovu dhidi ya nchi yetu. Nadhani kwa sasa serikali ingeruhusu mgombea binafsi.
 
Suala la ardhi kwa wana diaspora wakitaka kumiliki ardhi Tanzania mijini na vijijini

From 24:25"
Land holding patterns in Tanzania, both rural and urban areas

Kwangu Mimi naona ni tatizo sn,,

Shida yao kubwa ni kumiliki ardhi ambazo wao sababu wana pesa watazinunuwa Kwa kasi na sisi makapuki kushindwa kumiliki ardhi.

Hili suala la diaspora msilishupalie kabisa.

Diaspora hana uchungu wowote na inchi hii.
Yupo kimslahi zaidi,, ndy maana akaukana utaifa wake wa Tanzania Kwa kipande cha keki huko majuu.

Serikali ishikilie hapo hapo.

No tanzanian no ardhi..
Mkiruhusu hao bado kuna jamaa zetu wa Jirani na wao watajazana hapa Kwa kigezo Cha diaspora mwisho iwe tatizo..

Diaspora ningewaona wana hoja ya maana kama kwanza wangefunguwa kesi kwann mtu wa bara haruhusiwi kuwa na ardhi Zanzibar..
Kama kweli wana uchungu na ardhi ya inchi hii.
Serikali iweke pini hapo hapo,,labda wawe wametumwa na mafisadi huko ng'ambo kufunguwa kesi kuishitaki serikali Kwa mgongo wa diaspora..
 
Kwangu Mimi naona ni tatizo sn,,

Shida yao kubwa ni kumiliki ardhi ambazo wao sababu wana pesa watazinunuwa Kwa kasi na sisi makapuki kushindwa kumiliki ardhi.

Hili suala la diaspora msilishupalie kabisa.

Diaspora hana uchungu wowote na inchi hii.
Yupo kimslahi zaidi,, ndy maana akaukana utaifa wake wa Tanzania Kwa kipande cha keki huko majuu.

Serikali ishikilie hapo hapo.

No tanzanian no ardhi..
Mkiruhusu hao bado kuna jamaa zetu wa Jirani na wao watajazana hapa Kwa kigezo Cha diaspora mwisho iwe tatizo..

Hao ningewaona ningewaona wana hoja ya maana kama kwanza wangefunguwa kesi kwann mtu wa bara haruhusiwi kuwa na ardhi Zanzibar..

Serikali iweke pini hapo hapo,,au wawe wametumwa na mafisadi kifunguwa kesi kuishitaki serikali Kwa mgongo wa diaspora..
Mapori yote yaliyojaa nchi hii mtayafanyia nini na kilimo chenu cha jembe la mkono ?
 
Ni yetu watanzania ,,
Kwa faida yetu watanzania.

Najivunia kuwa mtanzania ..

Hivi unadhani diaspora huko nje wako mamilion mangapi?.

Unadhani nn kinawafanya walielie na kuitamani kumiliki ardhi ya tanzania?

Sababu huko majuu hakuna ardhi ya kuchezea kama Africa..

Sio jambo la kulishupalia hilo,,miaka ya baadae ardhi haigusiki tena..
 
Wapo watu kibao nawajuwa wapo hapo tanzania.
Wana passport za ulaya/marekani lakini still wananunuwa nyumba na mashamba tanzania.

Sababu bado Wana vitambulisho vya tanzania.
Na huwezijuwa kama sio raia wa Tanzania.
Sasa wao wanataka serikali ihalalishe nini kwao hao diasporas?kama hawana agenda ingine tofauti na ardhi?
Hoja ya kusema wanalala Kwa ndugu ni uongo mtupu.

Nikirudi nawafungulia kesi ya kikatiba hao diasporas Kwa kuidanganya jamhuri.
 
Lazima Ni machadema hayo ndio wanataka na kukazania suala Hilo ili watoto wao wanaoendelea kula kwa mrija huko wapate fursa hiyo, Maana wanachadema wanachadema wanajifanyaga wazalendo na kuhamasisha watanzania kuandamana kumbe wanajuwa watoto wao wapo huko ulaya na marekani ambako hawawezi kuguswa Wala kufikiwa na Moshi wa mahomu.

Lakini pia hao Chadema huwa wanabeza na kuongea maneno ya kumkatisha Tamaa kwa serikali unapokuwa inaboresha huduma za kijamii Kama Elimu na Afya kwa kuwa wanajuwa watoto wao hawapo hapa nchini na hata wao wakiumwa wanajuwa watatibiwa huko huko,Hii ndio sababu kwa Sasa upinzani unapuuzwa Sana hapa nchini

Nikisema uko na ujinga mwingi, nitakuwa nimekosea???

Nchi inazidi kudidimia kwa uwepo wa watu wenye ujinga kama wewe.

[emoji706][emoji706][emoji706]
 
Lazima Ni machadema hayo ndio wanataka na kukazania suala Hilo ili watoto wao wanaoendelea kula kwa mrija huko wapate fursa hiyo, Maana wanachadema wanachadema wanajifanyaga wazalendo na kuhamasisha watanzania kuandamana kumbe wanajuwa watoto wao wapo huko ulaya na marekani ambako hawawezi kuguswa Wala kufikiwa na Moshi wa mahomu.

Lakini pia hao Chadema huwa wanabeza na kuongea maneno ya kumkatisha Tamaa kwa serikali unapokuwa inaboresha huduma za kijamii Kama Elimu na Afya kwa kuwa wanajuwa watoto wao hawapo hapa nchini na hata wao wakiumwa wanajuwa watatibiwa huko huko,Hii ndio sababu kwa Sasa upinzani unapuuzwa Sana hapa nchini

Ni aibu sana kusoma comment ya namna hii,katika karne hii na dunia hii ya mwaka 2022 bado unahusisha haki ya kikatiba ya mtu na siasa,aisee ndio maana nchi hii inatawaliwa kimazoea tuna raia wengi wenye uelewa wa hovyo sana
 
Back
Top Bottom