Nanaa
JF-Expert Member
- Dec 26, 2012
- 5,893
- 3,709
Aiseee dida noma kwa hiyo kamtafutia bibi mume?Halafu nasikia kipindi chake kinaingiza hela kuliko vipindi vyote vya redio
Ukitembea na muuza marashi shurti unukie...Kamuambukiza bahati ya ndoaa...Chezea Dida...
Kile kipindi kina matangazo mengi na ndo kipindi cha times fm chenye wasikilizaji wengi...