Dida kufunga ndoa tena?

Dida kufunga ndoa tena?

Dida anaingiza hela nyingi na usidhani pale kaajiriwa anachofanya yeye analipa airtime ya kipindi chake so hela zote za matangazo zinazobaki zinaenda kwake

Kwahiyo hiyo times inapata ninivkma hela zote anachukua yeye istoshe hiyo redio iko 2 dar mikoani haifiki,kwa mkwanja huo c bora afungue yake
 
Dida anamiliki mijengo miwili ,magar 6 na biashara zake nyingine kibao, yule ni level nyingine , kwa mtu ambae n form four leaver kama dida maisha yake ni tajir toshaa

Labda kma anapiga upunda c kubwelabwela radioni sasa yeye kapanga then nyumba zake kajengea mitaa gani mpka apange mwananyamala
 
Kwahiyo hiyo times inapata ninivkma hela zote anachukua yeye istoshe hiyo redio iko 2 dar mikoani haifiki,kwa mkwanja huo c bora afungue yake

Yeye analipia kipindi kwa mfano labda anachajiwa milioni labda 15 kwa kipindi chake so kama matangazo atapata milioni 25 means hizo kumi zake
 
Yeye analipia kipindi kwa mfano labda anachajiwa milioni labda 15 kwa kipindi chake so kama matangazo atapata milioni 25 means hizo kumi zake

Duuh hiyo redio kiboko ila yote heri kma anapata mkate wke kwa jasho lake vizuri
 
Dida anaingiza hela nyingi na usidhani pale kaajiriwa anachofanya yeye analipa airtime ya kipindi chake so hela zote za matangazo zinazobaki zinaenda kwake

Nisaidie binamu, wasidhan dida anategemea kuuza papuchi ndo aende china na kununua magar, yule ni jembe aka fighter
 
Labda kma anapiga upunda c kubwelabwela radioni sasa yeye kapanga then nyumba zake kajengea mitaa gani mpka apange mwananyamala

Kama kwenye lile ghorofa ni la kwake labda useme mwananyamala nyingine
 
Du! Huyu mdada sasa anatisha kilasiku ndoa

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
wanajimu wanazidi kugundua nyota.
nge
simba
mapacha
dida -nyota ya kuolewa.
 
huyu demu anapaishwa tu wala si mzuri kivile, mchek figa vzr hajabalance, hana hipa na back iliyo proportional na huku juu, hamna namba 8 kabisa!!! ila yule mshkaj ezden alidhalilisha wanaume maana alikua analilia ovyo kwa waandishi kama mwehu!!!!
 
shikamoo da dida..vizuri sana endelea kubadilisha dushe huo ndo uwanamke rijali
 
huyu demu anapaishwa tu wala si mzuri kivile, mchek figa vzr hajabalance, hana hipa na back iliyo proportional na huku juu, hamna namba 8 kabisa!!! ila yule mshkaj ezden alidhalilisha wanaume maana alikua analilia ovyo kwa waandishi kama mwehu!!!!

Ila siku hizi kapiga gym mwili umekaa vizuri kidogo...yani ile hivyo hivyo...manake zamani alikuwa kavimbiana vimbiana tuu...
 
Dida ni mtulivu hana vurugu ndio maana wanaume wanampenda kama wema sepetu utulivu wao.
 
Hhhhhhaaaa amini uwe na imani utaacha tu

Amen , ila nasikia padre kiwembe huyo anawagonga masista kihama, anajishaua tu apa tumsifu yesu kristo wakat mzinzi , anipishe mie apa, kwanza sadaka yenyew sitoi
 
Back
Top Bottom