War is dirty, hamna kitu kizuri hutokana na vita, pande zote mbili lazima tukubali kuumia kwa njia moja au nyingine, huyu marehemu waziri Nkaissery kama angeanza kwa kucheka cheka kama yule waziri wa mwanzo, alshabaab wangeendelea kutukojolea.
Ilibidi jamaa ajitoe ufahamu, maana alitokea jeshini hivyo ikambidi aweke hisia na huruma pembeni akawa full mapigo kwa kwenda mbele. Nawaambia hata nyie Watanzania hapo Kibiti pataendelea kuwa jipu kubwa kama kamanda Sirro hatojitoa ufahamu na kufanya yake.