Dida : Nigombee bwana kwani wanaume wameisha?

Dida : Nigombee bwana kwani wanaume wameisha?

warumi

R I P
Joined
May 6, 2013
Posts
16,218
Reaction score
18,440
MTANGAZAJI wa Redio Times FM, Khadija Shaibu ' Dida' amesema siku zote anapokuwa kwenye uhusiano wa kimapenzi akigundua mtu wake ana ' date ' na mwanamke mwingine, kamwe hatathubutu kugombea bwana ila atanawa mikono.

Akibonga na paparazi wetu hivi karibuni Dida alisema , hakuna kitu ambacho kwake anaona ni cha kipuuzi kama kugombea penzi , kwa kuwa mtu anapokusaliti ni wazi upendo wake umehamia kwa mtu mwingine hivyo hawezi kujing' ang' aniza.

"Nawashangaa sana wasichana wanaokosa kazi ya kufanya kwa kuanza kuwagombea wanaume, wengine wanadundana hadi kutoana manundu, hivi nigombee bwana kwani wanaume wameisha? Mimi nikimkuta mtu wangu yupo na mtu mwingine wala sijishughulishi, nachukua hamsini zangu, " alisema Dida
 

Attachments

  • 1419013262853.jpg
    1419013262853.jpg
    50.8 KB · Views: 769
Kuachwa noma sana. Toka ameachwa ni kutapatapa tu. Hana ishu nyingine za maendeleo???!!!
 
Ipo siku atasema kuliwa tigo ni halali kikubwa maelewano!

Umri wenyewe ushaenda unaacha kutuliza domo wewe kila siku mineno tuuuuu

POS
 
Anajishaua tu alibwata wewee kwenye likipindi lake muda wote nyimbo za mafumbo baada ya kukongwa talaka 3
 
Huyu na yule golie wa ile timu kubwa, ni ndugu?
 
Uuwiiii nampendaga Dida....ana vitukooo....
Mwenyewe anasema ana nyota ya kalmati....
 
MTANGAZAJI wa Redio Times FM, Khadija Shaibu ‘ Dida’ amesema siku zote anapokuwa kwenye uhusiano wa kimapenzi akigundua mtu wake ana ‘ date ’ na mwanamke mwingine, kamwe hatathubutu kugombea bwana ila atanawa mikono.

Akibonga na paparazi wetu hivi karibuni Dida alisema , hakuna kitu ambacho kwake anaona ni cha kipuuzi kama kugombea penzi , kwa kuwa mtu anapokusaliti ni wazi upendo wake umehamia kwa mtu mwingine hivyo hawezi kujing’ ang’ aniza.

“Nawashangaa sana wasichana wanaokosa kazi ya kufanya kwa kuanza kuwagombea wanaume, wengine wanadundana hadi kutoana manundu, hivi nigombee bwana kwani wanaume wameisha? Mimi nikimkuta mtu wangu yupo na mtu mwingine wala sijishughulishi, nachukua hamsini zangu, ” alisema Dida

Tatizo LA habari zako huweki chanzo. What if umetunga? Wambea bwn!
 
Tatizo LA habari zako huweki chanzo. What if umetunga? Wambea bwn!

chanzo ni magazeti,blogs , kama thread nimeandika mimi utajua tu haiitaji kumulika na torch kujua huyu ni warumi au shigongo
 
Back
Top Bottom