Dida aambulia matusi mazito baada ya kupost picha akiwa anaoga

Pua kubwaaaaaaaaaaaaaaaa..
 
mapozi mpaka kwenye kukata gogo??-- hmm, hapana siamini...

huyo alikuwa analiwa kabang kwa chini bana, basi tu hajuoneshwa hio scene ya kabang!

Duh!!Mkuu Excel nawe ulisomaga shule za mkoani Iringa nini??Iko ki term kimenikumbusha shule Advance 2005
 
Hahaaaa usinikumbushe aisee kuna siku nilienda toi nikakuta gogo refu kinoma....yani ilibidi nirudi darasani kuwaambia wenzangu wakashangae....tulivyokuwa wajinga kweli darasa zima tukaenda kushangaa....dah shule bwana
 
Mwaka gani iyo, we nakuhisi kama Iringa girls vile
 
uso,magoti,vidole na miguu rangi tofauti.
 
Duh!!Mkuu Excel nawe ulisomaga shule za mkoani Iringa nini??Iko ki term kimenikumbusha shule Advance 2005

duh! mkuu by 2005 uko advance aisee? you deserve my shikamoo kaka!

huo mwaka nilikuwa niko class 7, imagine!
 
Kumbe kutwa tunabishana na watoto wetu humu,
Ndio maana heshima ya jf imeshuka sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…