Venus Star
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 26,519
- 78,311
Mjerumani atakubali?Hakuna mpango wa kumrudisha kwao?
Hatuna uwezo wa kutunza hiyo mifupa,too xpensiveMjerumani atakubali?
Mpaka tujenge makumbusho kubwaHakuna mpango wa kumrudisha kwao?
Kwani anatunzwa kwa gharama gani huko Ujerumani ???Hatuna uwezo wa kutunza hiyo mifupa,too xpensive
Kwa tetesi gharama za kutunza mifupa isisagike kutokana na uzito ni madolari ya kutoshaKwani anatunzwa kwa gharama gani huko Ujerumani ???
Kwahiyo hufahamu gharama yake ila ukaamini tetesi ???Kwa tetesi gharama za kutunza mifupa isisagike kutokana na uzito ni madolari ya kutosha
Kwahiyo hufahamu gharama yake ila ukaamini tetesi ???
Huna taarifa sahihi, hivyo usikimbilie kubuni mambo.Unataka nianike hapa?
Atakubali tu mbona mafuvu ya Watemi alirudishaMjerumani atakubali?
ndivyo wanavyotuaminishaHatuna uwezo wa kutunza hiyo mifupa,too xpensive