Dida hovyo sana

Viol

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2009
Posts
25,420
Reaction score
18,298
Goli la mwisho jana lililopolita kwenye tobo anaonekana hana kiwango,au kahongwa na mahasimu wetu.

Huyu dida afukuzwe kabisa shame on him.

Halafu huyu beki mpya nywele rangi ya pilau naye hamna kitu
 
Ligi kuu kwa sasa tuna hatihati kutetea ubingwa au kukosa, bado kocha anachukulia poa mechi aina ile.

Wachezaji wa kitanzania ndiyo maana hayaendelei (yakikosa nafasi yananyenyua midomo kama chetezo, yakipewa yanakata viuno)
 
Simba tusipotetea ubingwa ina maana mwakani hatuendi kimataifa,walidharau mechi pumbavuuuu zao
 
wanayanga tuliwaambia msajilini kakolanya atawasaiidia sana, mkafikiri tunawadhihaki ona sasa na January mnaanza kwenye makundi CAF, lakini bado mna nduda ambaye ni keeper mzuri tuu.................
 
Goli la mwisho jana lililopolita kwenye tobo anaonekana hana kiwango,au kahongwa na mahasimu wetu.

Sijawahi kumwamini mchaga,huyu dida afukuzwe kabisa shame on him.

Halafu huyu beki mpya nywele rangi ya pilau naye hamna kitu
Tulia sindano imwage dawa
 
Muhudumu, Ongeza glasi[emoji41] [emoji116]
 
Ligi kuu kwa sasa tuna hatihati kutetea ubingwa au kukosa, bado kocha anachukulia poa mechi aina ile.

Wachezaji wa kitanzania ndiyo maana hayaendelei (yakikosa nafasi yananyenyua midomo kama chetezo, yakipewa yanakata viuno)
Kwenye ubingwa Simba nimeiondoa japo inauma sana. Hawana consistency, wanachoka haraka na hawana stamina.

Kwenye ligi naziona droo kama tano hivi na kufungwa mechi kama mbili hivi, labda wabadili kocha.
 
Huyu dida sijui Duda anatakiwa apelekwe Kwa mkopo yanga Kwa nguvu akapigweee miayo, shenzi zake analipwa hela nzuri, alafu anadaka utadhani mhaya anadaka senene???

Au apelekwe Kwa mkopo huko mashujaa fc ya kigoma!
 
Goli la mwisho jana lililopolita kwenye tobo anaonekana hana kiwango,au kahongwa na mahasimu wetu.

Sijawahi kumwamini mchaga,huyu dida afukuzwe kabisa shame on him.

Halafu huyu beki mpya nywele rangi ya pilau naye hamna kitu
rangi ya pilau aka biryani....haha haaaa...........hasira hizo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…