Dida: Edzen akioa, nitakuwa wa kwanza kumchangia

Dida: Edzen akioa, nitakuwa wa kwanza kumchangia

Akome nae udananda.....mjini hapa atapalamiwa.Yeye anashindwa hata kupanda chumba?au anajenga mwenzetu maana loooh

Marioo wanakazi sana toka mwaka 2014 ila huyo dada kaharibu kila mwanaume atamwogopa ikiwa ndio anategemea wanaume kwa kuishi itakula kwake
 
Can u believe kwamba miaka yote hii nilikuwa sijafahamu kwamba huyo Edzen wa Didah ni huyu mshikaji... sasa kuna mahali nimekuta habari few minutes ago kuhusu Edzen na Didah na nikaona pic ya Edzen... nikasema haiwezekani, labda Dida wa Edzen huyu ni mwingine na Edzen wa Dida yule niliyekuwa namfahamu ni mwingine ndo nikalazimika kuufungua huu uzi ambao tangu kufunguliwa kwake nilikuwa naupita tu! mnh! Yaani watu wana mioyo migumu...

mtoto mdogo kaenda kulivaa jimama kubwa si ndo kupwelepwetwa kwenyewe huko
 
Hivi jamamni Ezden kashindwa hata kurent chumba kimoja na sebule jamani,mpaka kwenda kuishi kwa MOZA chumba kimoja wala hakina hadhi,kwani watangazaji wanalipwa ngapi?Aisee mwanaume wa hivi ni first grade mbulura

yaani ni shida............., chumba kile kama stoo.. sijui ataenda kukaa wapi sa hivi
 
mtoto mdogo kaenda kulivaa jimama kubwa si ndo kupwelepwetwa kwenyewe huko

Ila edzen nae atakuwa ana mguu Wa mtoto , pale tu mtarimbo haujasimama upo Vile ukisimama cjui itakuwaje, ndo maana wakina dida wanadata aaaaaaa
 
Ila edzen nae atakuwa ana mguu Wa mtoto , pale tu mtarimbo haujasimama upo Vile ukisimama cjui itakuwaje, ndo maana wakina dida wanadata aaaaaaa

binamu acha hizo wewe.mguu gani wa mtoto upo vile labda mwenye kwashakoo kibamia kabisa kile live bila lenzi
 
Ha ha ha Hill park.....umenikumbusha mbali aiseee.Enzi zangu za kichuo nilikuwa naenda hill park.Aliyekuwa ana run pale Mr Milanzi my classmate

Yaani... siku hizi kumepoa... napitaga jion mara moja moja kuchukua chakula cha jion.. take away... supermarket nayo imefungwa..
Mmiliki alikua mwanafunzi.. ndio anamiliki hadi siku hizi
 
Yaani... siku hizi kumepoa... napitaga jion mara moja moja kuchukua chakula cha jion.. take away... supermarket nayo imefungwa..
Mmiliki alikua mwanafunzi.. ndio anamiliki hadi siku hizi

Yap alikuwa classmate wangu sio kwa level ya degree.....pale udbs kulikuwaga na course ya ujasiriamali ikiendeshwa na Columbia business school.Ndo tulikuwa nae....na tukibreak inakuja chai toka hill park
 
Yaani... siku hizi kumepoa... napitaga jion mara moja moja kuchukua chakula cha jion.. take away... supermarket nayo imefungwa..
Mmiliki alikua mwanafunzi.. ndio anamiliki hadi siku hizi

Jaman ndo maongez gan hayo? Wengine ata o level hatujamaliza ebu rudini kwenye topiki pliiiizzz
 
Yaani kamdhalilisha sana....sio kitu kizuri alichokifanya.Ukiona mtu ni mzigo fukuza.Kwa hili naona kabisa jamaa atafanya revenge.

Huyu kijana anaish kwa kuzamia chumvi za wanawake hajiwezi wala hana life uuuh sasa kila siku unalamba uchi mpya ili ulinde ustar si maradhi haya kwan huko kwenye radio stations sjui tv hawalipwi pesa!?? Kumbafu efm fukuza huyu ma.la.ya akaendelee kutembeza bakora mwanza
 
Back
Top Bottom