Dick sound

kzba

JF-Expert Member
Joined
Jun 19, 2014
Posts
1,355
Reaction score
789
Aisee huyu jamaa nilikuwa nafutilia historical back ground yake ingawa alikuwa anajiuma uma kwa ku loose confidance dhidi ya ugeni wa kuongea kwenye media.

Ila kama ni kweli alichokuwa anakiongea kwenye The Mboni Show, anastahili pongezi kwa kweli kwa hatua alizofikia, Mungu amjalie zaidi.

Keep it up dogo.
 
Achana nae huyu anatuletea habari za wafunga miziki/reams za kwenye magari huku.
Huku tunataka celebrities tu.

Dah hvi ww mdada jukwaa gan sinakuona humu jf....unalalaga kweli?
 
jukwaa ketu pendwa limevamiwa rasmi sasa huyo dickson ndio mdudu gani
 
Dick Sound ndio amefunga miziki ya Masupastar wengi wakiwemo kina wema,Diamond etc nadhani anawafungia bure kwa sharti la kumpa promo insta/fb na kwenye media.


 
Achana nae huyu anatuletea habari za wafunga miziki/reams za kwenye magari huku.
Huku tunataka celebrities tu.
Teh Teh
Sikutegemea hata huyu anaweza kuanzishiwa topic huwa nasikia jina lake likitajwa na Madee lakini sikuwa kufikiri ni Celebrity....!
 
Kwani mtu kuwa celebrity inabidi afanye nini? Mbona kuna watu ambao hawajafanya lolote la maana lakini ni macelebrity mfano Martin Kadinda, Petit Man etc. Dogo kapata umaarufu kwa kuwafungia "mastaa" sound na accessories nyingine kwenye magari yao.
 
Mkuu kzba kuongea mbele ya camera sio kitu rahisi kama wengi wanavyodhani. Nimeshashuhudia watu wenye status kubwa huko Serikalini wakati wa mahojiano kabla hamjawasha camera na mataa anaongea vizuri, mkiwasha camera na taa tu anasahau kila kitu, jasho linamtoka utafikiri katoka kupanda mlima.
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…