Dick Sound: Milionea aliyeanza kuuza maji, kufunga muziki Magomeni

Amefanya hiyo kazi Kwa miaka zaidi ya 20 na yeye ana miaka 31🤔
 
Wapo walioanza kabla yake mbona hawajatoboa
Na hawatokaa watobowe ng'oo, hapa mjini si kila ofisi unayoiona ndio source of income ya muhusika.

Hizo ofisi ni cover tu, watu wana mambo yao mengine.

Hii dunia ina siri kubwa, utashangaa siku ukimkuta mchungaji yupo kwa mganga wa kienyeji kunyoosha mambo yake, kesho kanisani anakemea wachawi na mapepo hii ndio dunia ilivyo.
 
Kutoa rim org iliyokuja na Gari kutoka Japan/UK halafu nikaweka jiko la mchina kutoka kwa dick siwezi aisee.

Ila wamasai hapa mjini hawajawahi kuisha.
[emoji16][emoji23][emoji2][emoji2][emoji3][emoji3][emoji3][emoji16][emoji16]
 
Ana miaka yake 31? Ameafanya kazi ya kufunga muzik wa magari kwa zaidi ya miaka 20?? Maji kauza lini?? Acheni kutoa sifa zilizopitiliza mpk mnadanganya. Apewwe tu hongera katusua mengine mwachieni mwenyewe
Gud qn
 
Watu hawataki kukubali jamaa ashatusua "
Mleta mada hii ndio hali halisi ya watanzania,,, ukiwa nacho unapondwa usipokuwa nacho pia unapondwa ....
Ana miaka 31, kafanya Kazi zaidi ya miaka 20.
Hebu Elezea hili tafadhali ....

#YNWA
 
Usisahau pia Magomeni ndio makao makuu ya wauzaji na wasafirishaji wa dawa za kulevya Tanzania.

Nia ya muanzisha uzi ilikuwa useme kama ulivyoandika !!! Haamini kuwa bila Kuwa punda huwezi kutoboa!
 
Huyo sasa ndy mwamba alikuwa anafunga miziki

Hawa wa sahv wote mbwembwe tu

Nikas yupo sema ka lay low anapiga mishe zingine mdg mdg

Ova
Alinifungia muziki mwaka 2008 kile kinu husikii nje kabisa Ila nikifungua mlango au mtu akiingia ndani ya gari ndio alikuwa anaelewa Watts zilizomo mle ndani.

Jamaa bonge la sound technician Yuko Safi sana, naona ameona hiyo biashara wamevamia madogo na bidhaa za kichina haimlipi.

Zamani Kama hauna kuanzia milioni na nusu hupati kinu Cha ukweli, .sasa imagine 1.5 ya 2008 kwa sasa ni bei gani maana by that time hata Dola moja ilikuwa 980.
 
Nikas alikuwa anajuwa

Ova
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…