Dida: Edzen akioa, nitakuwa wa kwanza kumchangia

Mbona naona kama yule Dada ndo kajichafua nae!!
Dada smart nje, huko ndani sasa unadhani getho la mvuta bangi

Hana cha kupoteza wanawake wauza mbunye anaogopa nn waka t pichu inavuliwa na yoyote hawajali na bange utakuta anavuta
 
Udananda.......wavulana wa mjini wanapenda sana maisha hayo yakudandia mademu walishwe.Yeye pesa yake anaenda kufanyia scrub basi
 
warumi tupe habari.......nimeona dougie kapost picha ya aunty.Hiv ni kweli tayar ameshusha engene
 
Last edited by a moderator:
warumi tupe habari.......nimeona dougie kapost picha ya aunty.Hiv ni kweli tayar ameshusha engene

Ngoja nichungulie tunguri langu la umbea, ila mama ubaya atajisikiaje vbya??
 
Last edited by a moderator:
Hivi Moza yuko kituo gani cha polisi?
Nataka asubuhi nikampelekee chai

Ahahaha!!! Umpelekee na michup* yake aliyotundika juu ya mlango, mwambie wambea wenzie tupo nae bega kwa bega maana katufuraisha sana mwaka huu , inabidi tumpe na tuzo
 
Hivi Moza yuko kituo gani cha polisi?
Nataka asubuhi nikampelekee chai

Sijui atakuwa mabatini au oyster bay? Inabidi tugawane majukumu Mimi wewe na Dinazarde Leo tutembelee vituo vyote vya polis I mpaka tumuone
 
Last edited by a moderator:
Ila hajambo huyo kaka pale ni imemaliza kazi imetulia...ikipandisha inaonekana hatari.

Wanayoiita kibamia ni kumtukana tu hawajui ukweli hawajawahi ona steji zake....wengi wao uona inapikuja ingia no mapenzi ya kuchezea kwanza .... Lol
 
Nikupe no ya edzen nn binamu??
 
Sijui atakuwa mabatini au oyster bay? Inabidi tugawane majukumu Mimi wewe na Dinazarde Leo tutembelee vituo vyote vya polis I mpaka tumuone

Tukampe polee eeeee au kusaka manewzzzzzzzzzz
 
Last edited by a moderator:
Huyo kijana wala hajadhalilishwa,huyo mwanamke aliyepost ndiye amejidhalilisha! Kwa mtazamo wangu lakini!
 
Ulikuwa wapi binamu? Uliniudhi ujue? Halafu unasafir na lolowapi wakat unajua fika Mimi Na yeye ni kama paka na panya ntakugaya ujuee?? Shauri yako ooooh!!!

Yaan mie nisafiri na huyo mbeba pochi nimekosa nini mie ,anajipendekeza tu kwangu,mi nawe mpaka kiama
 
Last edited by a moderator:
Yaan mie nisafiri na huyo mbeba pochi nimekosa nini mie ,anajipendekeza tu kwangu,mi nawe mpaka kiama

Nilitaka kushangaa binamu yangu kwenda USA ndo bas tena kanipotezea na umbea hatak tena? Yani ningekulaani na si unajua laana yetu sie wambea inavyokuwa Kali??
 
Huyo kijana wala hajadhalilishwa,huyo mwanamke aliyepost ndiye amejidhalilisha! Kwa mtazamo wangu lakini!

Wewe wanawake ambao hawajithamini'' anasaula kidaka kwa kila mwanaume unadhani anajali ahahaha wote vikaza tu
 
Nilitaka kushangaa binamu yangu kwenda USA ndo bas tena kanipotezea na umbea hatak tena? Yani ningekulaani na si unajua laana yetu sie wambea inavyokuwa Kali??

Binam niende Us umbea nimuachie nani mi hapahapa vumbini kuna kona nyingi za udaku,majungu,unafiki na ugomvi huko Us ntaupatia wapi umbea kila mtu yupo busy aku!!! Hiyo laana aipate lolowapi nimeridhia
 
Last edited by a moderator:
Binam niende Us umbea nimuachie nani mi hapahapa vumbini kuna kona nyingi za udaku,majungu,unafiki na ugomvi huko Us ntaupatia wapi umbea kila mtu yupo busy aku!!! Hiyo laana aipate lolowapi nimeridhia

Dah haya.
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…