Dictator Museveni must go!

Kila dikteta ana mwisho wake, ni suala la muda tu, hakuna anayeishi milele hata kama yeye anataka kuishi milele.

Vile vile kila mfumo kandamizi una mwisho wake, ni suala la watu kuamua tu huo mwisho uwe lini pale uvumilivu utakapokuwa umefika kikomo.

Yanaweza kuja kutokea mabadiliko ambayo hayajawahi kutokea pengine popote pale duniani, ulimwengu wote ukashangaa. Kobe akikaa kimya anatunga sheria, watanzania sio wajinga
 
kuna 'udikteta' wenye manufaa na udikteta njaa/uzuzu/uchwara/uboya!
 
Mhhhhh mbona kinyume nyume !!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
M7 anapendwa sana Uganda tofauti na maandamano ya vijana wachache mnaowaona mitaani. Ukitaka kufahamu M7 alivyowapa uhuru wananchi wake anza route za Kampala

North West
 
Kweli baadhi ya watanzania wanaakili ndogo jamani!!

Eti kwakuwa dikteta wetu ataondoka katika kipndi cha miaka kumi, tukae kimya tu!

Aue watu, akandamize watu, aue democrasia, vimada wake wote awape vyeo, afanye manunuzi bila utaratibu...n.k!!



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Watu kama wewe ndio wenye akili ndogo. Umebuni wazo la maendeleo ukazuiliwa usilitekeleze!!.

Umefikiria juu ya ujenzi wa kitu fulani chenye faida kwa jamii yako kabla ya kuabudu kile unacholishwa na wanaharakati?.

Museveni anayesifiwa na mleta mada kamtwanga Boby Wine mpaka jamii ya kimataifa inalalamika.

Mlizoea kuishi kijingajinga tu mkitukana viongozi kadri mlivyojisikia, mnaporudishwa kwenye mstari ndio mnaanza kupiga kelele za udikteta!!.

Badilikeni, dunia huwa haina muda wa kumsubiri mtu fulani apate akili, yenyewe ina nafasi kwa wenye akili na wanaojitambua.
 
M7 anapendwa sana Uganda tofauti na maandamano ya vijana wachache mnaowaona mitaani. Ukitaka kufahamu M7 alivyowapa uhuru wananchi wake anza route za Kampala

North West
Kinacho nipa taabu ni kwa nini anawabania wapinzani kama anapendwa sana? Au kuna kuto jiamini?
 
Every President,has his own style of governance:hats Trump, hatawali kama walivyotawala walimtangulia akina Obama na wenzake, hata hapa Tz, tumeona ,utawala was waliotangulia akina mzee ruksa, aliweka pembeni Azimio la Arusha,Mkapa akauza Mabenk ,Nyumba za serikali na Mashirika ya Umma, JK, UPO H .
EVERY PRESIDENT HAS HIS/HER OWN STYLE OF GORVENANCE; Mtoa Uzi lazima ujue kuwa ,kila mtawala ana mtazamo wake na malengo yake , hata hao mnowaita vinara wa Demokrasia wamarekani,ambao Mimi ndio nawaita Madkteta nambari moja wa Dunia , nao kila mtawala akiingia madarakani anastyle take yakutawala, Trump, amefutlia mbali Sera nyingi za mtanglizi wake Obama!?, hata Tz tulikuwa na Mzee ruksa akafuta Azimio LA Arusha, Mmachinga, akauza Nyumba za serikali, Mabenki,na mashirika ya Umma, JK,mikataba ya madini kwenda kusainiwa London na Safari nyingi sana nchi za Ng'ambo, Sasa wewe unataka Ngosha amwige nani?au M7, amwige nani?!, Hao wamarekani wanaua watawala kila kona ya Dunia wanaojaribu kukatisha maslahi yao ,hawana rafiki was kweli, wana urfiki was kimaslahi,walimuua Gadafi, Lumumba, Sadaam, Yaser Ararfat, Savimbi, na sasa wanawawinda Syiria, Iran na North Korea , Jiulize kulikoni?!?!,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…