tweenty4seven
JF-Expert Member
- Sep 21, 2013
- 15,863
- 19,626
Dida anaingiza hela nyingi na usidhani pale kaajiriwa anachofanya yeye analipa airtime ya kipindi chake so hela zote za matangazo zinazobaki zinaenda kwake
Kwahiyo hiyo times inapata ninivkma hela zote anachukua yeye istoshe hiyo redio iko 2 dar mikoani haifiki,kwa mkwanja huo c bora afungue yake