Did you Know Dinosaur lived in Tendaguru, Tanzania?

Did you Know Dinosaur lived in Tendaguru, Tanzania?

Venus Star

JF-Expert Member
Joined
Dec 6, 2018
Posts
26,519
Reaction score
78,311
The world's largest mounted skeleton of dinosaur discovered in Tendaguru Tanzania (1907-1913) displayed in National History Museum in Berlin, Germany. Its 13.27m tall and about 250 tonnes weight. dinosaur @tendaguru @animalplanet

 
tendaguru.jpeg
 
Duh kitu tani 250 wakati leo tembo tunayemuona mkubwa ana average tani 4, nasikia wengine walikuwa wanaruka kama ndege, kitu kizito kuliko Boeing, wangekuwepo sijui kama tungeweza kuishi nao kama wanyama wengine, wangetusafisha wote, kweli duniani tunapita tuu, inawezekana kabisa human species isiwepo tena miaka ijayo.
 
Hayo mabaki yamekuwepo hapo yalipokutwa for 150 milioni years; mlikuwa wapi kuyatunza leo mje mlilie tozo kwa msichokitolea jasho? Eti wizi; acheni ujinga.
 
Wazungu bhana.UTASHANGAA BADO WATU WANAMTAFUTA SHETANI KATIKA KANISA ALILOANZISHA SHETANI.
 
Back
Top Bottom