TANZIA Dida Shaibu, mtangazaji wa Wasafi FM afariki Dunia

TANZIA Dida Shaibu, mtangazaji wa Wasafi FM afariki Dunia

Lady Whistledown

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2021
Posts
1,147
Reaction score
2,008
Shaibu.jpg

Inadaiwa alikuwa amelazwa kwa Matibabu Muhimbili.

Amefariki usiku wa leo.
---
TANZIA: Aliyekuwa Mtangazaji wa Kipindi cha Mashamsham cha Wasafi FM, Khadija 'Dida' Shaibu, amefariki dunia usiku wa leo Oktoba 4, 2024 wakati akipata matibabu katika Hospitali ya Muhimbili

Kwa mujibu wa taarifa zilizotolewa na mtangazaji mwenzake, Maulid Kitenge, kupitia mtandao wa X, Dida alikuwa amelazwa Hospitalini hapo baada ya kuugua.
 
1728065668691.jpeg

Kutoka kwenye ukurasa wa instagram wa Maulid kitenge wanasema aliumwa akalazwa muhimbili ndio mauti yakamkuta

Kwa wasiomjua ni mtangazaji mkongwe, kabla ya umauti wake alikuwa akifanya kazi Wasafi fm
 
R.i.p

Pole saana wasafi Media
 
Attachments

  • Screenshot_2024-10-04-21-09-59-629_com.instagram.android.jpg
    Screenshot_2024-10-04-21-09-59-629_com.instagram.android.jpg
    328.7 KB · Views: 20
  • Screenshot_2024-10-04-21-09-59-629_com.instagram.android.jpg
    Screenshot_2024-10-04-21-09-59-629_com.instagram.android.jpg
    328.7 KB · Views: 12
Kutoka kwenye ukurasa wa instagram wa Maulid kitenge wanasema aliumwa akalazwa muhimbili ndio mauti yakamkuta

Kwa wasiomjua ni mtangazaji mkongwe,kabla ya umauti wake alikuwa akifanya kazi Wasafi fm
Alikuwa na mdomo sana na kubadilisha wanaume tena kwa ndoa kila msimu ,Mungu amhifandhi mahara alipojiandalia

USSR
 
Apumzike kwa amani Kifo ni fumbo mwenyezi Mungu ampunguzie adhabu ya kaburi nenda salama jirani yangu kutoka kigamboni na mbweni hapo. Allah amuweke mahala pema peponi Dida. 😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭
 
Back
Top Bottom