vipanda thamani
JF-Expert Member
- Jul 7, 2022
- 411
- 668
1.nyerere 2.mkapa 3.Magufuli...sikumoja watu watafunguka kuna utata mwingisana juu yaoI have always failed to be convinced that Mwalimu Julius Kambarage Nyerere died "A natural death!"
Ebwanawee 2010 hii imekuja kuibukia 2024Sisi watu wa pwani, tuna msemo, "Elam ya mout bi saifi mata bi ghairihi, tanawaat 'lasbab, wal mut wahid", bi maana: Afae kwa upanga au kwa kingine chochote kile, kifo ni kimoja tu.
Alie kufa, kafa, hata iwe sababu ipi? Kifo ni kifo
Kuna mambo yanafikirisha sana.1.nyerere 2.mkapa 3.Magufuli...sikumoja watu watafunguka kuna utata mwingisana juu yao