DICTATOR Joseph Nkaissery wa Kenya

DICTATOR Joseph Nkaissery wa Kenya

Huyu si alikuwa mkuu wa majeshi au?Kumbe mkuu wa majeshi nae anaweza kuwa dikteta na raisi akawa kawaida?

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Yaani huyu jamaa ukiangalia sura yake kwenye picha yake moja ambayo iko humu Jf iliyowekwa baada ya taarifa ya kifo chake huwezi kubisha ya kwamba ni mtu mwenye roho mbaya sana na katiri.SURA NA MACHO HAVIONGOPI
 
Huyu Ndio alikuwa kiboko ya Wale washenzi hawana ham nae.
 
Huyu Ndio alikuwa kiboko ya Wale washenzi hawana ham nae.
 
Al shabab hawatamsahau.. kule kaskazini na Mombasa aliwanyoosha kweli kweli
 
War is dirty, hamna kitu kizuri hutokana na vita, pande zote mbili lazima tukubali kuumia kwa njia moja au nyingine, huyu marehemu waziri Nkaissery kama angeanza kwa kucheka cheka kama yule waziri wa mwanzo, alshabaab wangeendelea kutukojolea.
Ilibidi jamaa ajitoe ufahamu, maana alitokea jeshini hivyo ikambidi aweke hisia na huruma pembeni akawa full mapigo kwa kwenda mbele. Nawaambia hata nyie Watanzania hapo Kibiti pataendelea kuwa jipu kubwa kama kamanda Sirro hatojitoa ufahamu na kufanya yake.
 
Back
Top Bottom