Did this man deserve to be President? He was remorseless and senseless

Did this man deserve to be President? He was remorseless and senseless

Surprisingly, he himself became a victim of the disease and eventually succumbed to it.--- what a hilarious !!
Do yo know how trivial you sound? There is so much hate in you that you sound bogus. You do need psycological help though.

Stop using a translator. Ukajishangae mwenyewe.
 
Mnaleta hizi mada for likes na comments.
Wana laana mbaya sana hawa jamaa....walitumwa na Lissu na Chadema... wao sasa wametelekezwa. Ukisikia matamshi yao ni kama? yaleyale aliyoyaleta liji Lisu kwenye mihadhara na mahojiano?

Hawana kazi na wameshaambiwa waache propaganda zao za kitoto. Wamo tu.
 
Do yo know how trivial you sound? There is so much hate in you that you sound bogus. You do need psycological help though.

Stop using a translator. Ukajishangae mwenyewe.

What translator are you talking about?

you've to distinguish between hatred and truth, the truth is; he died of covid 19, the disease he took for granted it was the one to which he succumbed.

Saying so does not mean I cherish his death rather, in his capacity as president, I condem him the way he handled the disease lightly blindfolding his senses while number of people were dying because of his reckless moves, during the course some of friends and beloved relatives of ours were among who died of the disease.

I humbly know when time comes, we shall all pass away every one in his/her own designated time however that should not be taken as a hindrance to speak the explicit truth.
 
Hv mpaka leo hamjachoka Kumsema , yule mzee angeendelea kuwa Rais nadhani Tungekuwa mbali sana kuanzia kifikra , kiutendaji na kimaendeleo. He was a Man of actions not just petty and meanings words
 
Hv mpaka leo hamjachoka Kumsema , yule mzee angeendelea kuwa Rais nadhani Tungekuwa mbali sana kuanzia kifikra , kiutendaji na kimaendeleo. He was a Man of actions not just petty and meanings words
Kuwa mbali kwa Kuumiza watu?
 
God, grant me the serenity to accept the things I cannot change,
courage to change the things I can,
and wisdom to know the difference
 
Surprisingly, he himself became a victim of the disease and eventually succumbed to it.--- what a hilarious !!
Wazushi sana nyie! .." victim of the disease"...wakati alikuwa kavaa pacemaker moyoni ndokisabaishi na chanzo serikali ilitangaza!

Uzushi wenu wa chuki hauwasaidii chochote.
 
Hakuna Cha inosenti pipo Wala bibi yake...

Kwan wale Wazungu wa migodi kama Walikua kwenye haki na hawakuonewa, kwann Alikuja Boss wao mwenyewe, yaaan kstoka Kanada, kaja TZ kuyamaliza na JPM.


Kwamba JPM alikua anakurupuka?.

JPM ni Mwanasayansi, wanasayansi ni watu wenye Akili, nayeye alijaaliwa Uwezo mkubwa wa akili ,yaan Uwezo mkubwa wa akili, mfatiliaji, mdadisi, msomaji, asopendwa kudanganywa, mkweli kwelikweli, mzalendo ,muadilifu, anayepinga Rushwa Kwa nguvu zote.


Maneno tu hayatoshi kumuelezeaaa, Wacha Miradi yake ijieleze, Wacha Wananchi wajielezeee !!.
Nakazia mkuu.

Nchi hii majitu yalizoea 'business as usual', falsafa ambayo haikufanya kazi kwa JPM.

Taifa hili litachukua miongo mingine mingi kumpata Rais mwenye 'calibre' ya JPM.

Hata yeye hakuwa mkamilifu, alikuwa na mapungufu yake kama mimi na wewe tulivyo na mapugufu.

Ku-count mapungufu yake tu na kupuuza ubora wake ni kosa kubwa sana linalofanywa na hawa wanasiasa uchwara.

Mtu kafariki miaka kadhaa iliyopita, majitu bado yanashindana na kivuli chake na bado hayashindi!

Hayati Reginald Mengi aliwahi kusema, "hakuna uwekezaji mkubwa hapa duniani kama kuwekeza kwa watu, kwasababu hata ukifa utaendelea kuishi mioyoni mwao". Magufuli anaishi mioyoni mwa Watanzania walio wengi hasa masikini, kwasababu aliwekeza mioyoni mwao.

Kile ni chuma, tena chuma cha pua. Viva Magufuli. My best president ever!

Mbele yetu, nyuma yako.
 
Inconceivable; How absurd! Kuwa Rais yeyote Duniani wakati wa Covid- 19 angeokoa kifo!

Yaani watu wengine wamekufa kwa ukaidi wao, wengine wamekufa bila hata ya kujua wanaumwa na nini wengine uzembe, and the list goes on and on... Wakati huo huo unasikia watu wakilalam ati walitegemea Raisi ndie angeenda kuwaponya, hata baada ya kutolewa rai ya kujikinga na maradhi? Kweli? is that even conceivable?

Kuna nchi zimefanya kila ya aina ya mbinu, lakini wapi, watu wekufa...mbona hao Marais hawakuitwa waovu?

Wacheni ugaidi.
 
Mmekazana na kampeni ya kumchafua Magufuli lakini nafsi zinawasuta vibaka walamba asali. Na kwa akili hizi tutaendelea kuibiwa mpaka Yesu arudi.
 
Back
Top Bottom