Dida aambulia matusi mazito baada ya kupost picha akiwa anaoga

Dida aambulia matusi mazito baada ya kupost picha akiwa anaoga

Jaman kuna tofauti kubwa sana kati ya wale waliokuja Dar na basi wakashukia stendi ya kisutu,na wale waliokuja Dar na basi wakashukia ubungo bus terminal,hawa walioshukia ubungo mara nyingi mfanano wake kama wa Dida alafu anakuambia mi kwetu Dar nilikulia kibaha msamehen jaman
 
Excel ni mtoto saana, kumbe ni mtundu tuu. Ubarikiwe bado una safari ndefu ya maisha!!
 
Last edited by a moderator:
MTANGAZAJI wa Kituo cha Redio cha Times FM, Khadija Shaibu ‘Dida’ amewashangaza watu baada ya kutundika mtandaoni picha zinazomuonesha akioga bafuni huku nyingine akiwa maliwatoni.

Picha hizo zinapatikana kwenye mtandao wake na hakueleza ilikuwa wapi ila akasema
ilikuwa ni siku alipoamua kuitumia wikiendi yake ipasavyo katika hoteli ambayo hakuitaja jina.

didaakioga.jpg
Baadhi ya watu waliyoziona picha hizo walimponda wakidai eti ni ulimbukeni lakini wapo waliomtetea kwa kusema, ni staili tu ya maisha aliyoamua kuishi.

“Ushamba tu, ndo nini sasa? Angetuwekea ‘akikata gogo’ pia,” alisema mmoja wa wadau huku mwingine aliyejitambulisha kwa jina la Dick akisema: “Msimuonee wivu mwenzenu,
anakula bata zake na nyie hamjakatazwa.”

Dida alipoulizwa kuhusu kujianika hivyo alisema, hizo ni ishu zake binafsi na wapenzi wake wanapenda kuona kila anachokifanya, ndiyo maana anawawekea kwenye blogu yake

akikata gogo ......................hahahahahahaha....................?
 
Hahahaha kitu confa lodge hiyo, eti hotel bwahahahaha.
Aisee mkorogo nomaaaaaa
 
hadi wewe??.. khaaa!!!
loh.. jamani mtaniua humu ndani! hahahaaa!! ngoja nianze kuota vindevu viniletee heshima!

2006 ndo nimemaliza form 4, wakati wewe uko form 1. Sasa si inabidi unisalimie tena kwa magoti kabisa
 
hizi picha zina zaidi ya
mwaka,na hii habari ilishawahi kuwekwa humu.Naona umeamua kutukumbushia
zilipendwa

Mambo mengine ukiyashabikia na kuyazungumza unaonekana mshamba kuzidi alieyafanya. Mi sioni ubaya alioufanya Dida kupiga picha na kuzitoa mtandaoni, mbona maceleb wengi tu wanafanya?
Kama yeye ameona ni vyema aifurahie siku hiyo kwa namna alivyojionyesha kwenye picha, ni hiyari yake, tuache kelele nyingi, zinareflect umaskini na ushamba tulionao. Isitoshe hiyo sehemu mbona ya kawaida sana?
 
2006 ndo nimemaliza form 4, wakati wewe uko form 1. Sasa si inabidi unisalimie tena kwa magoti kabisa

aaah, mwaka 2006 huo uko form 1 sawa mi niko nyoya, alkini tayari nilikuwa nina mbebez wa kidato hicho tena mrembo sana,,... imagine how dangerous Excel was...!

umenizidi kama 4 years hivi... age is just the number mamii!... lols.
 
Last edited by a moderator:
Excel nataka shkamoo yangu..tena fidia na za nyuma na times 356 days to come in advance kbs!
 
Last edited by a moderator:
hahahaaaa!!! yamekuwa hayo kaka?

hebu usije ukani
slapping.gif
bana!!

kwani mkuu umeniacha kama range ya ngapi hivi?

kiumri au kishule? Simwagi kuku kwny mchele Mwingi. .haha
 
aaah, mwaka 2006 huo uko form 1 sawa mi niko nyoya, alkini tayari nilikuwa nina mbebez wa kidato hicho tena mrembo sana,,... imagine how dangerous Excel was...!

umenizidi kama 4 years hivi... age is just the number mamii!... lols.
hahahahhahahahahaha, we mkali. So unapenda wakubwa siyo? Au ndo wewe maana nami nlikuwa na-date na kitoto cha form 1 nlikuwa namlea
 
Last edited by a moderator:
hahahahhahahahahaha, we mkali. So unapenda wakubwa siyo? Au ndo wewe maana nami nlikuwa na-date na kitoto cha form 1 nlikuwa namlea
hahahahaaaa!!! alinikimbia sababu ya ukubwa wa dushe...!

vipi ulimalizia wapi weye?
 
Back
Top Bottom