Dida aambulia matusi mazito baada ya kupost picha akiwa anaoga

Dida aambulia matusi mazito baada ya kupost picha akiwa anaoga

Money Stunna

JF-Expert Member
Joined
Aug 9, 2011
Posts
13,053
Reaction score
6,304
MTANGAZAJI wa Kituo cha Redio cha Times FM, Khadija Shaibu ‘Dida’ amewashangaza watu baada ya kutundika mtandaoni picha zinazomuonesha akioga bafuni huku nyingine akiwa maliwatoni.

Picha hizo zinapatikana kwenye mtandao wake na hakueleza ilikuwa wapi ila akasema
ilikuwa ni siku alipoamua kuitumia wikiendi yake ipasavyo katika hoteli ambayo hakuitaja jina.

didaakioga.jpg
Baadhi ya watu waliyoziona picha hizo walimponda wakidai eti ni ulimbukeni lakini wapo waliomtetea kwa kusema, ni staili tu ya maisha aliyoamua kuishi.

“Ushamba tu, ndo nini sasa? Angetuwekea ‘akikata gogo’ pia,” alisema mmoja wa wadau huku mwingine aliyejitambulisha kwa jina la Dick akisema: “Msimuonee wivu mwenzenu,
anakula bata zake na nyie hamjakatazwa.”

Dida alipoulizwa kuhusu kujianika hivyo alisema, hizo ni ishu zake binafsi na wapenzi wake wanapenda kuona kila anachokifanya, ndiyo maana anawawekea kwenye blogu yake

 
Alijua watu wataangalia sorroundings kama bafu la kishua mandhari ya chumba na kumwona matawi mwisho wa siku apate japo creds kua yuko safi na anakula bata sana.. tho ki hali halisi mayb too far
 
Ni nani huyu?au ni mjumbe wabunge la katiba
 
Cream mbayaa jamaniiiii lol
Ashaharibikiaa huyuu si aende china wakambleach ngoz lol kama nguruweeee
 
mapozi mpaka kwenye kukata gogo??-- hmm, hapana siamini...

huyo alikuwa analiwa kabang kwa chini bana, basi tu hajuoneshwa hio scene ya kabang!
 
Yule handsome G walishatemana unamsema yupi maana ashaolewa sana

Kaolewa tena na jamaa anaitwa Ezden Jumanne. Tena siku hizi jamaa yupo Tv 1 anatangaza show moja hivi na kidoti.
 
Mi siku zote sioni uzuri wake. Ama kweli kibaya chajitembeza. Ulimbukeni huo Didaajaa!
 
Back
Top Bottom