Amen , ila nasikia padre kiwembe huyo anawagonga masista kihama, anajishaua tu apa tumsifu yesu kristo wakat mzinzi , anipishe mie apa, kwanza sadaka yenyew sitoi
Umeenda kuungama hapo hapo unamfanyia umbea padri,wewe maombi hayakusaidii labda ufanyiwe operesheni ya kuondolewa kichwa.