Sio hivyo. Soma sheria upate ufahamu wewe.hakuna cha penup mkifunga ndoa mali ni pasu kwa pasu . Jacline sasa hivi ndio mwanamke tajiri kupita wote Africa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sio hivyo. Soma sheria upate ufahamu wewe.hakuna cha penup mkifunga ndoa mali ni pasu kwa pasu . Jacline sasa hivi ndio mwanamke tajiri kupita wote Africa
mkifunga ndoa mnakuwa ni mwili mmoja cha mke ni cha mume na cha mume ni cha mke, mali ni za wote, hata ndoa ifungwe leo kesho mume akafa automaticaly mali zote ni za mke. hicho ndio kinachofanyika kote mali ni za familia.
Whether he had a prenup or not, how does it have affect your life ?Prenup agreement ni kitu kizuri mno .its simple tunaoana kwa mapenzi pesa zangu Kabla ya ndoa haugusi .
Wivu tu kwa binti mwenye bahati zake, maskini ndio wanaongoza kwa roho mbaya na chuki dhidi ya waliofanikiwa, kuna wakati naamini maskini ndio watakaokosa pepoPrenup agreement ni kitu kizuri mno .its simple tunaoana kwa mapenzi pesa zangu Kabla ya ndoa haugusi .
Ndio maana nyie wakinga mnawauwa wake zenu na kuwaweka misukule!mkifunga ndoa mnakuwa ni mwili mmoja cha mke ni cha mume na cha mume ni cha mke, mali ni za wote, hata ndoa ifungwe leo kesho mume akafa automaticaly mali zote ni za mke. hicho ndio kinachofanyika kote mali ni za familia.
Unadhani ni rahisi hivyo kama kunya.hakuna cha penup mkifunga ndoa mali ni pasu kwa pasu . Jacline sasa hivi ndio mwanamke tajiri kupita wote Africa
Mkuu kunya sio rahisi kama huna mavi.Unadhani ni rahisi hivyo kama kunya.
Number one mengi alikuwa na franchise Coca-Cola ( he doesn’t own Coca-Cola ) na kampuni Zake nyinyi ni public ( watu wamewekeza Hisa ) .Mengi binafsi ukute ni maskini sana hana cash ( liquid ) ni principle .Future ya kampuni alizoanzisha it’s uncertain.Mengi angetakiwa kuwa fired kwenye kampuni zake yeye mwenyewe( Steve job was fired from his own company ) .Huyo Mengi atafanyiwa autopsie kuona nini kimemua na huyo Jaquline ataisoma number huyo maana itabidi wamshughulikie mapema .Case inaweza fika highest court ( umri wa jaq utata )Whether he had a prenup or not, how does it have affect your life ?
Sina Wivu .Ila watu waliwekeza kwenye kampuni hizi .kumbuka soft drinks mostly ni franchise ,.watu wronging sana wameajiriwa .Hii sio Kama ruge KIFO ChakeWivu tu kwa binti mwenye bahati zake, maskini ndio wanaongoza kwa roho mbaya na chuki dhidi ya waliofanikiwa, kuna wakati naamini maskini ndio watakaokosa pepo
Swali langu linarudi pale pale.. Hii mada inakupa faida gani wewe?Number one mengi alikuwa na franchise Coca-Cola ( he doesn’t own Coca-Cola ) na kampuni Zake nyinyi ni public ( watu wamewekeza Hisa ) .Mengi binafsi ukute ni maskini sana hana cash ( liquid ) ni principle .Future ya kampuni alizoanzisha it’s uncertain.Mengi angetakiwa kuwa fired kwenye kampuni zake yeye mwenyewe( Steve job was fired from his own company ) .Huyo Mengi atafanyiwa autopsie kuona nini kimemua na huyo Jaquline ataisoma number huyo maana itabidi wamshughulikie mapema .Case inaweza fika highest court ( umri wa jaq utata )
Nani amekudanganya.It has never been that simple. Na ndio maana baadhi ya wanawake wanawaua waume ili warithi mali lakini wanaishia magerezani na hawaoni kitu labda nyumba ya family. Utajiri wa mzee Mengi si binafsi bali wa makampuni yake. Yeye ana hisa kama directors wengine. Director mmoja akifa kama hakusema mrith wake ni nani, hakuna mtu anayeweza ku claim haki ya kurithi hisa zake isipokuwa msimamizi wa mirathi ambaye huchaguliwa na wanafamilia. Sioni akinaMengi wakimchagua hako kasichana kuwa msimamizi wa mirathi.hakuna cha penup mkifunga ndoa mali ni pasu kwa pasu . Jacline sasa hivi ndio mwanamke tajiri kupita wote Africa
Hujui ulisemalo....hakuna cha penup mkifunga ndoa mali ni pasu kwa pasu . Jacline sasa hivi ndio mwanamke tajiri kupita wote Africa
Sheria yetu haiwezi enforce prenups maana imeweka wazi juu ya hatma ya mali kwa wanandoa endapo wakiachana kwa divorce ama mmoja akifariki vigezo vya kuangalia juu mgawanyo wa mali vipo.Prenup agreement ni kitu kizuri mno .its simple tunaoana kwa mapenzi pesa zangu Kabla ya ndoa haugusi .
Wabongo!
Na huo ndo ukweli baaaas!Wivu tu kwa binti mwenye bahati zake, maskini ndio wanaongoza kwa roho mbaya na chuki dhidi ya waliofanikiwa, kuna wakati naamini maskini ndio watakaokosa pepo