Did mengi had a prenup? Protect your wealth get prenup.

Natalia

JF-Expert Member
Joined
Jul 3, 2011
Posts
4,324
Reaction score
1,892
Prenup agreement ni kitu kizuri mno .its simple tunaoana kwa mapenzi pesa zangu Kabla ya ndoa haugusi .
 

Attachments

  • ED842EE7-EF74-4EA7-9731-E58F1A7E63A0.jpeg
    69.3 KB · Views: 52
  • 32EB50A7-9D6E-4E17-BB4A-30A486EB77FF.gif
    116.1 KB · Views: 84
  • FD0A8991-88B1-49E1-A0CE-ED8D41121812.jpeg
    23.9 KB · Views: 46
  • 93FDEFD7-BBD2-46BF-95B8-94CF8E409426.jpeg
    17.9 KB · Views: 57
  • E642C60D-A79F-42FC-8B41-99E69B1EF893.jpeg
    17 KB · Views: 53
  • ADAF0073-B1BF-420F-87A8-11ED19C0926D.jpeg
    30.6 KB · Views: 50
hakuna cha penup mkifunga ndoa mali ni pasu kwa pasu . Jacline sasa hivi ndio mwanamke tajiri kupita wote Africa
Hakuna kitu kama hicho soma sheria ya ndoa vizuri..
Lazima uangalie mlimkuta na nini?
Umeongeza nini katika mali zake,hata kama zimeogezeka baada ya kuwa nawe,Je wewe unamchango gani au ni kula kulala tu ukisubiri afe?
Kuna mali mlizochangia au wewe ni mawazo tu lakini hukuweka hata mia??
Unaweza shangaa mahakama inampa milioni hamsini tu kati ya mabilioni..maana mali aliikuta tayari ipo watakachoangali ni nini amekiongezea au ushiriki wake katika kikiogezea..
 
Hii kitu sijui kama ipo Bongo pia wajane mara nyingi wanaonewa sana kwenye mirathi hasa na ndugu wa marehemu.

Prenup agreement ni kitu kizuri mno .its simple tunaoana kwa mapenzi pesa zangu Kabla ya ndoa haugusi .
 
Sheria ipi inasema mkifunga ndoa mali ni pasu?
mkifunga ndoa mnakuwa ni mwili mmoja cha mke ni cha mume na cha mume ni cha mke, mali ni za wote, hata ndoa ifungwe leo kesho mume akafa automaticaly mali zote ni za mke. hicho ndio kinachofanyika kote mali ni za familia.
 
kwa hiyo mume akifa mali zinaenda kwa nani kama sio kwa mke na watoto?
 
mkifunga ndoa mnakuwa ni mwili mmoja cha mke ni cha mume na cha mume ni cha mke, mali ni za wote, hata ndoa ifungwe leo kesho mume akafa automaticaly mali zote ni za mke. hicho ndio kinachofanyika kote mali ni za familia.
Hiyo ni sheria ya ukoo wenu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…