Loyal_Merchant
JF-Expert Member
- Feb 25, 2011
- 623
- 267
Kutokana na clip na documdntary nlzopitia. Nimekuwa fifty fifty na kile nnachofundishwa darasan kwamba marekan ndo wa kwanza kupeleka mtu mwezini kwa kutumia apolo eleven. Cha kushangaza ktk documemtary moja kulkuwepo na msemaji mkuu wa nasa na alishindwa kupangua allegations zlizoelekezwa kwa nasa kwamba hamna mtu alietua ktk mwez hiyo 1968. Naomba maoni yenu wadau.
Mbona siku hizi Illuminati mnawasema sana? ndio mnawagundua ao? Hata kwenye topics zisizo husika mnawataja tu. si ndio kuwapigia debe kwenyewe???hiyo ilikuwa moja ya secret society(illuminati) mission kudanganya dunia kwamba walifika kwenye mwezi..
Swali kubwa la kujiuliza kama wamarekani walishafika huko late 1960 na wana interest ya kwenda huko mbona hawakwenda tena na atempt zote zilizofuata Apollo 11 zilifail Americans bado wana explore jinsi ya kufika Mwezini
Mbona siku hizi Illuminati mnawasema sana? ndio mnawagundua ao? Hata kwenye topics zisizo husika mnawataja tu. si ndio kuwapigia debe kwenyewe???
Hizi habari kuwa Americans bado wanaexplore namna ya kufika mwezini umezitoa wapi? Hivi tunaijua technolojia iliyopo na challenges za kufika mwezini? Mwezini ni nyumba ya jirani tu.
Hizi habari kuwa Americans bado wanaexplore namna ya kufika mwezini umezitoa wapi? Hivi tunaijua technolojia iliyopo na challenges za kufika mwezini? Mwezini ni nyumba ya jirani tu.
Kuhusu Illuminatis and the others like knight templers, sipendi kuamini saana kwasababu inakufunga na inakufanya uwe kipofu from obvious. Ni kama theories zimeanzishwa na watu ili kukutawala akili yako. Dont give em too much attention.
Mkuu asikudanganye mtu, baba wa Space Russia mpaka leo wanashindwa kwenda mwezini kutokana na vitu vingi, Tatizo sio means za kwenda tatizo ni mazingira ya mwezini (Radiation na vitu vingine vingi tu)
Yes America bado wana explore jinsi ya kufika mwezini na hata space, Nasa ni wajanja sana baada ya Yuri Gagarini kufika space na baadae wanaanga wengi wa kirusi akiwemo yule mbwa maarufu kwenda space ndicho kilichomforce america kutengeneza picha ile ya Nevada ambayo ina makosa mengi ya wazi
Hizi habari kuwa Americans bado wanaexplore namna ya kufika mwezini umezitoa wapi? Hivi tunaijua technolojia iliyopo na challenges za kufika mwezini? Mwezini ni nyumba ya jirani tu.