Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu dida hawezi kukwepa lawama na niujinga wake ww uko chaguo la2 ss umepata nafac ndio pakuonesha uwezo wake anaacha wt wa yanga wanasema simba pia kuna kindoki aondoke tu goli hata mzee wa miaka 80 anadakaTatizo sio Dida, tatizo timu ilizidiwa na kuruhusu kushambuliwa.
Timu ilikata pumzi, vijana walikuwa wanakabia macho, akina Nani maarufu wakinyang'anywa mpira wanashika kiuno na kutembea uwanjani.
Nasema tena tatizo halikuwa kwa Dida, bali kwa wachezaji wa ndani.
Simba ubrazameni wa baadhi ya wachezaji utaighalimu timu.
Waige mfano wa wenzao wa Yanga, wanapigana hadi dakika ya mwisho kwa bidii na juhudi hadi wanapata matokeo.
Vijana wa Simba wanadhani kunyoa viduku ndio kucheza mpira.
Mda Utasema
Sent using Jamii Forums mobile app
Dida alipocheza na KMC alionesha uwezo mzuri tu na hadi Simba ikapata matokeo pamoja na ubovu waliouonesha kipindi cha pili.Mkuu dida hawezi kukwepa lawama na niujinga wake ww uko chaguo la2 ss umepata nafac ndio pakuonesha uwezo wake anaacha wt wa yanga wanasema simba pia kuna kindoki aondoke tu goli hata mzee wa miaka 80 anadaka
Sent using Jamii Forums mobile app
Goli la mwisho jana lililopolita kwenye tobo anaonekana hana kiwango,au kahongwa na mahasimu wetu.
Sijawahi kumwamini mchaga,huyu dida afukuzwe kabisa shame on him.
Halafu huyu beki mpya nywele rangi ya pilau naye hamna kitu
Dida alipocheza na KMC alionesha uwezo mzuri tu na hadi Simba ikapata matokeo pamoja na ubovu waliouonesha kipindi cha pili.
Kwanza jana hata asingefungwa lile goli la pili basi mechi ingeisha sare ya 2-2.
Na nina uhakika kwa kile kikosi Simba ingefugwa kwenye hatua ya matuta.
Magolikipa kufungwa magoli rahisi huwa inatokea wakati mwingine.
Dida ni kama alishtukiziwa lile shuti, na lilikuwa shuti kali hasa ambalo lilipigwa kiufundi pia.
Mimi binafsi nalaumu uwezo waliouonesha Simba.
Na hasa katika kitendo cha kupiga mashuti mengi sana nje ya lango.
Washambuliaji wa Simba laiti wangekuwa wanalenga goli hakika Simba ingetoka na ushindi mnono sana.
Unapopiga mpira kwa papara na kuupoteza ni kwanza unaisaidi timu pinzani, pale unacheza kama beki au golikipa wa timu pinzani.
Lakini pili unapoteza nguvu ya timu yako ambayo imetumika kuwapita maadui hadi kufika ktk goli pinzani na kupigwa hovyo mpira.
Tatu unawapumzisha timu pinzani kwani kwa kuutoa kwako mpira nje wao wanapumzika na kupata nguvu mpya ya kulinda goli, wangine wanatumia hiyo nafasi kuchelewesha mpira kama wameshinda.
Hivyo nasema tena tatizo halikuwa la Dida bali la wachezaji na hasa mabeki ambao walikuwa hawapeani majukumu ya kukaba na pia, walikata pumzi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahahaha tuliwachezea chekundu cheusiKama kawaida, kulikuwa na uzushi wa mitaani kwamba Yanga ingemrudisha Dida. Jamaa wa ten percent from Simba wakawahi dili. Matunda tunayaona.
Ndio inakikosi kipana ila ujue mpira bado una matokeo matatu na yote tunayakubaki kama wanamichezo, hata hiyo timu ya kwanza nayo ilishafungwa na Mbao fc.Simba ina kikosi kipana...
Ndio inakikosi kipana ila ujue mpira bado una matokeo matatu na yote tunayakubaki kama wanamichezo, hata hiyo timu ya kwanza nayo ilishafungwa na Mbao fc.
Hongereni wenzetu ambao hadi mda huu hamjaonja maumivu ya kufungwa.
Na siku mtakayofungwa tunaomba msichapane fimbo, maana inaonekana kwa sasa timu yenu inawaaminisha kuwa itapata matokeo mawili tu, ya kufunga na sare.
Hengereni wenzetu kwa kuvuka lavo ya kutofungwa. Sisi bado tuko chini yenu.
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji81] [emoji81] [emoji81]Ligi kuu kwa sasa tuna hatihati kutetea ubingwa au kukosa, bado kocha anachukulia poa mechi aina ile.
Wachezaji wa kitanzania ndiyo maana hayaendelei (yakikosa nafasi yananyenyua midomo kama chetezo, yakipewa yanakata viuno)
Si ndiyo maana ya utani ?Yanga wanajua kuwa kuna kufungwa...ila Yanga hawana kelele...hapa nazungumzia viongozi...wanachama na mashabiki siku zote wana kelele duniani kote...Ila tatizo la Simba ni la baadhi ya viongozi ambaowana kelele utadhani ni mashabiki...Mtu ukiwa kiongozi lazima ifike wakati unajivua ushabiki, kwa maana kuwa lugha yako siku zote ni lazima iwe na heshima, staha, uungwana na diplomasia kwa wapinzani au washindani wako...Sasa unakuta baadhi ya viongozi wa Simba wanasahau hili na kutoa lugha ya kejeli kwa wapinzani...ni aibu kwa kiongozi wa Simba kutamka kuwa Yanga ni ombaomba...kwanza kiongozi huyo ni lazima afahamu kuwa ombaomba ni watu kama ilivyo watu wengine...mazingira ndiyo yanamfanya mtu awe ombaomba...ombaomba mitaani hakupenda kuwa ombaomba kwa wengi wao...Tanzania haikupenda iwe ombaomba ni mazingira ndiyo yameifanya iwe hivyo kwa historia ya ukoloni, utandawazi, ufisadi na kadhalika...Kama Yanga wanatembeza 'bakuli' kwa wapenzi wao hapo huwezi kuwaita Yanga ni ombaomba...michango ya harusi au harambee huwezi kuita hiyo ni ombaomba...ila kwa mashabiki kurushiana vijembe hata kama havina mantiki ni jambo la kawaida duniani kote..Lakini kwa kiongozi wa Simba kutamka kuwa Yanga ni 'ombaomba' ni kwamba kiongozi wa namna hiyo ni mchanga wa masuala ya uongozi na pengine hafai kuwa kiongozi...
Umeshamsahau Jerry Muro na kauli zake za hovyo akiwa YangaYanga wanajua kuwa kuna kufungwa...ila Yanga hawana kelele...hapa nazungumzia viongozi...wanachama na mashabiki siku zote wana kelele duniani kote...Ila tatizo la Simba ni la baadhi ya viongozi ambaowana kelele utadhani ni mashabiki...Mtu ukiwa kiongozi lazima ifike wakati unajivua ushabiki, kwa maana kuwa lugha yako siku zote ni lazima iwe na heshima, staha, uungwana na diplomasia kwa wapinzani au washindani wako...Sasa unakuta baadhi ya viongozi wa Simba wanasahau hili na kutoa lugha ya kejeli kwa wapinzani...ni aibu kwa kiongozi wa Simba kutamka kuwa Yanga ni ombaomba...kwanza kiongozi huyo ni lazima afahamu kuwa ombaomba ni watu kama ilivyo watu wengine...mazingira ndiyo yanamfanya mtu awe ombaomba...ombaomba mitaani hakupenda kuwa ombaomba kwa wengi wao...Tanzania haikupenda iwe ombaomba ni mazingira ndiyo yameifanya iwe hivyo kwa historia ya ukoloni, utandawazi, ufisadi na kadhalika...Kama Yanga wanatembeza 'bakuli' kwa wapenzi wao hapo huwezi kuwaita Yanga ni ombaomba...michango ya harusi au harambee huwezi kuita hiyo ni ombaomba...ila kwa mashabiki kurushiana vijembe hata kama havina mantiki ni jambo la kawaida duniani kote..Lakini kwa kiongozi wa Simba kutamka kuwa Yanga ni 'ombaomba' ni kwamba kiongozi wa namna hiyo ni mchanga wa masuala ya uongozi na pengine hafai kuwa kiongozi...
Huu ndo unaitwa unafiki😠😠😠😠haaaaa hatukuwa serious na ile mechi tuna mechi za maana mbele yetu.
Tangu nimeanza kyfuatilia majigambo ya mashabiki wa timu hizi pinzani wewe pekee ndiye umekuwa Objective. Kuna timu badala ya kukomaa na hii ligi wao wanadharau wanadai focus yao ipo kimataifa wakati ni mechi hizi hizi zilizowapa na zitakazoamua kuwapa nafasi za kimataifa.Sasa hivi kwenye ligi yanga na azam wanafukuzana,je tusipowakuta ina maana hatuendi kimataifa mwakani?