tweenty4seven
JF-Expert Member
- Sep 21, 2013
- 15,863
- 19,626
Akome nae udananda.....mjini hapa atapalamiwa.Yeye anashindwa hata kupanda chumba?au anajenga mwenzetu maana loooh
Marioo wanakazi sana toka mwaka 2014 ila huyo dada kaharibu kila mwanaume atamwogopa ikiwa ndio anategemea wanaume kwa kuishi itakula kwake