Dejane
JF-Expert Member
- Jan 1, 2014
- 50,587
- 71,492
Binamu kumbe hadi sa ivi hujalala? Msukuma ana kazi mwaka huu, hapana kwa kweli huu sio umbea, ebu nenda kampe msukuma mtoli huo
Mi nililala zamaniiiii,mim hua nasahau kulog out
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Binamu kumbe hadi sa ivi hujalala? Msukuma ana kazi mwaka huu, hapana kwa kweli huu sio umbea, ebu nenda kampe msukuma mtoli huo
Dida sio mtu mzur, akina mwafulan humu jf kutwa wanalilia bahat ata ya kuolewa na send off ila hawaipat ye anachezea tu mashela ya harusi mmh watu wana mmind kidizain
Dida sio mtu mzur, akina mwafulan humu jf kutwa wanalilia bahat ata ya kuolewa na send off ila hawaipat ye anachezea tu mashela ya harusi mmh watu wana mmind kidizain
watu mna maneno kkaaah
Hhhhhhhhaaa uje tu bina ukae mwaka kabisaa,ila sharti nakupa nyumba ina kila kitu ya pekee ni ya wageni maana sebuleni kwangu sitaki utushangae shangae sebuleni utatunyima uhuru
Ntakupokea bina sawaaa ila musukuma hapend umbea sijui itakuwaje tutakua tunaupiga akiwa hayupoo etiii
Itakua ya 4 kama itakuwepo.............Haha hivi hii itakuwa ni ndoa ya ngapi? ,
Eh!Dinazarde mwambie shemeji ngosha akipenda boga apende na ua lake sie mabinamu zako umbea ndo falsafa yetu sa ye ka haupendi tutakua hatuji kwako ujue Atatunyima haki yetu ya msingi.
Kwa hiyo na msukuma mnafanyaga kizamu zamu? Mhh binamu nakuogopa ujue
Hahahahaa!unaambiwa mjini usililie uzuri lilia bahati etii!!wamekaa oh!sura ake ka ta. ko oh!sisimamishi hata akae uc.... ndoa ya nne hiyo anaitafuta na talaka anazidai mwenyewe.
Wengine uzuri juu na bahati juuuu lazima mnye tikiti hhhhhaaaaaa
Heeeeeee umbea tupige huu wa kidigital wa home hapana kama sio sisii tukikutwaa wastaarabu
Msukuma hapendi umbea ashanikung'uta mpaka basii lakini sikomii warumi unanifundisha vibayaaaa
hahahahahaaa!!!shoga we mmbea by nature shoga angu utapigwa kama dada ako Jestina umbea mbaya shoga.
Hahahahaa!!!shoga Mungu hatoi vyote ili mkufuruuu!haipo hyoo!kasoro isipokuepo kimwonekano basi papuchi au dushe limepinda hahahahaaa! Dinazarde nimeungama ka wewe ujue lakini najikuta tu naropoka mdomo huu.
Aaa wapii mi umbea ni wa humu ty mtaani sifanyi umbea,siend kwangu nipo busy na mambo yangu namshukuru alieleta smatfn mambo humu humu
Aaa wapii mi umbea ni wa humu ty mtaani sifanyi umbea,siend kwangu nipo busy na mambo yangu namshukuru alieleta smatfn mambo humu humu
Weeee kasoro hua zipo kwa kila mtu lakinii kuna wengine wana kasoro lakini wamebarikiwa zaidu na kuongezewa vingi zaidiiii