Did mengi had a prenup? Protect your wealth get prenup.

Did mengi had a prenup? Protect your wealth get prenup.

mkifunga ndoa mnakuwa ni mwili mmoja cha mke ni cha mume na cha mume ni cha mke, mali ni za wote, hata ndoa ifungwe leo kesho mume akafa automaticaly mali zote ni za mke. hicho ndio kinachofanyika kote mali ni za familia.

Mkuu kisheria haiko hivyo.

Mkitalikiana kimahakama ugawaji wa mali unahusisha zile zilizopatikana baada ya ndoa.

Mali ulizokuwa nazo kabla ya ndoa hazihusishwi.
 
ndoa haijavunjika hapa,bali mmoja kafariki,mke bado ana haki kubwa tu
 
Jack akizubaa atarudi majukwaani bongofleva kushikwa viuno na akina Mr Blue
 
mkifunga ndoa mnakuwa ni mwili mmoja cha mke ni cha mume na cha mume ni cha mke, mali ni za wote, hata ndoa ifungwe leo kesho mume akafa automaticaly mali zote ni za mke. hicho ndio kinachofanyika kote mali ni za familia.
Ndio maana nyie wakinga mnawauwa wake zenu na kuwaweka misukule!
 
Whether he had a prenup or not, how does it have affect your life ?
Number one mengi alikuwa na franchise Coca-Cola ( he doesn’t own Coca-Cola ) na kampuni Zake nyinyi ni public ( watu wamewekeza Hisa ) .Mengi binafsi ukute ni maskini sana hana cash ( liquid ) ni principle .Future ya kampuni alizoanzisha it’s uncertain.Mengi angetakiwa kuwa fired kwenye kampuni zake yeye mwenyewe( Steve job was fired from his own company ) .Huyo Mengi atafanyiwa autopsie kuona nini kimemua na huyo Jaquline ataisoma number huyo maana itabidi wamshughulikie mapema .Case inaweza fika highest court ( umri wa jaq utata )
 
Wivu tu kwa binti mwenye bahati zake, maskini ndio wanaongoza kwa roho mbaya na chuki dhidi ya waliofanikiwa, kuna wakati naamini maskini ndio watakaokosa pepo
Sina Wivu .Ila watu waliwekeza kwenye kampuni hizi .kumbuka soft drinks mostly ni franchise ,.watu wronging sana wameajiriwa .Hii sio Kama ruge KIFO Chake
 
Number one mengi alikuwa na franchise Coca-Cola ( he doesn’t own Coca-Cola ) na kampuni Zake nyinyi ni public ( watu wamewekeza Hisa ) .Mengi binafsi ukute ni maskini sana hana cash ( liquid ) ni principle .Future ya kampuni alizoanzisha it’s uncertain.Mengi angetakiwa kuwa fired kwenye kampuni zake yeye mwenyewe( Steve job was fired from his own company ) .Huyo Mengi atafanyiwa autopsie kuona nini kimemua na huyo Jaquline ataisoma number huyo maana itabidi wamshughulikie mapema .Case inaweza fika highest court ( umri wa jaq utata )
Swali langu linarudi pale pale.. Hii mada inakupa faida gani wewe?
 
hakuna cha penup mkifunga ndoa mali ni pasu kwa pasu . Jacline sasa hivi ndio mwanamke tajiri kupita wote Africa
Nani amekudanganya.It has never been that simple. Na ndio maana baadhi ya wanawake wanawaua waume ili warithi mali lakini wanaishia magerezani na hawaoni kitu labda nyumba ya family. Utajiri wa mzee Mengi si binafsi bali wa makampuni yake. Yeye ana hisa kama directors wengine. Director mmoja akifa kama hakusema mrith wake ni nani, hakuna mtu anayeweza ku claim haki ya kurithi hisa zake isipokuwa msimamizi wa mirathi ambaye huchaguliwa na wanafamilia. Sioni akinaMengi wakimchagua hako kasichana kuwa msimamizi wa mirathi.
Huyu atabaki na udirector aliokuwa nao wa kampuni mmojawapo . Kuna long process sio kujichotea tu mali.
 
Sehem kubwa ya urithi atakaopata K-Lyn ni kupitia wale mapacha aliozaa na Mengi, kwani wale ni watoto halali wa marehem hivyo kurithi ni lazima, luckily ni wakiume fungu linakua kubwa.
 
Prenup agreement ni kitu kizuri mno .its simple tunaoana kwa mapenzi pesa zangu Kabla ya ndoa haugusi .
Sheria yetu haiwezi enforce prenups maana imeweka wazi juu ya hatma ya mali kwa wanandoa endapo wakiachana kwa divorce ama mmoja akifariki vigezo vya kuangalia juu mgawanyo wa mali vipo.

Labda kama watumie sheria za nchi nyingine walikofungia ndoa km nchi husika inatambua prenups

Prenups is not universal concept, it depends with respective jurisdiction.

Njia bora labda wosia.
 
Back
Top Bottom