Dida kufunga ndoa tena?

binamuuuu nilikumisije aseee welcome back.........salam zimenfikia binam mzima wewe??? miss u sanaaaa

Nikasema binamu yangu tena vp au siku izi ndo kashaacha umbea, maana sio ukimya huu hadi mnanivunja moyo cha umbea wenu
 
Ndomaisha alio amua kuishi

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
We huna haja ya kutangazwa mbona jf nzima inalijua hilo japokuwa wengine wanajifanya hawaoni kumbe wanaisoma kwa ndani kuwa warumi na binamu yake Dinazarde ni shidaa

Anajishaua tuu huyo Dinaa, anakudekea...Kila mtu anajua nyie ni kama mti na kivuli...saa ushawahi kuona wapi kivuli bila mti?

Mith u too binamu...
 
Last edited by a moderator:
Nikasema binamu yangu tena vp au siku izi ndo kashaacha umbea, maana sio ukimya huu hadi mnanivunja moyo cha umbea wenu

toka ule ban nikastaafu umbea n mimi ila sasa umerudi kwa kasi binamu
 
We huna haja ya kutangazwa mbona jf nzima inalijua hilo japokuwa wengine wanajifanya hawaoni kumbe wanaisoma kwa ndani kuwa warumi na binamu yake Dinazarde ni shidaa

Teh teh teh siku nikipotea humu utanimisssijeeee
 
Last edited by a moderator:
Anajishaua tuu huyo Dinaa, anakudekea...Kila mtu anajua nyie ni kama mti na kivuli...saa ushawahi kuona wapi kivuli bila mti?

Mith u too binamu...

Maisha mafupiiiii shoga kujibebishapo kwenye hamnaa
Siku hiz umeme sijui ndio mgawo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…