Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naomba kuuliza, MTU AKILOGWA AU KUCHUKULIWA MSUKULE hii ni aina gani ya kifo, natural au unnatural???manake misikule ipo hai??
RIP Mwl. Nyerere.
Dah! Jamani wanjf wenye kuhusu issue hii watujuvye. Leo baada ya kupost mchango wangu kwenye hii thread, nilipita sehemu nikakuta mafundi selemara wakibishana, mara mmoja wao kama vile anataka ku win mjadala akasema. Hivi mnajua kuwa hata Nyerere aliuwawa? Sasa huo ni mtazamo wa laymen, je ukweli ni upi?
Hotuba ya Mwalimu kuadhimisha siku ya wafanyakazi mjini Mbeya ilipigilia msumari wa mwisho kaburi lake kwa sababu ililenga katika kuhakikisha Mkapa hapati awamu ya pili. Kama vile alivyotembea nchi nzima kumnadi Mkapa mwaka 1995, alikuwa tayari kuzunguka nchi nzima mwaka 2000 kumtema huyo huyo Mkapa. Mpango wake huo uliwapa hofu kubwa wabaya wake kwani sio tu ungezima kabisa ndoto zao kwa miaka ya baadaye, ungewaweka wengi kikaangoni. Mwalimu alikuwa na maadui wengi wa ndani na nje, wananchi kwa wageni ambao kwa pamoja waliapa kuwa njia ilikuwa moja tu ya kujihakikishia ulaji, kummaliza Mwalimu.
Ajabu ni kwamba Mwalimu alifahamu njama hizo ila kwa kuipenda na kuitakia mema taifa lake alinyamaza kwani angetaka kuwasha moto, pasingekalika. Hebu fikirieni siku Mwalimu anatangaza kuihama CCM kwa uovu wake, nawahakikisheni moto ungewawakia manyang'au ! Baada ya kifo cha Mwalimu CCM imegeuka kuwa hifadhi ya wezi wa mali ya Umma na sasa kansa hii chafu imeingia kila sekta uraiani hadi jeshini na salama ya wote hao ni CCM kubaki madarakani. Lazima pia mkumbuke kuwa Mwalimu alikuwa mzima kabisa kiafya wakati anasherehekea kuzaliwa kwake mwaka moja kabla ya kifo chake na kutabiri angeuona mwaka 2000 !
Kama misukule ipo hai hicho hakiitwi kifo kwa hiyo siyo natural death wala unnatural death. It is not death in the first place. Mkuu inamaana mzee wetu naye alichukuliwa msukule????
Natural death ile, alikwa na kansa ya ******. "Bowel cancer"Hotuba ya Mwalimu kuadhimisha siku ya wafanyakazi mjini Mbeya ilipigilia msumari wa mwisho kaburi lake kwa sababu ililenga katika kuhakikisha Mkapa hapati awamu ya pili. Kama vile alivyotembea nchi nzima kumnadi Mkapa mwaka 1995, alikuwa tayari kuzunguka nchi nzima mwaka 2000 kumtema huyo huyo Mkapa. Mpango wake huo uliwapa hofu kubwa wabaya wake kwani sio tu ungezima kabisa ndoto zao kwa miaka ya baadaye, ungewaweka wengi kikaangoni. Mwalimu alikuwa na maadui wengi wa ndani na nje, wananchi kwa wageni ambao kwa pamoja waliapa kuwa njia ilikuwa moja tu ya kujihakikishia ulaji, kummaliza Mwalimu.
Ajabu ni kwamba Mwalimu alifahamu njama hizo ila kwa kuipenda na kuitakia mema taifa lake alinyamaza kwani angetaka kuwasha moto, pasingekalika. Hebu fikirieni siku Mwalimu anatangaza kuihama CCM kwa uovu wake, nawahakikisheni moto ungewawakia manyang'au ! Baada ya kifo cha Mwalimu CCM imegeuka kuwa hifadhi ya wezi wa mali ya Umma na sasa kansa hii chafu imeingia kila sekta uraiani hadi jeshini na salama ya wote hao ni CCM kubaki madarakani. Lazima pia mkumbuke kuwa Mwalimu alikuwa mzima kabisa kiafya wakati anasherehekea kuzaliwa kwake mwaka moja kabla ya kifo chake na kutabiri angeuona mwaka 2000 !
Labda itasaidia kupata jawabu kama tutapata sababu zilizopelekea familia ya Mwalimu kumpiga marufuku daktari wake Mtanzania asimsogelee katika wiki za mwisho za uhai wake pale London. Pili, ni kwa nini serikali iliamua kumpeleka London wakati walijua kuwa Uingereza haikuwa na uwezo wakati huo kutibu leukemia, kama kweli leukemia ndio uliomsumbua Mwalimu? Kwa nini daktari wake hakushauri apelekwe New York kwa yule daktari aliyempima Mwalimu 1998? Kwa nini alipelekwa hospitali ya St. Thomas ambayo ni general hospital isiyo specialize na magonjwa maalumu na kwa nini alipokuwa London aliwekwa hotelini mpaka alipozimia? Na alipopelekwa hospitali kwa nini hakuwekwa chumba maalumu akawekwa tu eneo wazi la wagonjwa wote?Tukipata majibu kwa maswali haya tutakuwa tumepata mwangaza wa hali ya siku za mwisho za Mwalimu London.
Hotuba ya Mwalimu kuadhimisha siku ya wafanyakazi mjini Mbeya ilipigilia msumari wa mwisho kaburi lake kwa sababu ililenga katika kuhakikisha Mkapa hapati awamu ya pili. Kama vile alivyotembea nchi nzima kumnadi Mkapa mwaka 1995, alikuwa tayari kuzunguka nchi nzima mwaka 2000 kumtema huyo huyo Mkapa. Mpango wake huo uliwapa hofu kubwa wabaya wake kwani sio tu ungezima kabisa ndoto zao kwa miaka ya baadaye, ungewaweka wengi kikaangoni. Mwalimu alikuwa na maadui wengi wa ndani na nje, wananchi kwa wageni ambao kwa pamoja waliapa kuwa njia ilikuwa moja tu ya kujihakikishia ulaji, kummaliza Mwalimu.
Ajabu ni kwamba Mwalimu alifahamu njama hizo ila kwa kuipenda na kuitakia mema taifa lake alinyamaza kwani angetaka kuwasha moto, pasingekalika. Hebu fikirieni siku Mwalimu anatangaza kuihama CCM kwa uovu wake, nawahakikisheni moto ungewawakia manyang'au ! Baada ya kifo cha Mwalimu CCM imegeuka kuwa hifadhi ya wezi wa mali ya Umma na sasa kansa hii chafu imeingia kila sekta uraiani hadi jeshini na salama ya wote hao ni CCM kubaki madarakani. Lazima pia mkumbuke kuwa Mwalimu alikuwa mzima kabisa kiafya wakati anasherehekea kuzaliwa kwake mwaka moja kabla ya kifo chake na kutabiri angeuona mwaka 2000 !
:embarrassed:
Heshima kwako Mag3,
Mkuu nakubali hoja yako zipo sababu kibao zinazothibitisha unayosema.Mfano mmoja mkubwa baada ya kifo cha Mwl tulishuhudia Mkapa akianza kufuja mali za umma na mikataba mibovu kuliko ile ya Liberia iliyokuwa inakabiliwa na vita vya wenyewe kwa wenyewe.
Ukiutazama ufisadi ulivyotamalaki Tanzania hakika unabakia na jibu moja kubwa Mwl hakutuchagulia mrithi sahihi.
Jasusi:
Siri gani tena hiyo wajemeni? Lakini inawezekana maana baada ya kuondoka tu, ubinafshaji wa NBC one of his master piece went so fast.
I have always failed to be convinced that mwalimu julius kambarage nyerere died: A natural death!
Naona wengine mnajaribu saaana kukwepa swali ama kwa makusudi au kwa kutokujua. Sijui kama sababu ni uchanga wenu kimawazo au kuna wale ambao wanaogopa na wasingependa kukutana uso kwa uso na ukweli.
Uhai wa Mwalimu ulikuwa ni mwiba kwa mipango ya watu wengi na kisiki kwa walafi. Hali ya mambo kama tunayoishuhudia hivi sasa ni matunda na uthibitisho wa hilo kama yalivyokuwa matokeo ya uchaguzi mwaka 2000.
Wahusika walinufaika sana na kifo cha Mwalimu na hawakuwa hata na chemba cha aibu kusherehekea tukio hilo. Huku kubeza hoja iliyoletwa mbele yetu ni moja ya mbinu iliyopangwa na ilitegemewa. Hizi nguvu nyingi za kunga'ng'ania madarakani si bure - kuna mengi ya kufichwa !
samahani ndg, hapo kwenye red sijakuelewa kabsaaa.
hotuba ya mwalimu kuadhimisha siku ya wafanyakazi mjini mbeya ilipigilia msumari wa mwisho kaburi lake kwa sababu ililenga katika kuhakikisha mkapa hapati awamu ya pili. Kama vile alivyotembea nchi nzima kumnadi mkapa mwaka 1995, alikuwa tayari kuzunguka nchi nzima mwaka 2000 kumtema huyo huyo mkapa. Mpango wake huo uliwapa hofu kubwa wabaya wake kwani sio tu ungezima kabisa ndoto zao kwa miaka ya baadaye, ungewaweka wengi kikaangoni. Mwalimu alikuwa na maadui wengi wa ndani na nje, wananchi kwa wageni ambao kwa pamoja waliapa kuwa njia ilikuwa moja tu ya kujihakikishia ulaji, kummaliza mwalimu.
Ajabu ni kwamba mwalimu alifahamu njama hizo ila kwa kuipenda na kuitakia mema taifa lake alinyamaza kwani angetaka kuwasha moto, pasingekalika. Hebu fikirieni siku mwalimu anatangaza kuihama ccm kwa uovu wake, nawahakikisheni moto ungewawakia manyang'au ! Baada ya kifo cha mwalimu ccm imegeuka kuwa hifadhi ya wezi wa mali ya umma na sasa kansa hii chafu imeingia kila sekta uraiani hadi jeshini na salama ya wote hao ni ccm kubaki madarakani. Lazima pia mkumbuke kuwa mwalimu alikuwa mzima kabisa kiafya wakati anasherehekea kuzaliwa kwake mwaka moja kabla ya kifo chake na kutabiri angeuona mwaka 2000 !
Kwani naye ilikuwa vipi? Lete habari mkuu.Ya Dr. Omari Ali Juma inasikitisha sana,ile ilikuwa ni kumtoa kafara kuepuka aibu ya kimataifa na kuzuia nchi isiingie vitani.
Hii hotuba hivi haikuwa kabla uchaguzi haujafanyika 1995? Na maana kuwa Ben alikuwa bado hajaanza kutawala, Au kumbukumbu zangu zimechakachuliwa.Hotuba ya Mwalimu kuadhimisha siku ya wafanyakazi mjini Mbeya ilipigilia msumari wa mwisho kaburi lake kwa sababu ililenga katika kuhakikisha Mkapa hapati awamu ya pili. Kama vile alivyotembea nchi nzima kumnadi Mkapa mwaka 1995, alikuwa tayari kuzunguka nchi nzima mwaka 2000 kumtema huyo huyo Mkapa. Mpango wake huo uliwapa hofu kubwa wabaya wake kwani sio tu ungezima kabisa ndoto zao kwa miaka ya baadaye, ungewaweka wengi kikaangoni. Mwalimu alikuwa na maadui wengi wa ndani na nje, wananchi kwa wageni ambao kwa pamoja waliapa kuwa njia ilikuwa moja tu ya kujihakikishia ulaji, kummaliza Mwalimu.