Heaven Sent
JF-Expert Member
- Sep 27, 2013
- 32,682
- 98,253
Naona kajikoki kwa umbea kama kifurushi cha extreme pack.Umeona jukwaa limeng'aa kidogo baada ya kurudi mmbea aliyetukuka na asiyekuwa na mpinzani kwenye nyanja ya umbea kwa ukanda huu wa Afrika mashariki na kati.
Na yeye edzen c akamshtak dida wagawane mali wote pasu kwa pasu , aende ustawi wa jamii pale ,haki sawa kwa wote
Naona kajikoki kwa umbea kama kifurushi cha extreme pack.Umeona jukwaa limeng'aa kidogo baada ya kurudi mmbea aliyetukuka na asiyekuwa na mpinzani kwenye nyanja ya umbea kwa ukanda huu wa Afrika mashariki na kati.
Hahaha welcome back cousin. Me nikasema au wamemgomea bina kufungua account mpya, nikaju utakuwa umelazwa kwa kukosa ubuyu wa jf
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
hana ubavu wa kumshtaki hata kidogo
pale edzen alienda na nguo tu!
na alivyoondoka aliondoka na fuko lake la mironyaronya yake tu...!!
Mwenzangu nilikuwa najaribu kujiunga upya kwa jina lingine ila nilitaka warumi liwepo kidogo ili ku boost si unajua warumi ana nyota kali kama mama ubaya? Ila naona ma mods wakiona jina la warumi tu wanaona kama israel mtoa roho anawaita, so nikaamua tu nifungue jina lingine, nilitaka niandike warumi2 na majina mengine yanayomhusu warumu ila wapi jamaa wamebana
Mmh halafu ndo alikuwa anajiita mume huyo? Mwenzie gadner hatak hata makuu kawa mdogo kama piliton, sasa yeye anafugwa halaf anajifanya kidume mwache akione cha mtema kuni shenzii

Binamu nimekumis
Halafu si nasikia huyo dida anachepuka na raheem wa times fm? Yani hili sugar mom linayaweza
Mwenzangu nilikuwa najaribu kujiunga upya kwa jina lingine ila nilitaka warumi liwepo kidogo ili ku boost si unajua warumi ana nyota kali kama mama ubaya? Ila naona ma mods wakiona jina la warumi tu wanaona kama israel mtoa roho anawaita, so nikaamua tu nifungue jina lingine, nilitaka niandike warumi2 na majina mengine yanayomhusu warumu ila wapi jamaa wamebana
we mwanamke una matatizo sana.. ni mbea mfano hakuna ....