Did Tanzania Steal SA's National Anthem?

Did Tanzania Steal SA's National Anthem?

Hebu nitajie nchi gani Africa mnashirikiana nayo? Mbona unakimbia swali langu. Hata majirani zenu Ethiopia wanawakimbia. Huku mnagombana na Somalia, Huku mnagombana na South Sudani, Huku mnagombana na Uganda.
Hebu niambie nchi gani africa mnaweza kushirikiana nayo enyi vibaraka wa wazungu na wasaliti wa ndungu zenu waafrica.

Asingekuwa Nyerere unadhani uhuru wenu ungekuwa rahisi. Shame on you, you don't even know the history of your continent.

Kama ni uhusiano wa mataifa za Afrika, pimanisha basi:

Diplomatic missions za Kenya,
Diplomatic_missions_of_Kenya.PNG

Diplomatic missions za Tanzania:
Diplomatic_missions_of_Tanzania.png
 
Wimbo huo ulitungwa na Enoch Sontonga ambaye aliaga dunia mwaka wa 1905, soma historia kabla hujaropokwa ujinga wako humu. Mwaka wa 1900 hata hapakua na kitu kinaitwa Tanzania, mlikua mbugani mnaishi kama wanyama kule.

Mumeishia kushobokea SA ambao wamewatafuna mumebaki mahandaki na umsakini wa mwisho.

You must be ashamed of yourself. These kind of false statements clearly manifest hatred and jealous. Our mining industry is dominated by Tanzanians.
 
Africa is one and Tanzania proudly played critical role in liberation struggle while Kenya was hugging kissing apartheid feet's ! There was minister in Kenya who was refusing to fly with aircraft flown by blacks African - what a shame !
 
Kama ni uhusiano wa mataifa za Afrika, pimanisha basi:

Diplomatic missions za Kenya,
Diplomatic_missions_of_Kenya.PNG

Diplomatic missions za Tanzania:
Diplomatic_missions_of_Tanzania.png

We unakichaa! Ramani yako inaonesha eti mna uhusiano na Zimbabwe, Namibia na Tanzania hatuna! Lini mtaacha uongo aisee? Hakuna atasiku moja Rais yeyote wa Kenya ashapata State visit in South Africa, Namibia, Zimbabwe, Angola or Mozambique na haijapata tokea marais wa nnchi hizo kuja Kenya kwa state visit or sherehe za kitaifa or kuapishwa rais wenu. Na haitatokea any time soon kwa Kenya na Malawi due to your sins of supporting apartheid. We also have a very solid diplomatic relation with Algeria na rais wao keshatembea Tz mara kibao ingawa ramani yako feki na yakutunga inaonesha otherwise. Dah! Nyie ni waongo mno, you guys are extremely horrible people.
 
Unaweza foka, ufoke, ufokeke.
Lakini takwimu haidanganyi, ewe Mtanganyika.

Na usikize kwa makini - ramani hii ni ya consulates ambazo nchi imejenga huko kwingine. Sio ni wapi wageni walipotoka.

Algeria ina consulate ndani ya Tanzania, lakini Tanzania haina consulate ndani ya Algeria.

Sawa?
 
You need a class from ambassodour Ami Mpungwe
Read more here Balozi: Sekta ya madini ni zaidi ya jipu, ni tezi

I have no reason to read politically motivated narratives which are specifically meant for narrow minded folks like yourself. I need no propagandist to lecture me about an industry that I am aware of in clinical details. Perhaps you should try and get to know the mining bill endorsed by Kikwete's administration soon after he took office.
 
Unaweza foka, ufoke, ufokeke.
Lakini takwimu haidanganyi, ewe Mtanganyika.

Na usikize kwa makini - ramani hii ni ya consulates ambazo nchi imejenga huko kwingine. Sio ni wapi wageni walipotoka.

Algeria ina consulate ndani ya Tanzania, lakini Tanzania haina consulate ndani ya Algeria.

Sawa?

Unakichaa, Tanzania ina balozi Algeria.Na pia, kama tukifuata logic yako na hii ramani uchwara, Iinaonesha Tanzania haina balozi Zimbabwe na Namibia! Gen Hashim Mbita, a former chief executive secretary of liberarion committee was among a number of Tanzania’s ambassadors to Zimbabwe. Tuna balozi Namibia as well as Angola
 
Ni jambo la aibu kwa taifa kutokua na wimbo wake wa taifa. Nikikumbuka vile wimbo wetu huwa unatupea fahari, haswa wakati wanariadha wetu wanafanya mambo yao kule hadi unaimbwa dunia yote. Sasa Wabongo waliwashobokea watu wa Afrika Kusini na kusahau wale ni watu tofauti na huwa hawajioni kama wapo Afrika. Huwa wanaita Waafrika wenzao Makwerekwere na kuwapiga sana hata kuwaua.

Kuna Mtanzania kalianzisha hilo huku Tukubaliane, hatuna wimbo wa Taifa

KUMEKUWAPO na mjadala kwamba Watanzania hatuna wimbo wa taifa. Mjadala huu upo ndani na nje ya nchi yetu. Unashirikisha Watanzania na wasio Watanzania, anaandika Ansbert Ngurumo.

Kuhusu suala hili, nakumbuka niliwahi kubanwa na baadhi ya raia waSwaziland na Lesotho, mwaka 2001 nikiwa jijini Mbabane kwa mafunzo mafupi ya uchambuzi wa kisiasa.

Tulikuwa kundi la waandishi wa habari kutoka nchi mbalimbali za Afrika Kusini mwa Sahara. Watanzania tulikuwa wawili – mimi, na Mayage S. Mayage, wakati huo nikiwa naandikia magazeti ya The African na Rai.

Katika shamrashamra za hapa na pale, siku moja wakati wa mapumziko, mmoja wa washiriki wa mafunzo hayo, raia wa Lesotho, akapendekeza kila watu waimbe wimbo wao wa taifa. Likaonekana ni jambo jema, kila mtu ajivunie utaifa wake na nchi yake mbele ya wenzake.

Kila wimbo ulipoimbwa, ulihitimishwa kwa makofi ya shangwe na (wakati mwingine) vigelegele kutoka kwa akina dada waliokuwapo. Tulikuwa tunaimba kwa mzunguko. Ilipofika zamu ya Tanzania, tukaanza kuimba kwa mbwembwe.

Hatukumaliza hata ubeti wa kwanza. Mara tukakatizwa na mmoja wa wasikilizaji wetu, akisema, “samahani, tumesema Tanzania. Sasa mbona mnaimba wimbo wa Afrika Kusini? Hamjui utaifa wenu nini?” Kabla hatujajibu, mwingine akadakia: “Hapana, huu wimbo ni wa Zambia. Hebu tuimbieni wimbo wenu.” Wengine wakacheka kama vile wanataka kutuzomea.

Nikakaribia kuwakasirikia, lakini nikawaeleza kwa upole kuwa hoja zao zinaonesha walivyo “washamba” kwa kushindwa kujua kuwa tunachoimba si wimbo wa Afrika Kusini wala wa Zambia, bali wa Tanzania. Nikawaeleza kwamba wangetuacha kwanza tukaumaliza ndipo waufananishe na hizo wanazozungumzia.

Nikawataka waelewe kwamba nyimbo kufanana tuni si kosa, bali ni sehemu ya, na zao la, umoja wa dhamira ya mapambano na ukombozi wa bara letu.

Nikasema kuwa na wimbo unaofanana ni sifa si kejeli; ni kama kuwa na lugha moja inayowafananisha Waafrika na kuonesha udugu na mshikamamo ambao Waafrika wanahitaji sasa, labda kuliko wakati wowote wa historia yao.

“Sawa. Lakini haiondoi kwamba wimbo huo unajulikana ni wa Afrika Kusini. Nyie mmeunakili. Mna hakimiliki?” Alihoji mmoja wao.

Hata hivyo walio wengi waliona mantiki katika hoja yangu ya “kulazimisha.” Nililazimisha hoja hiyo kutetea wimbo wetu, kwa sababu sikuwa na sababu ya kuonesha unyonge wa Watanzania mbele ya raia wa nchi nyingine.

Nilitimiza azima hiyo, lakini dhamiri yangu ilikuwa inaniambia kwamba, “vijana hawa wana hoja.” Bahati niliyokuwa nayo ni kwamba sikukutana na mmoja wao mwenye hoja kali.

Walikuwa na ubishi tu, na waliridhika haraka haraka na maelezo yangu ya juu juu na ya kulazimisha. Labda mjadala ungekuwa mkali na mrefu kama wangehoji zaidi, maana sikuwa tayari kushindwa kueleza kwa nini Watanzania hatuna wimbo wetu.

Hoja hii imekuwa ikijadiliwa pia na baadhi ya wanasiasa wetu, hasa walio katika vyama visivyo madarakani.

Nakumbuka kipindi fulani, akina Bob Makani (wakati huo akiwa Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo) na Freeman Mbowe (katika awamu ya kwanza ya ubunge wake wa Jimbo la Hai), waliwahi kuvalia njuga suala la wimbo wa taifa.

Wapo baadhi ya wanaharakati, wakiwamo waandishi wa habari, walikubaliana nao. Sababu ni zile zile kwamba hatuna wimbo wetu. Tumeazima.

Walifika mahali pa kusema kwamba, Chadema kikiingia madarakani, watabadili wimbo wa taifa kwa sababu huu uliopo hauna mvuto na hausisitizi utaifa. Wakapendekeza tubadili wimbo, badala ya huu wa sasa, tuimbe “Tanzania, Tanzania, nakupenda kwa moyo wote…”

Naamini viongozi wetu, kama ilivyo kawaida ya viongozi wa Afrika, waliona suala hilo ni la wapinzani, na ni la kipinzani.

Sijawahi kusikia viongozi wetu wakilijadili. Sijawahi kusikia hata mbunge mmoja wa CCM akinukuliwa kutoa hoja hiyo kwenye vikao vya uamuzi.

Na zikiimbwa nyimbo zote mbili (Mungu Ibariki Afrika; na Tanzania nakupenda kwa moyo wote), ni dhahiri kwamba huu wa pili ndio unasikika na kuhisiwa wa kizalendo kwetu. Ni wimbo wetu.

Zaidi ya hayo, kwa sababu ya ukubwa wa Afrika Kusini na umaarufu wake katika dunia, wimbo wake umefunika wimbo wetu. Siku zikutanapo timu za taifa, au viongozi wetu wanapotembeleana, zikipigwa nyimbo hizo, ndipo ukweli huu unapogundulika. Tumeiga.

Kwa faida tu ya wasomaji, ngoja nieleze historia fupi ya wimbo huu. Katika dunia nzima, hasa Afrika Kusini kwenyewe ulikoanzia, unajulikana kama “Nkosi Sikelel’ iAfrika” – maneno ya lugha ya ki-Xhosa, yenye maana ya “Mungu Ibariki Afrika.”

Mtunzi wake anaitwa Enoch Sontonga, aliyekuwa mwalimu katika shule moja ya misheni ya Kimethodisti, Johannesburg, Afrika Kusini.

Aliutunga ukiwa kama utenzi mwaka 1897. Uliimbwa kwa mara ya kwanza hadharani mwaka 1899 katika ibada ya kuwekwa wakfu mchungaji Boweni, wa Kanisa la Methodist.

Kwaya ya Sontonga na kwaya nyinginezo zikawa zinauimba mara kwa mara katika matukio jijini Johannesburg na Natal. Watu wakaupenda.

Mnamo Januari 8, mwaka 1912, katika mkutano wa kwanza wa Chama cha Wazawa wa Afrika Kusini (SANNC), mtangulizi wa ANC, wimbo huo uliimbwa mara baada ya sala ya kufunga mkutano.

Mwaka 1925, ANC ikauchukua kama wimbo wake rasmi ulioimbwa mwishoni mwa mikutano yake. Tangu hapo, wimbo huo umejulikana nje ya Bara la Afrika kama wimbo wa ANC, kwani ulikuwa ukiimbwa katika mikutano ya ANC katika harakati za ukombozi.

Harakati hizo ndizo zilifikisha wimbo huo hadi kwetu. Nasi tulipopata uhuru, tukauchukua kama wimbo wa taifa, tukautafsiri kwa Kiswahili, tukapunguza baadhi ya aya na kuubakiza kama ulivyo leo.

Zambia nao walifanya hivyo. Namibia pia waliutumia. Zimbabwe nao waliuiga, lakini baadaye “walipopata akili” wakautema, wakatunga wimbo wao.

Kwa kipindi kirefu, Afrika Kusini ilikuwa na “nyimbo mbili za taifa.” Mmoja ulijulikana kama wimbo rasmi na mwingine, usio rasmi.

Wimbo rasmi (uliotumiwa na serikali ya makaburu) uliitwa kwa jina la Die Stem (ki-Afrikaans), yaani Wito wa Afrika Kusini; na usio rasmi (uliotumiwa za wanaharakati wa ANC), ndio huo Mungu Ibariki Afrika.

Siku ANC iliposhinda uchaguzi wa kwanza kidemokrasia mwaka 1994, nyimbo hizo mbili zikatangazwa kuwa nyimbo rasmi za taifa, lakini mwaka 1996 ziliunganishwa; yakachukuliwa maneno huku na huku, ghani ikabaki ile ile ya wimbo wa ANC, ukakarabatiwa na kuwa kama ulivyo leo.

Kwa Afrika Kusini, Nkosi Sikelel’ iAfrika, kabla na baada ya uhuru, ni ishara ya uhuru na mapambano ya ukombozi wao. Unaimbwa katika lugha mbalimbali Kixhosa, Kiingereza, Kisesotho na Kiafrikaans.

Maneno yaliyo katika aya ya kwanza yaliandikwa na mtunzi mwenyewe (Enoch) katika lugha yake ya Xhosa. Mwaka 1927, aliyekuwa mmoja wa washairi maarufu wa nchi hiyo, Samuel Mqhayi, aliongeza aya nyingine saba katika lugha hiyo hiyo.

Kabla ya hapo, mwaka 1923, Solomon Plaatje, mmoja wa waandishi mahiri nchini humo, ambaye pia alikuwa miongoni mwa waasisi wa ANC, ndiye alikuwa mtu wa kwanza kuurekodi wimbo huo katika studio jijini London, akisindikizwa na muziki wa piano uliopigwa na Sylvia Colenso.

Mwaka huo huo, kiwanda cha uchapaji cha Lovedale Press, katika Jimbo la Eastern Cape, kilichapisha nakala yenye aya zote katika kijitabu. Juni 11, 1927, wimbo huo ulichapishwa katika gazeti la Umtetela Wa Bantu, ukaingizwa pia katika kitabu cha ushairi cha Kixhosa kwa ajili ya kuwafundishia watoto shuleni.

Wimbo huo pia uliingizwa rasmi katika kitabu cha nyimbo za Kixhosa kwenye Kanisa la Wapresbyteri kilichojulikana kama Ingwade Yama-culo Ase-rabe, mwaka 1929. Mwaka 1942, Moses Mphahlele, alichapisha nakala nyingine za wimbo huo katika lugha hiyo na kuzisambaza ili umma ukariri vema maneno yake.

Kwaya ya Ohlange Zulu, ya Mchungaji John L. Dube, ndiyo iliyokuza wimbo huo, kwa kuuimba mara kwa mara katika matamasha mbalimbali jijini Johannesburg.

Taratibu ukawa wimbo maarufu katika mikusanyiko ya kidini, kijamii na kisiasa; badaye ukarekodiwa pia na wasanii kina Ladysmith, Black Mambazo, Boom Shaka na Mahotella Queens.

Historia hiyo pekee inaonesha kwamba sisi bado hatuna wimbo. Kama tunavyoimbiwa na wasanii wa CCM kwamba “CCM ina wenyewe,” basi tuna sababu ya kuamini pia kwamba hata wimbo huu tunaouita wa taifa, una wenyewe – na wenyewe ni Afrika Kusini. Nadhani Wazimbabwe waliligundua hilo mapema. Wakaachana nao. Sisi tunangoja nini?

Ni bahati mbaya kwamba vijana wale waliobishana nami hawakuwa wanajua historia ya wimbo huo kama nilivyoieleza hapa. Vinginevyo, walikuwa na hoja; na wangetuaibisha. Tuna wasanii wa kutosha kutunga nyimbo zetu.

Watunge. Kama hatutaki mpya, basi tuchukue zilizopo, zinazoeleza kwa kina historia na utaifa wetu, tuzifanye rasmi nyimbo zetu za taifa, kwani huu tunaoimba sasa si wimbo wetu.
Pay back time for traitors...
 
You need a class from ambassodour Ami Mpungwe
Read more here Balozi: Sekta ya madini ni zaidi ya jipu, ni tezi
Tulieni tuwanyoe. Njaa itawaua. Askari wenu wakufa hovyo hovyo huko somalia.
Hiki kipindi cha Magu subirini tu amalize kupanga safu yake hatua ya kwanza hawamiaji haramu mnaondoka. Naona umeanza kujivuna sasa baada ya kupata kipande kidogo cha ardhi hapa TZ. Tunahakikisha unaondoka. Wewe subiri tu.
 
Unakichaa, Tanzania ina balozi Algeria.Na pia, kama tukifuata logic yako na hii ramani uchwara, Iinaonesha Tanzania haina balozi Zimbabwe na Namibia! Gen Hashim Mbita, a former chief executive secretary of liberarion committee was among a number of Tanzania’s ambassadors to Zimbabwe. Tuna balozi Namibia as well as Angola

Pole ndugu. Hujui kusoma ramani. Hujui tofauti kati ya Zimbabwe na Botswana. Mnayo consulate Zimbabwe. Lakini hamna Angola, wala Namibia.

Huniamini? Uliza serikali yako.
 
Buda, kuna tofauti ya song na tune, the former national anthem was God bless de queen, unless utuambie waingereza walitumia maneno ya god bless the queen kwenye tune ya south afrika inohamasisha liberation of africa, haiwezekani. Tanganyika baada ya uhuru wakabadilisha wimbo, waka adopt tune ya south africa ya Nkosi Sikelel' Afrika, wakatumia maneno Mungu Ibariki Africa, tukaungana na Zanzibar, kukatokea mpango wa kufanya wimbo wa taifa wa zenji ndio uwe wa Tz, mpango ukashindikana, Mungu ibariki ukashinikizwa kutumika hapa na nchi nyinginezo zitumie the same national anthem tune, so it was done and it is so up to now, nina hakika Kenyatta alikataa hili pendekezo, juu alikuwa swaiba na makaburu, wasingemkubalia atumie, you see, we were just focused abt African unity and welfare to the extent tuli sacrifice vya kwetu, unlike your backstabbing leaders, sishangai, he back stabbed Odinga sembuse nchi nyinginezo, Nyang'au like you lecturing and correcting us, irks me. You dont know shiieeeet abt Tz, dumb boy looking down on Tanzanians kisa kushindwa kuelewa kiingereza wakati mwenyewe unashindwa kung'amua mambo easy. Kaa kimya!

umesema nini sasa hapo. yaani nil, zeero. speculation tupu na blah bla mop!!!! wimbo uliandikwa na mzungu James Parry kwa kizungu, it got translated to kiswahili for use in tanzania, so you not only borrowed the words, the tune but your writer is a white man, can you just shut it up and move on.

This translation[edit]
It was first performed in Swahili at a ceremony on 8 December 1961 following the independence of Tanganyika from the British Empire. "Mungu ibariki Afrika" was composed to replace the British national anthem, "God Save the Queen" as the national anthem of Tanganyika.[4] This made Tanganyika the first African nation to adopt the tune of "Nkosi Sikelel' iAfrika" as its national anthem.[5] In 1964, Tanganyika formed a union with Zanzibar, which created the United Republic of Tanganyika and Zanzibar (later renamed to Tanzania). The newly united country adopted "Mungu ibariki Afrika" as its national anthem instead of Zanzibar's anthem.[5] Tanzania's use of "Mungu ibariki Afrika" led the way for other African countries such as Zimbabwe,Ciskei and Transkei adopted "Nkosi Sikelel' Afrika", in parts, as their national anthems. South Africa where the song comes from use only some of the words, Zambia uses only the tune and other countries have now abandoned its use.[2] "Mungu ibariki Afrika" was inspired by the African National Congress's use of "Nkosi Sikelel' iAfrika" ("God Bless Africa") as its party song after its use at Ohlange High School. The ANC anthem led to "Mungu ibariki Afrika" being selected as the national anthem of Tanzania.[6][7][8] "Mungu ibariki Afrika" is also used as a hymn requesting Tanzania remain united and independent.[9] wikipedia
 
Tafaadhali ficha upumbavu wako, hakuna speculations hapa, mm ni mwananchi mwanahistoria wa nchi husika, ninakupa facts, wewe ndio unaleta uongo na speculations. Mungu ibariki in xhosa is nkosi sikelel, it was used by ANC. No pan africanist would adhere use national anthem words composed by a white man. Ushaambiwa south africa itself uses only some words, Tz ndio imetumia maneno ya nkosi sikelel in swahili na waka adopt tune yao and made the song their national anthem. Sasa wewe mkenya na source zako unatuletea propaganda mzungu alitutungia wimbo, danganya wenzako sio wa Tz, walimu na mababu zetu walitufundisha kama nilivyokuelezea, hakuna mzungu alietutungia wimbo. Naomba ufunge huu mjadala maana unajifanya mjuaji, kumbe hujui kitu, just another egoistic dumb kenyan boy.
 
Hawa wakenya wameishiwa point. Huwezi kuwa mtu mwenye akili timamu unaelezwa na wahusika halafu unaendelea kung'ang'ania mawazo ya ajabu.

Hawa wakenya wanaweweseka sana.
 
Pole ndugu. Hujui kusoma ramani. Hujui tofauti kati ya Zimbabwe na Botswana. Mnayo consulate Zimbabwe. Lakini hamna Angola, wala Namibia.

Huniamini? Uliza serikali yako.

Ndio zao hawa jamaa, wana matatizo kielimu, jamaa anatia aibu balaa.
 
Wewe mpuuzi kweli hebu ona ndugu zako wanavyokufa na njaa kwa upuuzi wenu wa ukabira. Huku mnajisifu kijinga.

Ninaona furaha sana unapoweka picha nyingi za Somalia na Nchi zingine hapa ukisema kuwa ni wajibu wa Wakenya kuwalisha. Kwa kweli, hii inaionyesha ya kuwa mnatambua Kenya kuwa "baba yao." tunaomba msamaha kwa kuwatelekeza watoto wetu, na tutajitahidi zaidi.

Swali langu ni je, kwanini wakati mwingine nyie (si watanzania wote humu jf though,) huwa na mazoea ya kutoelewa mada? Tunajadili kuhusu kuhusu wimbo wa Taifa. Kwanini nyie msijue mada ni ipi?

Kuna watanzania fulani ambao hawana ufahamu wa wimbo wao wa taifa na haya ni mageni. Siku moja nilimsikia mtanzania akijigamba kuwa SA wamecopy Wimbo wa wao taifa. Hata hivi sasa, nimemona mtu mmoja hapa akisema SA walikopi Bendera lao. Hamjui kuwa ni Nyie ndio mlicopy bendera ya ANC. Kwanini ubunifu hamna?

Kuhusu kuwekwa kwa miili ya wanajeshi wa Kenya, siwezi shuka kiwango cha kijinga kama hicho; hivi majuzi, wananchi wenu zaidi ya hamsini wameuliwa kikatili karibu na mpaka wa TZ na Rwanda, ni wakenya wangapi umeona wakisherehekea? Kweli baadhi yenu ni wajinga aisee.
 
Ndio zao hawa jamaa, wana matatizo kielimu, jamaa anatia aibu balaa.
Wewe una elimu gani mbulula wewe? Maskini wewe!! Mnakufa hovyo kwa njaa.
Kwikwikwikwi hovyo habisa. Mmeanza kuficha mikia yenu sasa.
Wewe mbumbumbu, hujui lolote zaidi ya chuki zenu za ukabila. Mnachinjana kama kuku huku mkipigwa na wake zenu.
Oya baada ya kukaa nairobi na kuwaona mlivyo maskini kwa ajili ya heshima ya kimitandao sitaweka picha nilizonazo.

Kama nchi yenu haina histori acheni kutafuta kiki kupitia TZ. Kenya ni nchi ya Shetani.
 
Ninaona furaha sana unapoweka picha nyingi za Somalia na Nchi zingine hapa ukisema kuwa ni wajibu wa Wakenya kuwalisha. Kwa kweli, hii inaionyesha ya kuwa mnatambua Kenya kuwa "baba yao." tunaomba msamaha kwa kuwatelekeza watoto wetu, na tutajitahidi zaidi.

Swali langu ni je, kwanini wakati mwingine nyie (si watanzania wote humu jf though,) huwa na mazoea ya kutoelewa mada? Tunajadili kuhusu kuhusu wimbo wa Taifa. Kwanini nyie msijue mada ni ipi?

Kuna watanzania fulani ambao hawana ufahamu wa wimbo wao wa taifa na haya ni mageni. Siku moja nilimsikia mtanzania akijigamba kuwa SA wamecopy Wimbo wa wao taifa. Hata hivi sasa, nimemona mtu mmoja hapa akisema SA walikopi Bendera lao. Hamjui kuwa ni Nyie ndio mlicopy bendera ya ANC. Kwanini ubunifu hamna?

Kuhusu kuwekwa kwa miili ya wanajeshi wa Kenya, siwezi shuka kiwango cha kijinga kama hicho; hivi majuzi, wananchi wenu zaidi ya hamsini wameuliwa kikatili karibu na mpaka wa TZ na Rwanda, ni wakenya wangapi umeona wakisherehekea? Kweli baadhi yenu ni wajinga aisee.
Wewe hebu fuatilia comment zangu. Nimewaeleza huku mnakomaa na information za Wikipedia ambazo mtu yeyote anaweza andika. Acheni upoyoyo.
Kama mnataka kujifunza tutawapa elimu kwanini tunaimba huo wimbo. Siyo kuleta kenjeri na vijembe wakati nchi yenu ipo uchi na kwa vijembe tunajua kweli. Tunajua wapi yeti zenu zilipo.
Leta hoja tujadili uelimishwe.
 
Back
Top Bottom