Did Mwalimu die a natural death?

Did Mwalimu die a natural death?

Sisi watu wa pwani, tuna msemo, "Elam ya mout bi saifi mata bi ghairihi, tanawaat 'lasbab, wal mut wahid", bi maana: Afae kwa upanga au kwa kingine chochote kile, kifo ni kimoja tu.

Alie kufa, kafa, hata iwe sababu ipi? Kifo ni kifo
Ebwanawee 2010 hii imekuja kuibukia 2024
 
1.nyerere 2.mkapa 3.Magufuli...sikumoja watu watafunguka kuna utata mwingisana juu yao
Kuna mambo yanafikirisha sana.

Mdau Waberoya aliandika humu kuwa Mwalimu aliwekewa sumu kwenye toilet tissue akiwa Afrika kusini; mdau mwingine kaandika kuwa nywele nyeupe ni miongoni mwa walioshangilia hadharani kifo cha mwalimu, kama si mmoja wa walioratibu kifo hicho.

Alois Tendewa, mmoja wa walinzi wa mwalimu, alipewa jukumu kumlinda nywele nyeupe baada ya kuupata u-PM. Kwa wenye kumbukumbu, baada ya Magufuli kuupata urais, huyu bwana alikataa uhamisho kutoka kwa Lowasa; what bond did they have? Connect the dots.

Laana aliyopata nywele nyeupe[taking into account that mwalimu is a saint, achana na habari ya michakato] ni kufa kifo kibaya sana hadi maiti yake kushindwa kuonyeshwa kwa waombolezaji siku ya kuaga maiti kama ilivyo mazoea kwa wakristo.
 
Back
Top Bottom