Dejane
JF-Expert Member
- Jan 1, 2014
- 50,587
- 71,492
Mi siku zote sioni uzuri wake. Ama kweli kibaya chajitembeza. Ulimbukeni huo Didaajaa!
Amekaribiana kufananaa na nguruweeee
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mi siku zote sioni uzuri wake. Ama kweli kibaya chajitembeza. Ulimbukeni huo Didaajaa!
Yule handsome G walishatemana unamsema yupi maana ashaolewa sana
mapozi mpaka kwenye kukata gogo??-- hmm, hapana siamini...
huyo alikuwa analiwa kabang kwa chini bana, basi tu hajuoneshwa hio scene ya kabang!
Duh!!Mkuu Excel nawe ulisomaga shule za mkoani Iringa nini??Iko ki term kimenikumbusha shule Advance 2005
Hahaaaa usinikumbushe aisee kuna siku nilienda toi nikakuta gogo refu kinoma....yani ilibidi nirudi darasani kuwaambia wenzangu wakashangae....tulivyokuwa wajinga kweli darasa zima tukaenda kushangaa....dah shule bwanaDuh!!Mkuu Excel nawe ulisomaga shule za mkoani Iringa nini??Iko ki term kimenikumbusha shule Advance 2005
Hahaaaa usinikumbushe aisee kuna siku nilienda toi nikakuta gogo refu kinoma....yani ilibidi nirudi darasani kuwaambia wenzangu wakashangae....tulivyokuwa wajinga kweli darasa zima tukaenda kushangaa....dah shule bwana
Tosamaganga/Ifunda Tech?
Nimesoma kilimanjaro...mwaka 2005 ndo nimeanza kidato cha tano....dah nimekumbuka sana ujinga wa shuleMwaka gani iyo, we nakuhisi kama Iringa girls vile
Nimesoma kilimanjaro...mwaka 2005 ndo nimeanza kidato cha tano....dah nimekumbuka sana ujinga wa shule
Duh!!Mkuu Excel nawe ulisomaga shule za mkoani Iringa nini??Iko ki term kimenikumbusha shule Advance 2005
duh! mkuu by 2005 uko advance aisee? you deserve my shikamoo kaka!
huo mwaka nilikuwa niko class 7, imagine!

hizi picha zina zaidi ya mwaka,na hii habari ilishawahi kuwekwa humu.Naona umeamua kutukumbushia zilipendwa
Aaaaah reallllllll????:A S embarassed:
Duh kumbe we mdogo hivyo?