mashikolomageni
JF-Expert Member
- Jan 5, 2010
- 1,570
- 188
It's was natural death.I have always failed to be convinced that Mwalimu Julius Kambarage Nyerere died "A natural death!"
A death by natural causes, as recorded by coroners and on death certificates and associated documents, is one that is primarily attributed to natural agents: usually an illness or an internal malfunction of the body.
For example, a person dying from complications from influenza (an infection) or a heart attack (an internal body malfunction) would be listed as having died of natural causes. Old age is not a scientifically recognized cause of death; there is always a more direct cause although it may be unknown in certain cases and could be one of a number of aging-associated diseases.
In contrast, death caused by active intervention is called unnatural death. The "unnatural" causes are usually given as accident (implying no unreasonable voluntary risk), misadventure (accident following a wilful and dangerous risk), suicide, or homicide. In some settings, other categories may be added. For example, a prison may track the deaths of inmates due to acute intoxication separately
Mwalimu alikuwa akisumbuliwa na ugonjwa wa kansa ya damu Lukemia ambayo ilishambulia mfumo wake wa kinga za mwili na Mhe. Fupi(Mkapa) akatangazia umma kuwa amefariki kwa Ukosefu wa Kinga Mwilini. Hakuna maswali mengine usiniulize!
Upungufu wa kinga mwilini ila mtikila alifupisha akasema ukimwi na akashinda kesi,ila mie nahisi ni kama umafia ulichezeshwa hapa,mbona wakati anenda uk alikuwa sio nyondenyonde alikuwa na nguvu zake fresh sema alivyofika kule nahisi walim-assasinate....
unajua yule mzee hakuwahi kuugua mpaka kulazwa tangu maisha yake yote hapa duniani,ila alikua anatabia ya kwenda kucheki afya pindi awapo ziarani nje ya nchi.walio muuwa ni hawa mafisadi wanaotafuna nchi sasahivi na kugawa raslimali zetu.baada ya mwalimu kustaafu alirudi kijijini alikozaliwa akiendelea na shughuli zake za kawaida za kilimo.sasa ikawa ni muda mrefu hakua amefanya check up ya afya yake kama ilivyozoeleka ,basi mafasadi na majizi ya sisiemu yakajifanya yanaenda kutembelea na kumjulia hali hapohapo yakamchomekea kua mzee unajua hukucheki afya yako muda mrefu kwahiyo si vibaya tukaenda ulaya kufanya check up,kweli mzee akaona wazo sio baya akakubaliana nao,basi toka hapo ndio ikawamauti yake,wanngekua wamemtoa hospitali tungesema mzee alikua mgonjwa alakini nikua walimkuta mwenye nchi yuko zake shambani ana afya yake akipalillia mazao yake bila tatizo.kumbe wamesha anda watu wa kumpa sumu huko uluya na kweli mwalimu hakurudi.alakini hakuna atakae ishi milele kwani kila nafsi lazima itaonja mauti
NO! Mwalimu didn't die a natural death, just think of the most powerful people in the CCM in terms of cash or sponsors, they were not their before Mwl. died. Their aim was to kill him for Tanzania natural resources. God be with them.