Uchumi wa Kati
Member
- Jul 3, 2020
- 29
- 63
Naunga hoja jamaa linasifia hadi linavuka mstariAna miaka yake 31? Ameafanya kazi ya kufunga muzik wa magari kwa zaidi ya miaka 20?? Maji kauza lini?? Acheni kutoa sifa zilizopitiliza mpk mnadanganya. Apewwe tu hongera katusua mengine mwachieni mwenyewe
Usisahau pia Magomeni ndio makao makuu ya wauzaji na wasafirishaji wa dawa za kulevya Tanzania.Nimevutiwa na utajiri mkubwa huyu kijana mwenye miaka 31.
Amekuwa akiuza maji kabla ya kujiajiri kwa kazi be ya kufunga mziki magari na kuyapimpu.Kazi hii kafanya kwa miaka zaidi ya ishirini.
Ana miliki nyumba yenye thamani ya zaidi ya milioni 350 TSH, pamoja na magari ya kifahari ya thamani ya zaidi milioni 850.
Hakika kijana huyu ni kielelezo cha vijana wenye mafanikio makubwa kwa kujiajiri wenyewe bila ya kutegemea ajira ya serikalini, mafanikio ya kijana huyu ni zaidi ya wasomi walioajiriwa wakisubiri mshahara kiduchu kwa mwezi.
Hongera yake.
Kabisa mkuu.Uzuri dogo ana connection na watu maarufu wote unaowajua ww tanzania hii so kufanikiwa easy tuu. Kazi kubwa ya kujivunia ni kufanikiwa kujenga connection baaas
dont hate penye sifa sifiaAna miaka yake 31? Ameafanya kazi ya kufunga muzik wa magari kwa zaidi ya miaka 20?? Maji kauza lini?? Acheni kutoa sifa zilizopitiliza mpk mnadanganya. Apewwe tu hongera katusua mengine mwachieni mwenyewe
Nimevutiwa na utajiri mkubwa huyu kijana mwenye miaka 31.
Amekuwa akiuza maji kabla ya kujiajiri kwa kazi be ya kufunga mziki magari na kuyapimpu.Kazi hii kafanya kwa miaka zaidi ya ishirini..
Hizi Stori zenu tatzo mnazileta na chumvi nyingi sn.Mnaharibu mnakuja kuonekana waongo au tukikosoa tunaonekana tuna wivu
Mtu ana miaka 31 alafu ameanza kazi ya kupimpu magari zaidi ya miaka 20,yaani alianza kazi ya kupimpu magari na kufunga mziki akiwa na miaka 7 au 8?
Wewe dick humjuwi,,wacha kudanganya watu.Nimevutiwa na utajiri mkubwa huyu kijana mwenye miaka 31.
Amekuwa akiuza maji kabla ya kujiajiri kwa kazi be ya kufunga mziki magari na kuyapimpu.Kazi hii kafanya kwa miaka zaidi ya ishirini.
Ana miliki nyumba yenye thamani ya zaidi ya milioni 350 TSH, pamoja na magari ya kifahari ya thamani ya zaidi milioni 850.
Hakika kijana huyu ni kielelezo cha vijana wenye mafanikio makubwa kwa kujiajiri wenyewe bila ya kutegemea ajira ya serikalini, mafanikio ya kijana huyu ni zaidi ya wasomi walioajiriwa wakisubiri mshahara kiduchu kwa mwezi.
Hongera yake.
Nimevutiwa na utajiri mkubwa huyu kijana mwenye miaka 31.
Amekuwa akiuza maji kabla ya kujiajiri kwa kazi be ya kufunga mziki magari na kuyapimpu.Kazi hii kafanya kwa miaka zaidi ya ishirini.
Ana miliki nyumba yenye thamani ya zaidi ya milioni 350 TSH, pamoja na magari ya kifahari ya thamani ya zaidi milioni 850.
Hakika kijana huyu ni kielelezo cha vijana wenye mafanikio makubwa kwa kujiajiri wenyewe bila ya kutegemea ajira ya serikalini, mafanikio ya kijana huyu ni zaidi ya wasomi walioajiriwa wakisubiri mshahara kiduchu kwa mwezi.
Hongera yake.
Akimaliza alipie Tangazo.... ModeratorNimevutiwa na utajiri mkubwa huyu kijana mwenye miaka 31.
Amekuwa akiuza maji kabla ya kujiajiri kwa kazi be ya kufunga mziki magari na kuyapimpu.Kazi hii kafanya kwa miaka zaidi ya ishirini.
Ana miliki nyumba yenye thamani ya zaidi ya milioni 350 TSH, pamoja na magari ya kifahari ya thamani ya zaidi milioni 850.
Hakika kijana huyu ni kielelezo cha vijana wenye mafanikio makubwa kwa kujiajiri wenyewe bila ya kutegemea ajira ya serikalini, mafanikio ya kijana huyu ni zaidi ya wasomi walioajiriwa wakisubiri mshahara kiduchu kwa mwezi.
Hongera yake.
Ukakasi ni umri wake.Watu hawataki kukubali jamaa ashatusua "
Mleta mada hii ndio hali halisi ya watanzania,,, ukiwa nacho unapondwa usipokuwa nacho pia unapondwa ....