Did they actually land on the moon ?

Did they actually land on the moon ?

Loyal_Merchant

JF-Expert Member
Joined
Feb 25, 2011
Posts
623
Reaction score
267
Kutokana na clip na documdntary nilizopitia. Nimekuwa fifty fifty na kile ninachofundishwa darasan kwamba marekani ndo wa kwanza kupeleka mtu mwezini kwa kutumia apolo eleven.

Cha kushangaza katika documemtary moja kulkuwepo na msemaji mkuu wa nasa na alishindwa kupangua allegations zlizoelekezwa kwa nasa kwamba hamna mtu alietua ktk mwez hiyo 1968. Naomba maoni yenu wadau.
 
Mimi niliona claims zote mbili lakini I would love kuona ulichoona wewe. Naomba link tafadhali au title.
 
Mh, nishasikia hii kitu mara mbili kwamba US walitupiga changa la macho kuhusu wao kwenda mwezini. Inawezekana kuna ukweli...
 
There is a show on discovery channel 'Mythbusters' they tested several claims claimed by conspiracy. I'ts said that NASA never went to the moon and that all the video footage is a fake but it was busted hands down and a nail in the coffin was that when the astronauts went to the moon they left a retro reflector up there and when a very powerfull laser was pointed to the location a reflection was observed proving that man indeed landed in the moon.
 
Hii ni debate kubwa na ilikuwa ni miongoni mwa mapambano ya cold war (Russia na America), na mimi mnimebahatika kusoma hoja zinazotolewa na pande zote mbili, na kiukweli kwa mtazamo wangu naona hakuna mtu aliyefika Mwezini
 
Swali kubwa la kujiuliza kama wamarekani walishafika huko late 1960 na wana interest ya kwenda huko mbona hawakwenda tena na atempt zote zilizofuata Apollo 11 zilifail Americans bado wana explore jinsi ya kufika Mwezini
 
hiyo ilikuwa moja ya secret society(illuminati) mission kudanganya dunia kwamba walifika kwenye mwezi..
 
There is a show on discovery channel 'Mythbusters' they tested several claims claimed by conspiracy. I'ts said that NASA never went to the moon and that all the video footage is a fake but it was BUSTED HANDS DOWN and a nail in the coffin was that when the astronauts went to the moon they left a retro reflector up there and when a very powerful laser was pointed to the location a reflection was observed proving that MAN INDEED LANDED ON THE MOON.
 
Kutokana na clip na documdntary nlzopitia. Nimekuwa fifty fifty na kile nnachofundishwa darasan kwamba marekan ndo wa kwanza kupeleka mtu mwezini kwa kutumia apolo eleven. Cha kushangaza ktk documemtary moja kulkuwepo na msemaji mkuu wa nasa na alishindwa kupangua allegations zlizoelekezwa kwa nasa kwamba hamna mtu alietua ktk mwez hiyo 1968. Naomba maoni yenu wadau.

Mbona hii iko wazi kabisa kuwa hawakuwahi kwenda wao baada ya kuona warusi wamewawahi kupeleka chombo chao space na wao baada ya kujaribu mara kadhaa na kushindwa ikabidi watengeneze ila sinema yao pale Nevada, eti mtu anarukaruka, please. Sehemu kubwa ya state ya Nevada inamilikiwa na Jeshi kwahiyo si rahisi kujua ni sehemu gani waliyotengenezea ile simema.
 
hiyo ilikuwa moja ya secret society(illuminati) mission kudanganya dunia kwamba walifika kwenye mwezi..
Mbona siku hizi Illuminati mnawasema sana? ndio mnawagundua ao? Hata kwenye topics zisizo husika mnawataja tu. si ndio kuwapigia debe kwenyewe???
 
Swali kubwa la kujiuliza kama wamarekani walishafika huko late 1960 na wana interest ya kwenda huko mbona hawakwenda tena na atempt zote zilizofuata Apollo 11 zilifail Americans bado wana explore jinsi ya kufika Mwezini

Hizi habari kuwa Americans bado wanaexplore namna ya kufika mwezini umezitoa wapi? Hivi tunaijua technolojia iliyopo na challenges za kufika mwezini? Mwezini ni nyumba ya jirani tu.
 
Kuhusu Illuminatis and the others like knight templers, sipendi kuamini saana kwasababu inakufunga na inakufanya uwe kipofu from obvious. Ni kama theories zimeanzishwa na watu ili kukutawala akili yako. Dont give em too much attention.
 
Mbona siku hizi Illuminati mnawasema sana? ndio mnawagundua ao? Hata kwenye topics zisizo husika mnawataja tu. si ndio kuwapigia debe kwenyewe???

yaan wabongo wakishajuaga ki2 ni tabu tupu,keshokutwa utackia ma mods wote ni freemasons!!!
 
Hizi habari kuwa Americans bado wanaexplore namna ya kufika mwezini umezitoa wapi? Hivi tunaijua technolojia iliyopo na challenges za kufika mwezini? Mwezini ni nyumba ya jirani tu.

Kwenye ile Documentary ya NatGeo, wanasema computer zao enzi zile ilikuwa haina nguvu kuliko hata simu ya mknoni ya leo...
 
Hizi habari kuwa Americans bado wanaexplore namna ya kufika mwezini umezitoa wapi? Hivi tunaijua technolojia iliyopo na challenges za kufika mwezini? Mwezini ni nyumba ya jirani tu.

Mkuu asikudanganye mtu, baba wa Space Russia mpaka leo wanashindwa kwenda mwezini kutokana na vitu vingi, Tatizo sio means za kwenda tatizo ni mazingira ya mwezini (Radiation na vitu vingine vingi tu)
Yes America bado wana explore jinsi ya kufika mwezini na hata space, Nasa ni wajanja sana baada ya Yuri Gagarini kufika space na baadae wanaanga wengi wa kirusi akiwemo yule mbwa maarufu kwenda space ndicho kilichomforce america kutengeneza picha ile ya Nevada ambayo ina makosa mengi ya wazi
 
Kuhusu Illuminatis and the others like knight templers, sipendi kuamini saana kwasababu inakufunga na inakufanya uwe kipofu from obvious. Ni kama theories zimeanzishwa na watu ili kukutawala akili yako. Dont give em too much attention.

I'm definately with you on that one dude. Sometimes huwa nafikiri hata hawa wasanii kama Jay Z,kanye,Rihanna etc wanafanya vi2ko kwenye vids zao ili kuwafanya wa2 waamini wao ni masons ili waendelee kuwa famous,hapo lazima ukubali,isingekua maswala haya ya mason kina Gaga,Jay... Wangekua wanapotea kwa haraka sana. Kuhusu mwezini guys as i've said AMERICA HAVE BEEN THERE,mkifatilia hiyo show ndo mtaamini, astronauts waliacha reflectors mwezini ambazo zikimulikwa na laser zinatoa reflection which is a definate prove,plus they have soil samples to prove t. Inawezekanaje ukaamini man ameweza kuweka Robot mars afu mwezini ishindikane...
 
Mkuu asikudanganye mtu, baba wa Space Russia mpaka leo wanashindwa kwenda mwezini kutokana na vitu vingi, Tatizo sio means za kwenda tatizo ni mazingira ya mwezini (Radiation na vitu vingine vingi tu)
Yes America bado wana explore jinsi ya kufika mwezini na hata space, Nasa ni wajanja sana baada ya Yuri Gagarini kufika space na baadae wanaanga wengi wa kirusi akiwemo yule mbwa maarufu kwenda space ndicho kilichomforce america kutengeneza picha ile ya Nevada ambayo ina makosa mengi ya wazi

Afadhali umewaka wazi, watu wengi wanapenda kukubali tuu mambo wanayosoma bila kutumia akili zao za kuzaliwa kufikiri kwa kina. Wewe angalia tuu kompyuta zenyewe za miaka ya sitini zilikuwa kubwa kama nyumba na zilikuwa hazina computing power kama zilizopo kwenye smartphone, sasa unafikiri walikuwa na hiyo tekinolojia ya kupelela mtu mwezini? kitu kidogo tu kama ku-print document ambacho kinachukua sekunde kilichukua days miaka ile.

Umezumzia suala la mionzi (radiation), hivi kweli watu wanaelewa kiasi cha mionzi kilichopo huko angani katika umbali ule na jinsi ambavyo ingeweza ku-ionize delicate elecronic circuits za shuttle, hata kama vilikuwa na radiation shield, uwezekano wakuharibika ulikuwa mkubwa. Kumbuka tunaongelea miaka ya sitini hapa.
 
Nafikiri kitu kidogo na muhimu cha kujiuliza ni WINGI WA FUEL iliyotumika na inayotumika sasa hivi kwenda hapa karibu tu SPACE STATION.

Nimesoma uzito wa Apolo 11: Spacecraft mass 96,771 pounds (43,895 kg)

Discovery STS-133: Spacecraft mass Total liftoff weight: 4,525,220 pounds (2,052,610 kg) (Mitungu ya fuel na start rockets)

Soyuz-2 (rocket) (Russia): Mass 305,000 kg (672,000 lb)

Ukiangalia uzito tu, unaona kuwa Apollo 11 kama iliweza kwenda mwezini kwa tani 44 na leo Warusi wanaondoka na tani 300, basi walitakiwa kwenda Mars na kurudi ila hadi leo inawapa homa ya anga.

Wanaotaka maelezo basi wasome hapa: Moon landing conspiracy theories - Wikipedia, the free encyclopedia

Film ziko hapa kwenye link na part ya 2 & 3 utaziona kwenye Youtube maana zinafanana tittles ila namba tu. Ni ndefu sana hivyo, ukiweza basi Download na uangalie taratibu. Ku-Download basi uwe na Video Graber ya Youtube au Real Player.

All the best kwa ma Great Thinkers.
 
Last edited by a moderator:
Hizi habari kuwa Americans bado wanaexplore namna ya kufika mwezini umezitoa wapi? Hivi tunaijua technolojia iliyopo na challenges za kufika mwezini? Mwezini ni nyumba ya jirani tu.

Tatizo sio kufika bali ni documentary zao ndiyo zinawaumbua na kutufanya tusiamini wanachotueleza,mimi binafsi sikubaliani nao kuwa walifanikiwa kutua mwezini,kwa sababu vitu wanavyoonyesha kwenye documentary zao baada ya kurudi vinapingana na sayansi tunayoijua
mfano
1-Video zao zinaonyesha maastronauts wamesimama mwezini huku wameshikilia bendera ya marekani na inapepea hewani -hii kitu haingii akilini kwa bendera kupepea mwezini kwani hakuna hewa
2-.kwa technolojia ya kipindi hicho kama ukipiga picha basi lazima juu ya picha hiyo utakuta kuna alama ya msalaba(target) 'juu ya picha' ..sasa kwenye picha zao ule msalaba(target) umefunikwa au unaonekana nusu umefunikwa na picha yenyewe kitu ambacho hakingii akilini licha ya kutowezekana kabisa
3.-Muelekeo wa wa vivuli na jinsi hao maastronauts walivyokuwa wanamoove ni vitu viwili tofauti ambavyo haviendani
4.-Picha zilizopigwa zilifanana sana na eneo fulani lenye hali ya kijangwa nchini marekani
 
Back
Top Bottom