Dida aonyesha jeuri nyingine ya pesa

Dida aonyesha jeuri nyingine ya pesa

Naona kajikoki kwa umbea kama kifurushi cha extreme pack.Umeona jukwaa limeng'aa kidogo baada ya kurudi mmbea aliyetukuka na asiyekuwa na mpinzani kwenye nyanja ya umbea kwa ukanda huu wa Afrika mashariki na kati.

Hahaha kwenye issue ya umbea motrooo binamu hana upinzani, kama ni tuzo basi hadi za BET angekuwa ashachukua.

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Na yeye edzen c akamshtak dida wagawane mali wote pasu kwa pasu , aende ustawi wa jamii pale ,haki sawa kwa wote

hana ubavu wa kumshtaki hata kidogo
pale edzen alienda na nguo tu!
na alivyoondoka aliondoka na fuko lake la mironyaronya yake tu...!!
 
Naona kajikoki kwa umbea kama kifurushi cha extreme pack.Umeona jukwaa limeng'aa kidogo baada ya kurudi mmbea aliyetukuka na asiyekuwa na mpinzani kwenye nyanja ya umbea kwa ukanda huu wa Afrika mashariki na kati.

Mbea nisiwekuwa na mpinzani africa mashariki, nilikaa kimya kuruhusu ma underground waonyeshe vipaji vyao, naona hakuna hata mmoja aliyebahatika kunipata achilia mbali kunisogelea kwenye nyanja hii ya udaku aka mchele, so nimeamua kurud kwenye kiti changu kilichokuwa na vumbi
 
Hahaha welcome back cousin. Me nikasema au wamemgomea bina kufungua account mpya, nikaju utakuwa umelazwa kwa kukosa ubuyu wa jf

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums

Mwenzangu nilikuwa najaribu kujiunga upya kwa jina lingine ila nilitaka warumi liwepo kidogo ili ku boost si unajua warumi ana nyota kali kama mama ubaya? Ila naona ma mods wakiona jina la warumi tu wanaona kama israel mtoa roho anawaita, so nikaamua tu nifungue jina lingine, nilitaka niandike warumi2 na majina mengine yanayomhusu warumu ila wapi jamaa wamebana
 
Last edited by a moderator:
hana ubavu wa kumshtaki hata kidogo
pale edzen alienda na nguo tu!
na alivyoondoka aliondoka na fuko lake la mironyaronya yake tu...!!

Mmh halafu ndo alikuwa anajiita mume huyo? Mwenzie gadner hatak hata makuu kawa mdogo kama piliton, sasa yeye anafugwa halaf anajifanya kidume mwache akione cha mtema kuni shenzii
 
Mwenzangu nilikuwa najaribu kujiunga upya kwa jina lingine ila nilitaka warumi liwepo kidogo ili ku boost si unajua warumi ana nyota kali kama mama ubaya? Ila naona ma mods wakiona jina la warumi tu wanaona kama israel mtoa roho anawaita, so nikaamua tu nifungue jina lingine, nilitaka niandike warumi2 na majina mengine yanayomhusu warumu ila wapi jamaa wamebana

Hahaaha pole bina, kweli kiti chako kilikuwa na vumbi, mwenyewe umerudi

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Last edited by a moderator:
Mmh halafu ndo alikuwa anajiita mume huyo? Mwenzie gadner hatak hata makuu kawa mdogo kama piliton, sasa yeye anafugwa halaf anajifanya kidume mwache akione cha mtema kuni shenzii

Afadhali binamu umerudi, tulikumiss sana sana
 
Mmh halafu ndo alikuwa anajiita mume huyo? Mwenzie gadner hatak hata makuu kawa mdogo kama piliton, sasa yeye anafugwa halaf anajifanya kidume mwache akione cha mtema kuni shenzii

kuna mume na gumegume
ezden gumegume
mtu unapewa malazi,mavazi na choo afu unaleta nyodo
tupa kuleee!!!
 
hv ni kweli dida anaiwakilisha TZ kwenye BBA??
 
Mwenzangu nilikuwa najaribu kujiunga upya kwa jina lingine ila nilitaka warumi liwepo kidogo ili ku boost si unajua warumi ana nyota kali kama mama ubaya? Ila naona ma mods wakiona jina la warumi tu wanaona kama israel mtoa roho anawaita, so nikaamua tu nifungue jina lingine, nilitaka niandike warumi2 na majina mengine yanayomhusu warumu ila wapi jamaa wamebana

Umetisha,wangeendelea kukubania ungekufa siku si zako.We ni mkareee.
 
Last edited by a moderator:
Subirini ujio mpya wa Dida, very soon ataanza kujiita Dida wa Zee la Nyeti hahahahhhhaaaaaa
 
Watatu mbona kila mmoja analake hapo weee hadja
 
Mwenzangu nilikuwa najaribu kujiunga upya kwa jina lingine ila nilitaka warumi liwepo kidogo ili ku boost si unajua warumi ana nyota kali kama mama ubaya? Ila naona ma mods wakiona jina la warumi tu wanaona kama israel mtoa roho anawaita, so nikaamua tu nifungue jina lingine, nilitaka niandike warumi2 na majina mengine yanayomhusu warumu ila wapi jamaa wamebana

Kwa hiyo wamekufungulia, binamu na wewe kwa umbea! Nakuaminiaga, na hapa ukimaliza mwezi hawajakuibukia ni bahati sana! Bina uko vizuri, kwa mie nilikumiss sana, yule pacha wako gossip......warumi nae yuko wapi
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom